Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kikosi kipo mkuu. Tuna kocha muoga kupitiliza. Hii timu apewe Marcelo Bielsa, utaipenda sans
Bob unajua kama Bielsa na kikosi chake wanacheza 4 1 4 1? Hivyo ni lazima watashambulia lakini kwakua hawana defense na wenyewe wanatunguliwa nyingi pia.

Bielsa hajali anashambulia kila mechi. Its the reason hata akifungwa atahesabiwa alifight. Unlike Arsenal.
 
Timu ya ku level na city tunayo mkuu. Japo kocha kiukweli simuelewi kabisa.
 
Hili jukwaa ukipita katikati ya wiki utasema hakuna team inayoweza kuifunga arsenal maana upangaji wa kikosi na mauchambuz ya hapa na pale utakubali ila ukija siku ya mechi kila mtu analalamika kuliko mwenzake
Auba kapigwa misumari aisee
 
Arsenal lazima tuwe na uwezo wa kuwafunga timu kubwa kwenye ligi.. Isiwe kama arsenal ya wenger ile mwishoni
 
Manchester city 1-0 Arsenal Full Time nlisema before Match started

Hii timu imerogwa na aliyeiroga Wenger ndo anayemjua!No excuse at all! Kila mechi ya away vs big 6 tunapoteza!

Mechi za Away dhidi ya Manchester United Spurs Chelsea Leicester na Everton Naapa hatutaambulia kitu
 
Now kama mnahisi leo tumejitahidi kwa kufungwa moja bila basi haukuona game iliyopita.

Bado nilichopoint kinamatter. Tulimhitaji Aouar kuliko Partey waliodai kazi ya Aouar itafanywa na Ceballos mmejionea.

So narudia tena. Usajili wa Partey ni mkurupuko same na na man u kwa Cavani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…