Hahaha nani alikua ananiambia Ceballos alicheza AM Madrid na akadai ndiye atafanya kazi ya Aouar. Dadeki watu sijui wanaangaliaje hii timuTimu yetu tuna excuse too much wakati tuna squad bora yenye kuweza kupambana ila results ndio tatizo hata game tulizoshinda Emirates dhidi ya West Ham and Sheffield United nazo ilikuwa ni kubana pumbu mpaka filimbi ilie ndo unatabasamu
Mpira dakika 90 mkuuWest ham ilitusumbua ila ona Tottenham anavyojipigia. Ndani ya dakika 30 vyuma 3.
Watu bado wanasema Partey alikua sahihu over Aouar.
Aurier alicheza ile faulo halafu akawa anacheka. Yaani hakuweza kuhisi kwamba faulo yake ndiyo itakua goli la kuchomoa, lile screamer ndiyo Arsenal wachezaji wetu wana ulemavu hawawezi kushoot.Never think you know, never think it is over
So unamaanisha kwamba ni sahihi tunavyostruggle? Magoli ya Tottenham yalifungwa easily, kila mmoja aliwajibika walikua wana mtu anawachezesha.Mpira dakika 90 mkuu
Usisahau huyu westham tulimpiga viwili.So unamaanisha kwamba ni sahihi tunavyostruggle? Magoli ya Tottenham yalifungwa easily, kila mmoja aliwajibika walikua wana mtu anawachezesha.
WHU kusuluhisha haiondoi ukweli tulistruggle.
HayaUsisahau huyu westham tulimpiga viwili.
Sisi tulichukua point 3 ila totte kachukua moja.
Sometimes point 3 ni zaidi ya kudominate mpira.
Hakika! Same kwa Wojciech, Fabianski na Ospina kipindi chao.Kwa uwezo wa Martinez isingekua fair abaki Arsenal ili awe kipa namba mbili.
Unasema?West ham ilitusumbua ila ona Tottenham anavyojipigia. Ndani ya dakika 30 vyuma 3.
Watu bado wanasema Partey alikua sahihu over Aouar.
Wewe umetoka kuikashifu sasa hivi, alafu muda huohuo unataka tujifunze kutoka kwao!We need westham's fighting spirit. Qumanina
Yaan humu ,Wewe umetoka kuikashifu sasa hivi, alafu muda huohuo unataka tujifunze kutoka kwao!Tuwe na akiba ya maneno
Inashangaza sana mkuu, yaani watu wanakuwa negative tu, hawaoni hata jitihada za watu, alafu kula matapishi ni dakika 0 tu kudadadekYaan humu ,