Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuuu hivi hamuogopi kukutana na Man City


Mnaweza kula gori 3 Kama kawaida yao epl, wanamangua tu
 
"I was so happy, I was excited. I was not even here yet and they were crazy over me... I received a lot of messages saying 'Join the club or we are not sleeping!' - it was a great feeling."

Watch @ThomasPartey22's first interview on Arsenal Player

www.arsenalfc.com
 
Ujerumani 3 v/s 3 Uswisi


Granit Xhaka was up against Kroos, Goretzka & Kimmich in midfield tonight.

He finished the game with 95% pass accuracy, 100% long ball accuracy, 100% dribble success rate, 100% crossing accuracy, 6 duels won, 2 clearances, 1 block, 1 interception & 1 tackle.

https://t.co/LXRu65
 
Arsene Wenger akiwa anahojiwa na BBC jana.

Mwandishi: Ulimsajili Ozil kwa kiasi kilichovunja rekodi Arsenal unaonaje career yake kipindi hichi?

Arsene: Naona ni hasara kwake. Kwanza ni kwakua yupo katika umri ambao mchezaji mwenye kipaji kama chake anaweza na anatakiwa kuproduce the most. Na ni hasara kwa klabu kwakua Ozil ana kipaji kikubwa ana kipaji cha ubunifu ambacho kinamsaidia kutoa 'killer pass'

Mpira wa siku hizi umekua ni kucounter press kwa haraka, kujipanga haraka haraka na wote mnacheza na kujitoa sawa kwa sawa. Huu mfumo unawakataa wachezaji kama Ozil. Hata hivyo tusimsahau yeye ni nani. Ni bingwa wa dunia na amechezea Real Madrid.

Ameshikilia rekodi ya kutoa assissts. Hivyo inabidi utafute namna ya kumrudisha kikosini tena.

My take: Tunaandaliwa kumuona Ozil tena? Umeona IG pages recently zimekua zikimuongelea sana Ozil? Tusubiri
 
Ukweli ni huo mpira wa sasa , watu kama Ozil, Gotze unaenda kuwakataa ,maana inahitaji uwawekee mazingira Fulani

Mpira wa sasa Unahitaji kila mchezaji ajitoe 100%, Angalia Arteta anachotaka pale timu ikiwa na mpira na isipokuwa na mpira,kila mchezaji lazima awajibike

NB: Ozil kurudi kikosini ni ngumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…