Mechi ya leo ipo 50 kwa 50 sio ngumu pia sio rahisi!anything can happen!
Problem tuliyonayo ni kushindwa kupata point 3 kwenye away games against big 6,ni kama Pepo lilmetukumba hivi na ndio waswas wangu wa leo but let's wait and see
Naona tumekuwa 'favourites' na siyo 'underdogs' kwenye hii fixture kwa mara ya kwanza kwa kiipindi kirefu tu. Nishishazoea kua underdog sasa leo inatulazimu kushinda tu, hakuna namna.