Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
lakini wamecheza vizuri sana mechi ya leo, timu ina uwiano mzuri sana kuanzia eneo la ulinzi hadi kiungo
bado hajawa mchezaji anayepaswa kubebeshwa majukumu mazito ya timu ndio maana nikasema hapo mwanzoni ni mchezaji anayepaswa atokee benchi.Nikuulize wewe?Saka unasema aanzie benchi?
Hahahaha. Ndiyo raha ya jukwaa boss. Ushabiki ndiyo huo sasa 😀😀Hili jukwaa ukipita katikati ya wiki utasema hakuna team inayoweza kuifunga arsenal maana upangaji wa kikosi na mauchambuz ya hapa na pale utakubali ila ukija siku ya mechi kila mtu analalamika kuliko mwenzake
Unaongea kinafki mkuu, kama ni wa kiume chunga sana utajashikishwaUkiwakuta wanakuchambulia hiyo kiungo yao yaan huyo ceballos unaweza sema labda ni boonge la mchezaj kumbe waongowaongo tu mara hapa akae xhaka pale muweke El neny yaan full vurugu tu
Nataka na huyo patei sijui part aanze kucheza tujue kama wamepigwa kama walivyopigwa kwa komred kipepe
True ila kwa sasa utampata nani ?Auba Laca Pepe wote hao ni wachezaji wenye viwango vya Dunia sijajua tatizo lao ni nini kushindwa kuperformbado hajawa mchezaji anayepaswa kubebeshwa majukumu mazito ya timu ndio maana nikasema hapo mwanzoni ni mchezaji anayepaswa atokee benchi.
unatafutaje ubingwa wa ligi kwa safu ya ushambuliaji inayomjumuisha saka kama ni mchezaji muhimu wa kikosi cha kwanza
Saka aaminiwe mkuu,game zote alizocheza anafanya wonders,bado hajawa mchezaji anayepaswa kubebeshwa majukumu mazito ya timu ndio maana nikasema hapo mwanzoni ni mchezaji anayepaswa atokee benchi.
unatafutaje ubingwa wa ligi kwa safu ya ushambuliaji inayomjumuisha saka kama ni mchezaji muhimu wa kikosi cha kwanza
ndio maana nikazungumzia ishu ya bajeti, ukiangalia sajili alizozifanya mikel arteta takribani zote zimelenga maeneo muhimu ambayo yalihitajika kufanyiwa overhaul ila ufinyu wa bajeti unakwamisha mipango yake ya kujenga timu bora kwa muda mfupi.True ila kwa sasa utampata nani ?Auba Laca Pepe wote hao ni wachezaji wenye viwango vya Dunia sijajua tatizo lao ni nini kushindwa kuperform
Kwani Umekerekaaaa mm kuongea kinafki???Unaongea kinafki mkuu, kama ni wa kiume chunga sana utajashikishwa
itabidi nirudishe utamaduni wangu wa kuangalia mechi zote za big 6, huyu saka ni mara yangu ya kwanza kumuangalia.Saka aaminiwe mkuu,game zote alizocheza anafanya wonders,
Angalia game ya West ham kaiamua yeye,angalia game ya leicester Carabao na hata game ya leo ni nani amemzidi Saka kucheza mpira?
Imefikia hatua mpira ukiwa kwa Saka tunafeel comfortable kuliko hata ukiwa kwa senior players.
Tupo pamoja sana mkuu.Baadhi ya mashabiki mnaolaumu na kuponda performance ya timu mnakosea sana.
Arteta is a promising coach aaminiwe na kupewa anachotaka mwakani Arsenal haitashikika.
Build up ya timu ni nzuri sana tofaut na awali na shida kidogo ipo kwa kiungo na utulivu mbele, kiasi flan kulikua na presha ya wachezaji ila naamini hali itapoa. Arteta apewe mida.
Jamani mpira ni Sanaa sio kukurupuka tu eti umfunge city na liver kirahisi nao wanamjua Arteta na Arsenal yake ndo maana nao wanakaza we need Patience. Arteta apewe muda.
Tumefungwa Mechi mbili na big team zinazocompete mashindano ya kimataifa na zimefikia mbali hadi fainali misimu miwili kama si mitatu nyuma na zimewekeza heavy wewe kocha wetu kapewa timu katikati ya msimu ulioisha unataka ghafra tu bin vuu uzifunge? My friend tuwe serious
Sisi saizi zetu ni chelsea, Man U, Tot, Everton Leicester kwa msimu huu hizo zingine mbili itokee tu ila level zao bado but hawa wengine tunawamudu.
Mwisho mashabiki wengi nje na baadhi wa arsenal walijua tunakufa nyingi ila kwa matokeo Haya na mpira ulivyokua wamekua surprised na hakika wanaiogopa Arsenal moyoni mwao wanajua ila hawawezi kusema. Unabisha? Muulize shabiki wa Chelsea au Man U kama anataka kukutana na arsenal hii na awe mkweli tu.
Top four bila ajizi tumo na mwakani Uefa tunashiriki. Tushukuru kwa kila hatua tusiwe watu wa kulaumu tu.
Inaendelea.....
Hatari mkuu. Mimi gunners lakini gunners wenzangu wamezidi aiseeee duh! Yaani utadhani tunachkua kombe keshoo saa mbili na robo asubuhiUkiwakuta wanakuchambulia hiyo kiungo yao yaan huyo ceballos unaweza sema labda ni boonge la mchezaj kumbe waongowaongo tu mara hapa akae xhaka pale muweke El neny yaan full vurugu tu
Nataka na huyo patei sijui part aanze kucheza tujue kama wamepigwa kama walivyopigwa kwa komred kipepe
Hapa umesema na hujaleta ushabiki maandazilakini wamecheza vizuri sana mechi ya leo, timu ina uwiano mzuri sana kuanzia eneo la ulinzi hadi kiungo
Yupo vizuri mkuu, Arsenal tukienda mbele huwa tuna madhara sana ila shida hatuendi mbele kwenye hizi big games,ndio ile unakuta foward line yote shot on goal hakuna yani zero kabisa, inaumiza sana.itabidi nirudishe utamaduni wangu wa kuangalia mechi zote za big 6, huyu saka ni mara yangu ya kwanza kumuangalia.
mchezaji aliyenivutia leo ni gabriel Magalhães, naye ni mara yangu ya kwanza kumuangalia ila nimeona chembe chembe za mwendawazimu chiellini
Partey anaweza kuwa game changer
Watch the kid, he is a wonderful lad.itabidi nirudishe utamaduni wangu wa kuangalia mechi zote za big 6, huyu saka ni mara yangu ya kwanza kumuangalia.
mchezaji aliyenivutia leo ni gabriel Magalhães, naye ni mara yangu ya kwanza kumuangalia ila nimeona chembe chembe za mwendawazimu chiellini