Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Exactly
 
Uchambuzi? Wa nini sasa?

Timu imefight. Ngungwa ngungwa imewapa goli City.

Anyway, now angalia tutakavyodeal na Europa
 
You think so???
 
Issue kama ya Leicester hutokea once in thousand years.

Mpira sio mazingaombwe wala bahati nasibu.

Mbona sasa hatuitabirii shiefield kuchkua EPL?? Why??
 
Inawezekana mkuu
Kwa sasa hatuna excuse yoyote ile kikosi kipo vizuri tumesajili hamna cha kuleta visingizio mara timu inajengwa mara tumecheza na magiant that's total nonsense hao Liverpool kapigwa 7 na Aston villa na Manchester City kafungwa 5 na Leicester tena this season Leicester alikuwa na kikosi kilichotwaa ubingwa na sidhani kama timu nzima ilikuwa inazidi thamani ya paund 2 Milioni mfano Leeds msimu huu wanacheza na kijituma kuliko sisi Arsenal(tuna Auba Pepe na Willian ila kupiga on target imekuwa tatizo kwa hawa watu)

Next 2 matches dhidi ya Leicester and Manchester United at Old Trafford let's wait and see hapa kama tutashindwa kupata point 4 au 6 then hatutakuwa na msimu mzuri
 
West ham ilitusumbua ila ona Tottenham anavyojipigia. Ndani ya dakika 30 vyuma 3.

Watu bado wanasema Partey alikua sahihu over Aouar.
Timu yetu tuna excuse too much wakati tuna squad bora yenye kuweza kupambana ila results ndio tatizo hata game tulizoshinda Emirates dhidi ya West Ham and Sheffield United nazo ilikuwa ni kubana pumbu mpaka filimbi ilie ndo unatabasamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…