computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Kila siku hatupo vizuri dhidi ya big teams huu msemo unaboa na kuchoshaHongereni Citeh. Leo mlikuwa vizuri na sisi hatukuwa vizuri kwenye kutengenezwa nafasi na hata katika kuhamisha mpira. Next time tena
Yamekuwa hayo leo hiiKikosi kipo mkuu. Tuna kocha muoga kupitiliza. Hii timu apewe Marcelo Bielsa, utaipenda sans
Kila siku tunajifariji kwa misemo hii second match vs big 6 away results o pointTumecheza fresh tu,ila tatizo letu ni kuchukua muda mwingi kufanya 'build up',
Auba na pepe hawakua na wakati mzuri kutokana na uchache wa pass za mwisho za kuwafanya wascore,
Ule upande wa saka na Tierney wamecheza vuzuri Sana kuliko wakati wowote ule, Tierney alikua solid 'kinyama',saka alikua na pace ya kutosha,
Juu ya yote,wenzetu wana 'quality players' kutuzidi.
Mimi kazi yangu kuweka screenshot tu.Manchester city 1-0 Arsenal Full Time nlisema before Match started
Hii timu imerogwa na aliyeiroga Wenger ndo anayemjua!No excuse at all! Kila mechi ya away vs big 6 tunapoteza!
Mechi za Away dhidi ya Manchester United Spurs Chelsea Leicester na Everton Naapa hatutaambulia kitu
Endelea kuweka na Mimi ntakuwa nakukumbusha nilisema kabla match haijaanza na yametimia aliyeturoga Wenger ndo anamjua hakuna kocha wa Arsenal aliyeshinda away tangia Wenger asepe kama yupo nikumbushe may be nimesahau nipo tayari unikosoeMimi kazi yangu kuweka screenshot tu.
Hapa naķupinga big time. Have faith
Hili jukwaa ukipita katikati ya wiki utasema hakuna team inayoweza kuifunga arsenal maana upangaji wa kikosi na mauchambuz ya hapa na pale utakubali ila ukija siku ya mechi kila mtu analalamika kuliko mwenzake
Hahaha, unaweza kuogopa kuingiza timu uwanjani.
Mnaongozwa moja baba
nadhani bajeti inawaangusha arsenal, kiufupi walihitaji wachezaji wengine japo wawili wenye ubora hususan kwenye safu ya ushambuliaji.Hahaha, unaweza kuogopa kuingiza timu uwanjani.
nadhani bajeti inawaangusha arsenal, kiufupi walihitaji wachezaji wengine japo wawili wenye ubora hususan kwenye safu ya ushambuliaji.
saka, nketiah na hata pepe ni wachezaji wanaopaswa kuanzia benchi.
nadhani bajeti inawaangusha arsenal, kiufupi walihitaji wachezaji wengine japo wawili wenye ubora hususan kwenye safu ya ushambuliaji.
saka, nketiah na hata pepe ni wachezaji wanaopaswa kuanzia benchi.
brother upo serious?Saka benchi?come on man Saka ndio man of the Match leo au ulimaanisha mtu mwingine?
lakini wamecheza vizuri sana mechi ya leo, timu ina uwiano mzuri sana kuanzia eneo la ulinzi hadi kiungoAcha waendelee kuteseka, maana wakishinda vimechi vya yale makombe ya mbuzi hatupumui kwenye threads zetu.
Nikuulize wewe?Saka unasema aanzie benchi?brother upo serious?