Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwan na wewe unaweza kuchambua mpira?


Hizi update za Mascot kutimuliwa na zenyewe ni habari au za copy and paste anazoleta Aroon?

Umeanzisha mada kule nimekubana ukakimbia unakuja kutunanga huku.
Mh sometime hua sipati notification app yangu inanilimit kuona notifications zikizidi idadi fulani inakua ndiyo ishapita.

Kukukimbia hapana. Labda niambie ulichosema
 
Kwan na wewe unaweza kuchambua mpira?


Hizi update za Mascot kutimuliwa na zenyewe ni habari au za copy and paste anazoleta Aroon?

Umeanzisha mada kule nimekubana ukakimbia unakuja kutunanga huku.
Ila mzee nisikufiche mi bwana naweza kuchambua mchezaji mmoja mmoja. Yaani naweza kusema tu kwamba hiyo chapati na ikawa chapati kweli.

Mfano mimi nakuambia hapa sasa hivi. Werner akiendelea kuwekwa atokee pembeni hamtafaidi matunda yake kama ambavyo mngemuweka kati. Pia Werner ataperform vizuri kama watakua strikers wawili pale mbele.

Sasa endelea kubisha.
 
Mzee wa mihemuko unarudi na story zako za kujitekenya na kucheka mwenyewe. Hayo maswali uliwauliza mashabiki gani wakawa hawajui?

Pia kulingana na story yako labda pengine Timo umemjua wakati sisi tunamsajili kwasababu ndani ya misimu minne iliyopita anahusika na magoli zaidi ya 25 na kwa sasa ana miaka 24. Nadhani ulipaswa kumzungumzia Keppa pekee usimuingize Timo kabisa.
 
Mh sometime hua sipati notification app yangu inanilimit kuona notifications zikizidi idadi fulani inakua ndiyo ishapita.

Kukukimbia hapana. Labda niambie ulichosema
Lol!! Man that's your problems what I know u ran away.
 
Wiki kadhaa nyuma mi ndo niliandika koment ya kuonyesha kwanini Kepa kadrop. Nataka uiambie akili yako kwamba "Mchezaji aliyenunuliwa kwa 80M mwaka jana sasa hivi thamani yake ni 18M"

Unajua sometimes stats zinatufunga tunakua hatufikirii sana. Werner kahusika na hayo magoli na ni kweli, formation ya Leipzig ilimuweka Werner wapi? Huwezi utilize same ability kama humtengenezei mazingira.

Jamaa ana pace, ana shot power, finishing ipo isipokua hana skill moves za kuwatoka watu so kumuweka mbali na goli ni kuzidi kumpa tabu. Leipzig alikua anasimama na Yusuf pale mbele.

Huku alianza kwa kusimamishwa peke yake. Akasema mabeki warefu na wana nguvu akapelekw atokee pembeni kabisa.
 
Mkuu akiwa RB Leipzig kuna baadhi ya mechi alikua anatokea pembeni hasa kushoto na kuna baadhi alikua anacheza katikati na bado alikua anaperform fresh. Sasa nyie wacha-mbuzi mtu kacheza mechi 6 mmeanza nongwa tayari sijui mambo ya chapati na blah blah zenu. Ngoja aanze kuwanyoosha mtakula hizo chapati zenu
 
Kumchezesha na mshambuliaji mwingine hapo inategemea na game kwa sababu ukishaweka striker wawili tayari umebadili mfumo 4-4-2 na watu wengi hawamuelewi Lampard ni kwamba anataka timu ambayo itakua na midfield wazuri hasa 6,8&10 defensive na attacking nakwa sasa bado ana strugle ndio maana utamuona Kai kacheza wing na wakati yeye ni AM Sasa katika kipindi ambacho anatakiwa kuweka hayo yote sawa wanakuja na majeruhi hapo unakua na upungufu wa wachezaji na bado kuna wachezaji wapya so usitegemee kuiona potential ya Timo katika kipindi kama hiki.

Popote atakapo pangwa atacheza wakirudi Pulisic na Ziyech pengine itamsaidia kurudi kwenye ubora wake
 
Key points from Arteta's press conference

- Still hopeful Tierney could be available this weekend
- Saliba set to stay
- Partey to train for first time today
- Arteta wants 'massive figure' Wenger around
- 'Difficult decision' to leave Ozil and Sokratis out of EL squad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja niseme kitu mcha-mbuzi mwenzangu.

Strikers kua wawili siyo lazima iwe 4 4 2 as ikiwa hivyo utakosa mchango wa pasi hatari za Havertz.

So yaweza kuwekwa 4 3 1 2 au 3 4 1 2. Katika formation yoyote hapo Hiyo 1 ndiyo awe Havertz halafu 2 ni Timo na yeyote kati ya Abraham au Giroud.

Ila umesema Lampard anaona mbali ngoja tusubiri tuone ila kwa sasa acha wenye London yetu tuendelee kuimba.
 
Juzi juzi niliona mahali Wenger alisema akipewa kazi Arsenal hatokataa.

Nikaja kuona interview yake.

Leo naona kwako ukisema hii ishu ya 'massive figure'

I hope by massive figure hajamaanisha statue.
 
Arteta on whether Ozil will be in our Premier League squad:

'He wasn't the only one who was not in the [EL] squad. It is a really difficult decision for me to make because to leave players out of the squad at that level, where they know they cannot get involved, is really tough.'

'I don't like it at all, but the decision had to be made because we have an excess of foreign players. Unfortunately we had to make that decision.'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi juzi niliona mahali Wenger alisema akipewa kazi Arsenal hatokataa.

Nikaja kuona interview yake.

Leo naona kwako ukisema hii ishu ya 'massive figure'

I hope by massive figure hajamaanisha statue.
Arteta anasema kuhusu Wenger:

"I think he's a figure that has to be very present in what we do at the football club because he is, in my opinion, the one who had the vision and helped this club to evolve and be what it is today."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…