computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Hakuna anayebeza kwa sisi kucheza vizuri au whatever vile ,tatizo kwa nini mwaka wa 5 mfululizo hatushindi dhidi ya big 6 away?hili ndio tatizo kubwa na pia ndio linagharimu nafasi ya Arsenal kupata nafasi ya kucheza Champions leagueKwa anayejua Arsenal ilipotoka na ilipo sasa Hawez kubeza tulivyocheza Leo
Haya ni maneno ya Arteta
Arteta anajivunia kile Arsenal imefanikiwa.
"Lazima niseme na ninafurahi sana nimekuwa kwenye chumba cha kubadilishia nguo hapa kwa miaka 4 na najua ni kiasi gani inachukua timu kufanya kile tulichofanya usiku wa leo."
Hatumalizi msimu bila kombe kama nyie.Acha waendelee kuteseka, maana wakishinda vimechi vya yale makombe ya mbuzi hatupumui kwenye threads zetu.
VVD miez 8Washika manati mpoonacheka sana
Mkuu binadamu ameumbwa kwa kuwa mbinafsi ndo huwezi kupenda cha mwenzako kuliko cha kwako vinginevyo utakuwa unaongopa. Ebu tukumbushe ni shabiki wa timu gani ambae aliwahi kusema mwanzoni tu mwa ligi kuwa timu yao ni mbovu na haiwezi kuchukua ubingwa?Hatari mkuu. Mimi gunners lakini gunners wenzangu wamezidi aiseeee duh! Yaani utadhani tunachkua kombe keshoo saa mbili na robo asubuhi
Mkuu kwanini unapenda sana kuwa negatives? Hivi unajua maana ya ushabiki?Hatari mkuu. Mimi gunners lakini gunners wenzangu wamezidi aiseeee duh! Yaani utadhani tunachkua kombe keshoo saa mbili na robo asubuhi
Mkuu, mimi mwenyewe nina imani na timu tena sana tu.Mkuu binadamu ameumbwa kwa kuwa mbinafsi ndo huwezi kupenda cha mwenzako kuliko cha kwako vinginevyo utakuwa unaongopa. Ebu tukumbushe ni shabiki wa timu gani ambae aliwahi kusema mwanzoni tu mwa ligi kuwa timu yao ni mbovu na haiwezi kuchukua ubingwa?
Ebu wasikilize watu wa Man U au Chelsea pamoja na kuwa kwenye changamoto lkn wa naamini watakaa vizuri na ubingwa wanaweza kuchukua. Lakini pia jaribu kujiuliza ni kwanini watu wanaimani na timu?? Jibu ni moja tu kwamba timu ina mabadiliko makubwa na hayo ndiyo yanayowapa watu imani ya kupigania ubingwa.
Dully, sio negative ni realistic!Mkuu kwanini unapenda sana kuwa negatives? Hivi unajua maana ya ushabiki?
Miezi 8 kweli au masihara?VVD miez 8
Matip na Gomez spana mkononi
Mimi hivyo ndo napenda. Ushabiki wa kinyonge mimi siupendi kabisa. 😀 😀Hatari mkuu. Mimi gunners lakini gunners wenzangu wamezidi aiseeee duh! Yaani utadhani tunachkua kombe keshoo saa mbili na robo asubuhi
😀😀😀😀😀😀
kwa hiyo vipi, tumuongezee sosha mkataba?
Hujawahi kumuangalia Bukayo Saka??,Leo ndo mara ya kwanza?..mkuu mkuuitabidi nirudishe utamaduni wangu wa kuangalia mechi zote za big 6, huyu saka ni mara yangu ya kwanza kumuangalia.
mchezaji aliyenivutia leo ni gabriel Magalhães, naye ni mara yangu ya kwanza kumuangalia ila nimeona chembe chembe za mwendawazimu chiellini
kama aliwahi kucheza mechi dhidi yetu basi nimeshamuona kinyume na hapo sidhani.Hujawahi kumuangalia Bukayo Saka??,Leo ndo mara ya kwanza?..mkuu mkuu
Namkubali sana,,anajuakama aliwahi kucheza mechi dhidi yetu basi nimeshamuona kinyume na hapo sidhani.
=============
nimepoteza mzuka wa kuangalia mechi za timu nyengine
kuliko swala daniel james.....Namkubali sana,,anajua
Swala wetu bado sana kwa huyu dogo..ana pasi za mwisho nzuri sanakuliko swala daniel james.....