Boss sijasema hatushindi au tunashinda ila nasema kuchukua ligi ni long shot but if we are gonna do it itakua poaMkuu timu yetu ipo vizuri tena sana na ninaamini tunachua point 3.
Ukiangalia kila timu kubwa ina mapungufu yake...sijui man city, man utd, chelsea na liver aliyechezea 7.
Hivi ushawahi kujiuliza kwanini wenger na wachezaji wake wadogo wadogo lakin alikua moto wa kuotea mbali. Kuna ile hali ya kujiamini kocha anakupa hata aje nani wewe ni kupiga tu.
Ndo hio hali Arteta anawajengea wachezaji wetu. Leo mhindi katudharahu katupa point 6 kushinda mechi ya leo.
Leo hamshindi ng'oo! asema bwana wa majeshi.Mkuu timu yetu ipo vizuri tena sana na ninaamini tunachua point 3.
Ukiangalia kila timu kubwa ina mapungufu yake...sijui man city, man utd, chelsea na liver aliyechezea 7.
Hivi ushawahi kujiuliza kwanini wenger na wachezaji wake wadogo wadogo lakin alikua moto wa kuotea mbali. Kuna ile hali ya kujiamini kocha anakupa hata aje nani wewe ni kupiga tu.
Ndo hio hali Arteta anawajengea wachezaji wetu. Leo mhindi katudharahu katupa point 6 kushinda mechi ya leo.
Mkuu umekosea jukwaa...jukwaa la wachawi liko upande uleLeo hamshindi ng'oo! asema bwana wa majeshi.
Twendeni zetu Etihad kuchukua point 3 zetu wakuu
Wachezaji tulionao siyo wabaya ila hawaturuhusu kufight kwa ajili ya ligi na mashindano mengine.
Ndiyo maana niliwahi kusema humu kwamba tuna chance nzuri ya kuchukua Europa, FA au Carabao kuliko hata Ligi.
Nikasema pia. Tutajiweka kwenye nafasi nzuri katika ligi kama tutakua tunapiga timu ndogo na hizi kubwa tunapaki basi. Lakini uliona ushindi wetu ulivyokua mgumu kwa Sheffield? Na goli lao moja lilivyopatikana? Clearly squad yetu bado inahitaji muda.
Hahaha naona fans tuna matarajio makubwa anyway there is a reason liva couldn't secure ucl and a epl trophy in the same season.Too early to make such a comment, wait until midway
Mbona Henry alimrudisha?
Partey anasema alivyoenda majaribio Spain alimuambia baba yake asiumambie mtu, hata ndugu maana watu wakijua mipango yako anaweza kukuharibia. Kumbe majungu kibao na wachawi hata kwao wapo? Angekuwa mbongo ndo kabisa angechoka 😀😀
Hii ngenga ya leo hamtoboi.Twendeni zetu Etihad kuchukua point 3 zetu wakuu
Ujue ukiondoa liver na man city ambao ni ma-giant wa ligi waliobaki tuko nao sawa kwenye ile big six so ukiweza kugawana point na hao giants wengine hao ni hesabu tu lkn km ni hayo mashindano madogo tunao wachezaji wa mashindano ya aina hiyo ambao wanafahamika kwa kila mtu.Wachezaji tulionao siyo wabaya ila hawaturuhusu kufight kwa ajili ya ligi na mashindano mengine.
Ndiyo maana niliwahi kusema humu kwamba tuna chance nzuri ya kuchukua Europa, FA au Carabao kuliko hata Ligi.
Nikasema pia. Tutajiweka kwenye nafasi nzuri katika ligi kama tutakua tunapiga timu ndogo na hizi kubwa tunapaki basi. Lakini uliona ushindi wetu ulivyokua mgumu kwa Sheffield? Na goli lao moja lilivyopatikana? Clearly squad yetu bado inahitaji muda.
Mimi leo nahamishia kambi hapa,nantawakera haswa!Mkuu umekosea jukwaa...jukwaa la wachawi liko upande ule
SawaUjue ukiondoa liver na man city ambao ni ma-giant wa ligi waliobaki tuko nao sawa kwenye ile big six so ukiweza kugawana point na hao giants wengine hao ni hesabu tu lkn km ni hayo mashindano madogo tunao wachezaji wa mashindano ya aina hiyo ambao wanafahamika kwa kila mtu.
Ebu chukulia mfano tusipopata majeruhi ukubwa wa kikosi tulichonacho upande wa mabeki
Luiz
mustafi
Gabriel
Holding
Chambers
Saliba
Cedric
Bellelin
Tierney
Kolasinac
Niles
Hapo bado viungo na washambuliaji. Kwahiyo uwezo wa kuchallenge au hata kuchukua ubingwa upo hivyo ndo maana nikasema mechi ya leo itatupa determination yetu kwa hiki kipindi
Matarajio huja baada ya kuona mabadiliko mfano mzuri ni kipindi cha unai na kipindi cha mpito cha Freddie lkn alipokuja arteta tuliona mabadiliko kwenye back line ambayo ilionekana mbovu sana baada ya hapo tumeona mapungufu kwenye kiungo hasa kiungo mkabaji na tayari amelishughulia kwa kumleta partey sasa mechi ya leo tunataka tuone tatizo litakuwa wapi maana maana tunakutana na giant wa ligi kwahiyo ni kipimo sahihi kabisa kwa kikosi cha artetaHahaha naona fans tuna matarajio makubwa anyway there is a reason liva couldn't secure ucl and a epl trophy in the same season.
The first season liver secured ucl and the next season they settled for epl. The reason was clear, they lack squad depth they had to choose what should be the priority at the time.
Same dilemma is faced by man u. They are expected to face psg two days after their clash with new castle. By the look of their squad obviously Ole will try to prioritize ucl than a ligue.
Arsenal is in the same situation. I believe Arteta will prioritize Europe trophy than epl title.
Giant wa ligi ambaye hana De Bruyne, hana Jesus. Nafikiri CF wao atakua Mahrez au Sterling.Matarajio huja baada ya kuona mabadiliko mfano mzuri ni kipindi cha unai na kipindi cha mpito cha Freddie lkn alipokuja arteta tuliona mabadiliko kwenye back line ambayo ilionekana mbovu sana baada ya hapo tumeona mapungufu kwenye kiungo hasa kiungo mkabaji na tayari amelishughulia kwa kumleta partey sasa mechi ya leo tunataka tuone tatizo litakuwa wapi maana maana tunakutana na giant wa ligi kwahiyo ni kipimo sahihi kabisa kwa kikosi cha arteta
Usikimbie tu Maximin na wenzie wakikubaka. Wiki iliyopita umepigwa 6 leo jitahidi zisivuke nne.Mimi leo nahamishia kambi hapa,nantawakera haswa!
Leo tuna jambo letu.Unaionaje new castle?
Nyinyi mpaka mpate kocha mwenye akili. Sasa hivi hizi homa za vipindi haziwaachiWana ni fufua leo.
Leo tuna jambo letu.
Twendeni zetu Etihad kuchukua point 3 zetu wakuu
Nyinyi mpaka mpate kocha mwenye akili. Sasa hivi hizi homa za vipindi haziwaachi