Kipindi hiki cha Corona fan base has nothing to do with football, ndomana Liverpool na Man U wamekuwa wepesi sana uwanjani ambapo kuna real fans, hizo takwimu have nothing to do by now... Mambo ya Facebook hayajawa na msaada kwa timu yoyote broHuwez kujua faida yake hadi siku utakapoelewa nini maana ya Fan base katika ulimwengu wa soka ...
Inasaidia indirectly.Hii kitu haitusaidii sana kwenye mbio za ubingwa, ni takwimu zisizo na faida yoyote
Mimi siamini kama uwepo wa mashabiki unasaidia timu kushinda.Kipindi hiki cha Corona fan base has nothing to do with football, ndomana Liverpool na Man U wamekuwa wepesi sana uwanjani ambapo kuna real fans, hizo takwimu have nothing to do by now... Mambo ya Facebook hayajawa na msaada kwa timu yoyote bro
Arsenal kupitia Digital inaingiza wastani wa billioni 2.3 kwa mwezi. Pesa hizi zinatokana na mitandao ya YouTube, Facebook, Twitch na Dugout.Kipindi hiki cha Corona fan base has nothing to do with football, ndomana Liverpool na Man U wamekuwa wepesi sana uwanjani ambapo kuna real fans, hizo takwimu have nothing to do by now... Mambo ya Facebook hayajawa na msaada kwa timu yoyote bro
Shukran sana kwa kumfafanulia umuhimu wa hizi social mediaArsenal kupitia Digital inaingiza wastani wa billioni 2.3 kwa mwezi. Pesa hizi zinatokana na mitandao ya YouTube, Facebook, Twitch na Dugout.
Ni sawa na kusema mambo ya YouTube au Instagram hayana msaada kwa Diamond Platnumz.
Each post unayoitizama imewahusisha Santa Rita and mainly katika birthday issues inaingiza millioni 203 kwa klabu.
Arsenal ni Organization, Arsenal ni Kampuni, Arsenal ni Chuo, Arsenal ni timu, Arsenal ni familia.
Umeona mchezaji mwingine ambaye yupo na Ozil? Ni Demba Ba, ambaye najua hata haujui anachezea timu gani. Of koz hata mimi sijui kwakua kasahaulika.Kama China inafanya aliyoyasema Ozil mi Niko na Ozil
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kama hao wachezaji waislamu uliowataja wanaangalia maslahi zaidi ? Je ni jambo bora kutanguliza maslahi badala ya utu?Umeona mchezaji mwingine ambaye yupo na Ozil? Ni Demba Ba, ambaye najua hata haujui anachezea timu gani. Of koz hata mimi sijui kwakua kasahaulika.
Mustafi ni muislam, Salah ni muislam, Mane ni muislam, Pogba pia lakini kwanini haujawasikia?
Kuna mataifa yanaendeshwa kiislamu. Umesikia yakisemea hilo swala?
Anyway, katika maisha huwezi kusave vyote ameamua kuongea at the cost of his career. Ndivyo ilivyo hata aliyeanzisha mtindo wa kupiga goti ili kugomea unyanyasaji wa askari wa marekani, Kaepernick, na yeye ilimgharimu career yake.
Hapana lakini umewahi sikia "Baniani mbaya ...?"Kama hao wachezaji waislamu uliowataja wanaangalia maslahi zaidi ? Je ni jambo bora kutanguliza maslahi badala ya utu?
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Kuna mstari unatenganisha siasa na mpira(mchezo wowote).Kama hao wachezaji waislamu uliowataja wanaangalia maslahi zaidi ? Je ni jambo bora kutanguliza maslahi badala ya utu?
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Nimecheka sana ulivyomaliza hapoSaliba alitaka kurudi ufaransa akawe karibu na familia yake. Haswa baada ya kufiwa.
Hiyo ni taarifa ya kwanza.
Saliba anatakiwa apate game time kwakua hajawa tayari kucheza epl.
Hii ni taarifa ya pili.
Leicester wamemsajili Fofana na ameingia moja kwa moja kwenye kikosi cha leicester kwenye ligi. Na anaperform.
Saliba na Fofana walikua timu moja, Saliba akimuongoza Fofana, Saliba na Magalhaes wametoka ligi moja na unajua nani ana takwimu nzuri kumzidi mwenzake wakiwa Ligue 1? Ni Saliba.
Takwimu zake zinamuweka miongoni mwa mabeki bora kati ya hizi ligi tano za Europe. Gabriel kafika moja kwa moja kikosini, Fofana kafika moja kwa moja kikosini Saliba huu ni msimu wake mwingine kuna watu wanazusha hayupo tayari.
Mi naiamini ile taarifa ya kwanza. Hii ya pili sina imani nayo. Ila kumpeleka Championship ni kumpoteza, he is good.
Akiwa anajiandaa kuanza kwenye kikosi cha kwanza alinyoa mpaka nywele ili akiruka header nywele zisiharibu dynamic ya mpira.
Ngoja nisubiri nione.
Umesema?Kipindi hiki cha Corona fan base has nothing to do with football, ndomana Liverpool na Man U wamekuwa wepesi sana uwanjani ambapo kuna real fans, hizo takwimu have nothing to do by now... Mambo ya Facebook hayajawa na msaada kwa timu yoyote bro
Mkuu haujatumia kilevi chochote tangu asubuhi?Kipindi hiki cha Corona fan base has nothing to do with football, ndomana Liverpool na Man U wamekuwa wepesi sana uwanjani ambapo kuna real fans, hizo takwimu have nothing to do by now... Mambo ya Facebook hayajawa na msaada kwa timu yoyote bro
Hii inshu ya Saliba binafsi nimeshindwa kumuelewa Arteta na benchi lake la Ufundi.Saliba alitaka kurudi ufaransa akawe karibu na familia yake. Haswa baada ya kufiwa.
Hiyo ni taarifa ya kwanza.
Saliba anatakiwa apate game time kwakua hajawa tayari kucheza epl.
Hii ni taarifa ya pili.
Leicester wamemsajili Fofana na ameingia moja kwa moja kwenye kikosi cha leicester kwenye ligi. Na anaperform.
Saliba na Fofana walikua timu moja, Saliba akimuongoza Fofana, Saliba na Magalhaes wametoka ligi moja na unajua nani ana takwimu nzuri kumzidi mwenzake wakiwa Ligue 1? Ni Saliba.
Takwimu zake zinamuweka miongoni mwa mabeki bora kati ya hizi ligi tano za Europe. Gabriel kafika moja kwa moja kikosini, Fofana kafika moja kwa moja kikosini Saliba huu ni msimu wake mwingine kuna watu wanazusha hayupo tayari.
Mi naiamini ile taarifa ya kwanza. Hii ya pili sina imani nayo. Ila kumpeleka Championship ni kumpoteza, he is good.
Akiwa anajiandaa kuanza kwenye kikosi cha kwanza alinyoa mpaka nywele ili akiruka header nywele zisiharibu dynamic ya mpira.
Ngoja nisubiri nione.
😁😁Umefafanua vema, kudos bro COYGInasaidia indirectly.
Seems Arsenal fan wameanza kurudisha imani kwa timu.
Inapandisha morali ya timu.
Kufikia mwezi uliopita jezi iliyokua inauza sana ni ya Arsenal ikiwa imeipiku jezi ya liva. Hiyo pesa itatumika kuendeshea timu na usajili.
Usajili unaleta wachezaji.
Wachezaji wanaleta makombe.
So it does.
Meanwhile wachezaji 2 wapya timu ya wanawake ya Man u jezi zao zimeuza juliko jezi za timu nzima ya wanaume kwa mwezi uliopita.
Unadhani maguire anajisikiaje? Atoke kupigwa sita halafu sokoni kumekua hivyo
Aaron analeta kila taarifa, hachambui. Akikuta mtu kamsimanga Ozil analeta kama ilivyo tendo jema la Ozil kuofa kumlipa Jerry Quy.Aaron Arsenal nimefuatilia sana namna unavyomzungumzia na kumchukulia Özil. Inaonekana wazi chuki kubwa uliyonayo dhidi ya Mesut ni concerning his religion! Yes, Özil anasamamia anachokiamini (Islam) kama wewe unavyosimamia unachokiamini (Sabath) na mimi ninachokiamini (Non-Affiliated), anachofanya Mesut nashangaa dunia kukiona kitu cha ajabu na kutanabaisha like Politics yes! dini ni politics but #BlackLivesMatter ni politics too. Kama Black Lives Matter ni humanity case same Ughur scenario ni humanity.
Leo hii watu wanajadiri Mesut alikutana na Erdoğan so what?! Mbona Walcott, Wilshire, Gibbs, Chamberlain, Jenkison na Ramsey walikutana na Cameron? Mbona Aubameyang alikutana na Ali Bongo? Mbona Mustafi alikutana na Ilir Meta wa footprint roots zake Albania na still ni Germany Passport Holder? mbona Xhaka amekutana na Simonetta Myriam Sommaruga. Why Ozil then?! Leo hii mmejitoa ufahamu Henrik Mkhitaryan alikutana na Armen rais wa Armenia mbona hamkuuliza? Well Mkhitaryan huyo huyo currently unaona hii post yupo anafanya situation hiyo hiyo kwa Azerbaijan na Turkey mbona watu hamsemi ni politics?
View attachment 1595695
View attachment 1595700
Politics? Mbona Arsenal walimsapoti Henrikh?!
Generally Özil is there na remember ni top 15 Footballers wenye ukwasi wa juu, hivyo haimsumbui na haina impact chuki mifano ya kwako ni dumbs tu. Kila myu asimamie anchoaamini, kinachofaa au chenye maslahi kwake.