Kuna wajinga waliopitiliza watakuambia unachuki na Ozil, unachukia na uislamUkweli ni huo mpira wa sasa , watu kama Ozil, Gotze unaenda kuwakataa ,maana inahitaji uwawekee mazingira Fulani
Mpira wa sasa Unahitaji kila mchezaji ajitoe 100%, Angalia Arteta anachotaka pale timu ikiwa na mpira na isipokuwa na mpira,kila mchezaji lazima awajibike
NB: Ozil kurudi kikosini ni ngumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu sijui kwanini wanapenda kuhusisha na UdiniKuna wajinga waliopitiliza watakuambia unachuki na Ozil, unachukia na uislam
Enzi za uhai wa mwalimu, alisistiza adui yetu mkubwa ni UJINGA
Partey ana mtindo wa kupiga mashuti nje ya box usitarajie atakaa nyuma kusubiri dirty work.Castr umeona hiyo kazi ya xhaka boom
Tutegemee, T partey xhaka na cebaloss
Elneny awe anatokea sub, au asubir game ambazo hazina presha kubwa
Arteta ni mpiga rotation mzuri sana , kila mchezaji atapata more minutes za kucheza ,Partey ana mtindo wa kupiga mashuti nje ya box usitarajie atakaa nyuma kusubiri dirty work.
Xhaka zamani alikua hivyo, Emery akamharibu kwa kumpanga na Guendouz Xhaka akawa na amekua muoga kusogea mbele.
Kama Xhaka na Partey ni wapenda kupiga mipira ya hivyo unatarajia Ceballos ndiyo awe mlinzi?
Now mi sisemi Elneny atapata namba kwa Ceballos kula benchi, no, mmojawapo kati ya Xhaka au Partey anatema namba kwa Elneny.
Nilisema tusubiri wiki ili maneno yangu ya kwamba tunahitaji AMF yakamilike, now nakuambia wewe tusubiri siku 4 za kuona Elneny atampora nani namba. Keki ni ndogo ikitokea wamegawana sawa ila natarajia mmoja achukue yote.
Partey ana mtindo wa kupiga mashuti nje ya box usitarajie atakaa nyuma kusubiri dirty work.
Xhaka zamani alikua hivyo, Emery akamharibu kwa kumpanga na Guendouz Xhaka akawa na amekua muoga kusogea mbele.
Kama Xhaka na Partey ni wapenda kupiga mipira ya hivyo unatarajia Ceballos ndiyo awe mlinzi?
Now mi sisemi Elneny atapata namba kwa Ceballos kula benchi, no, mmojawapo kati ya Xhaka au Partey anatema namba kwa Elneny.
Nilisema tusubiri wiki ili maneno yangu ya kwamba tunahitaji AMF yakamilike, now nakuambia wewe tusubiri siku 4 za kuona Elneny atampora nani namba. Keki ni ndogo ikitokea wamegawana sawa ila natarajia mmoja achukue yote.
Sawa kakaGame ya man city partey kuanzia sub n 90% au asicheze kabisa
Arsenal wanafata sana principle, ila ingekua man u angeanza
Game zinazofata kama mbili hiv nina uhakika ni partey after partey nonstop. Huku xhaka boom akiweka team stable. Na cebaloss akiwa mnyumbulikaji
Kipindi hiko Elneny atakuwa anajifunza akiwa bench then anaingia dakika ya 75
kuogopa hakusaidii kitu. tucheza na na tutawashindaWakuuu hivi hamuogopi kukutana na Man City
Mnaweza kula gori 3 Kama kawaida yao epl, wanamangua tu
Huyu Elneny wengi mnamunderestimate na ni wazi Arteta anamkubali, nadhani kapata dakika nyingi kuliko hao wengine,binafsi mimi nilijua anarudi kuuzwa lakini imekuwa vinginevyo na usishangae Xhaka na Ceballos wakagombania namba dhidi yake.Game ya man city partey kuanzia sub n 90% au asicheze kabisa
Arsenal wanafata sana principle, ila ingekua man u angeanza
Game zinazofata kama mbili hiv nina uhakika ni partey after partey nonstop. Huku xhaka boom akiweka team stable. Na cebaloss akiwa mnyumbulikaji
Kipindi hiko Elneny atakuwa anajifunza akiwa bench then anaingia dakika ya 75
Nadhani combo kuu itakuwa Thomas na Xhaka. Tukiongoza mechi Mo atakuwa anaingia kujaza mid na kucontrol game. Na atakayekuwa anatolewa ili yeye aingie ni forward kama Willian hiviHuyu Elneny wengi mnamunderestimate na ni wazi Arteta anamkubali, nadhani kapata dakika nyingi kuliko hao wengine,binafsi mimi nilijua anarudi kuuzwa lakini imekuwa vinginevyo na usishangae Xhaka na Ceballos wakagombania namba dhidi yake.
Haya mambo tulishayamaliza, ila wewe unataka kuyarudisha... Then sidhani kama ni vema kuita mwingine mjinga, wakati yeye kajaribu kutoa maoni yake, ulitaka mfanane kimaono? Haiwezekani.Kuna wajinga waliopitiliza watakuambia unachuki na Ozil, unachukia na uislam
Mpango mzuri. Hapo ni kushinda tu mechi na kujiongezea kipato. Naona huu ni wakati wa Vinai kuchangamka maana Arteta amewapa matumaini mashabiki, hivyo tukiendelea kupanda chati hata wadhamini watataka nao wawe karibu nasi na tutaweza kupata dili nono zaidi huko. Tumekuwa tunaangalia sana upande wa uwanjani ila hatuangalii upande wa wali na kazi ya kuhakisha uchumi wetu uko vizuri nje ya uwanja kwa kupata dili bora kwa wadhamini na mengineo. Hata social media naona tuko nyuma sana.Arsenal’s first payment to Lille for defender Gabriel Magalhães was £5m this summer, with the rest of the transfer fee to be spread across three years. [@NickAmes82] #afc
Sent using Jamii Forums mobile
Hawa watu ni wapuuzi tu.Haya mambo tulishayamaliza, ila wewe unataka kuyarudisha... Then sidhani kama ni vema kuita mwingine mjinga, wakati yeye kajaribu kutoa maoni yake, ulitaka mfanane kimaono? Haiwezekani.
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Wewe jamaa una matatizo tena makubwa , ulishaona nimeweka viashiria vyovyote vya Udini au ukabila Kwenye hili jukwaa?Hawa watu ni wapuuzi tu.
Anadhani ukimya wa wengine ni wajinga. Nilisema hapa ninao ushahidi wa tuhuma zilizotòlewa juu ya Aaron.