Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hao chelsea hawaelewagi na hawajui kuwa kitimu chao ni kitimu kidogo tu!.. Walivyowabishi wanaweza wakaja hapa kubishana na hizi statisticsUkikutana na plastic kutoka chelsea hatasita kukuambia hajawahi kutokea mchezaji hatari kama Drogba na EPL nzima hajawahi kuwepo. Sasa twende polepole;
Henry alishinda kombe la UCL 2009 alichangia magoli 8, 6 alifunga katika hatua ya mtoano. Drogba alipata UCL 2012 akachangia magoli 8, 4 tu ndiyo alifunga katika hatua ya mtoano.
Henry ana jumla ya magoli 58 ya kuamua ushindi kwenye ligi ya EPL, Drogba ana magoli 31.
Pia Henry amechagia magoli 64 dhidi ya timu za Top 4 EPL + Hatua ya mtoano kwenye UCL, wakati Drogba ana 41.
Tangu Drogba afike Chelsea mpaka anaondoka ana jumla ya magoli 20 dhidi ya top 6 wakati Henry ana magoli 24 dhidi ya Liva, Man U na Chelsea pekee. Hapo hujamhesabia waliobaki.
Henry amefunga magoli 20+ mara nne katika EPL wakati Drogba amefunga magoli 15+ mara mbili tu.
Drogba amejinyakulia kiatu cha dhahabu pale EPL mara mbili. Henry amechukua kiatu cha dhahabu mara NNE.
Henry amepata tuzo ya Player of the Season mara 2 na katika tuzo za Ballon D'Or amefika kwenye tatu bora mara mbili. Drogba hapa hana chake.
Kimataifa Henry ameshinda kombe la dunia 1998 na kua France top scorer na 2006 akatoboa mpaka fainali. Bwana Drogba hapa hana kitu pia aliishia hatua ya mtoano mara tatu zote alizonusa kombe la dunia.
Ukikutana na plastic kutoka chelsea hatasita kukuambia hajawahi kutokea mchezaji hatari kama Drogba na EPL nzima hajawahi kuwepo. Sasa twende polepole;

Kuna kipindi mourinho alikua kocha chelsea bhas akasema eti huyu Henry anafunga vitimu vidogo vidogo.Ukikutana na plastic kutoka chelsea hatasita kukuambia hajawahi kutokea mchezaji hatari kama Drogba na EPL nzima hajawahi kuwepo. Sasa twende polepole;
Henry alishinda kombe la UCL 2009 alichangia magoli 8, 6 alifunga katika hatua ya mtoano. Drogba alipata UCL 2012 akachangia magoli 8, 4 tu ndiyo alifunga katika hatua ya mtoano.
Henry ana jumla ya magoli 58 ya kuamua ushindi kwenye ligi ya EPL, Drogba ana magoli 31.
Pia Henry amechagia magoli 64 dhidi ya timu za Top 4 EPL + Hatua ya mtoano kwenye UCL, wakati Drogba ana 41.
Tangu Drogba afike Chelsea mpaka anaondoka ana jumla ya magoli 20 dhidi ya top 6 wakati Henry ana magoli 24 dhidi ya Liva, Man U na Chelsea pekee. Hapo hujamhesabia waliobaki.
Henry amefunga magoli 20+ mara nne katika EPL wakati Drogba amefunga magoli 15+ mara mbili tu.
Drogba amejinyakulia kiatu cha dhahabu pale EPL mara mbili. Henry amechukua kiatu cha dhahabu mara NNE.
Henry amepata tuzo ya Player of the Season mara 2 na katika tuzo za Ballon D'Or amefika kwenye tatu bora mara mbili. Drogba hapa hana chake.
Kimataifa Henry ameshinda kombe la dunia 1998 na kua France top scorer na 2006 akatoboa mpaka fainali. Bwana Drogba hapa hana kitu pia aliishia hatua ya mtoano mara tatu zote alizonusa kombe la dunia.
Ukikutana na plastic kutoka chelsea hatasita kukuambia hajawahi kutokea mchezaji hatari kama Drogba na EPL nzima hajawahi kuwepo. Sasa twende polepole;
Henry alishinda kombe la UCL 2009 alichangia magoli 8, 6 alifunga katika hatua ya mtoano. Drogba alipata UCL 2012 akachangia magoli 8, 4 tu ndiyo alifunga katika hatua ya mtoano.
Henry ana jumla ya magoli 58 ya kuamua ushindi kwenye ligi ya EPL, Drogba ana magoli 31.
Pia Henry amechagia magoli 64 dhidi ya timu za Top 4 EPL + Hatua ya mtoano kwenye UCL, wakati Drogba ana 41.
Tangu Drogba afike Chelsea mpaka anaondoka ana jumla ya magoli 20 dhidi ya top 6 wakati Henry ana magoli 24 dhidi ya Liva, Man U na Chelsea pekee. Hapo hujamhesabia waliobaki.
Henry amefunga magoli 20+ mara nne katika EPL wakati Drogba amefunga magoli 15+ mara mbili tu.
Drogba amejinyakulia kiatu cha dhahabu pale EPL mara mbili. Henry amechukua kiatu cha dhahabu mara NNE.
Henry amepata tuzo ya Player of the Season mara 2 na katika tuzo za Ballon D'Or amefika kwenye tatu bora mara mbili. Drogba hapa hana chake.
Kimataifa Henry ameshinda kombe la dunia 1998 na kua France top scorer na 2006 akatoboa mpaka fainali. Bwana Drogba hapa hana kitu pia aliishia hatua ya mtoano mara tatu zote alizonusa kombe la dunia.
Na huo ndio uhalisia, unapoamua kutaja vitimu vidogovidogo lazma uitaje chelsea labda uwe umeisahau kibinadamu tu.Kuna kipindi mourinho alikua kocha chelsea bhas akasema eti huyu Henry anafunga vitimu vidogo vidogo.
Bhas mhuni Henry kwenye mechi ya chelsea akawafunga chelsea.
Kwenye mahojiano akasema, " wanasema nafunga timu ndogo ndogo tu, kwahio chelsea nayo ni katimu kadogo tu.
Jamaa akafunga mjadala.
Huwezi mfananisha na drogba, drogba levo zake kina Emile Heskey au giroudHenry mchezaji bora inaajulikana na hakuna anaebisha
Same to drogba Alkuw bora pia hasa kuwafunga arsenal mara nying Zaid kwa timu za top four
Kuna member alisema subiri plastic wa chelsea aje kukupa takwimu zake. Kwahiyo ulitaka Henry na yeye aifunge Arsenal mara nyingi?Henry mchezaji bora inaajulikana na hakuna anaebisha
Same to drogba Alkuw bora pia hasa kuwafunga arsenal mara nying Zaid kwa timu za top four
What?Guys nipo mtandao fulan unaitwa hitwe kuna mtu anajisikia kutaka namba ya msichana muda huu?
Dully tuliaWhat?
Dully tulia
Umenikumbusha Aubameyang ,Walikuwa wanasema kwenye Big match anazingua na hafungiKuna kipindi mourinho alikua kocha chelsea bhas akasema eti huyu Henry anafunga vitimu vidogo vidogo.
Bhas mhuni Henry kwenye mechi ya chelsea akawafunga chelsea.
Kwenye mahojiano akasema, " wanasema nafunga timu ndogo ndogo tu, kwahio chelsea nayo ni katimu kadogo tu.
Jamaa akafunga mjadala.
Siyo maeneo yangu yalikua yananishinda ndiyo nikataka kugawa digits humu.Najua maeneo yako hayo, ngoja nitulie
Naona nyuma waanze Holding, Luiz na GabrielSiyo maeneo yangu yalikua yananishinda ndiyo nikataka kugawa digits humu.
Ila Arsenal wanafight Tierney arudi lakini TFF ya Scotland imesema kumruhusu Tierney kuondoka wakati ilidirect wachezaji wawili wajiisolate itakua ni upendeleo kwa Tierney. So anaweza asiwepo.
Genius!Ozil tunakaribia kumaliza mkataba wake June. Natumaini kama hatacheza mambo ya nje yataisha kimya kimya. Sioni ubaya wake kiasi unavyoona wewe lakini natumaini tutajitahidi kuziba pengo lake uwanjani kwa mbinu bora na tutafanikiwa. Itabidi tupambane tu tuvumilie msimu huu na msimu ujao tutarudi tena. Kama China hawataonesha mechi zetu yeye akiwa muajiriwa wetu, tutaumia sisi ni kila timu inayotakiwa kukutana nasi, wakianza Man City Jumapili. Kama yuko sahihi na msimamo wake, kuna tunaoumia na wapo wanaofurahia kuwa wana mtu anaewajali hata kama ni mmoja tu kuliko maelfu wasioonesha kujali kwao. Ngumu hii.
Hapo ushataja backline tayari. Auba atakuwepo?Naona nyuma waanze Holding, Luiz na Gabriel
Auba is fit nadhani hata kurudi kwake ilikuwa tactical kama ilivyofanyika kwa Debrune na Sterling. Hata kwenye injury list ya arsenal hayumoHapo ushataja backline tayari. Auba atakuwepo?