Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ndio maana nilisema nitaungana na Arsenal kwenye hili dili kama alivyosema DullyJrDeal la Hossem Aour ....Kaka ake alikata Waya pia
achilia mbali Rais wa LyonView attachment 1594900
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
naanza kupata mashaka SALIBA inaweza kuwa bad deal all the way, tikitaka zimeanza mapema sanaMuhuni tu huyo jamaa ,
Kwasasa Arsenal inamtafutia Saliba timu championship
Sidhan kama kutakuwepo na Incoming yoyote
Pablo Mari vipi? Maana na yeye tangu asajiliwe msimu unakata ila hatuoni chochotenaanza kupata mashaka SALIBA inaweza kuwa bad deal all the way, tikitaka zimeanza mapema sana
Pablo injury had DecemberPablo Mari vipi? Maana na yeye tangu asajiliwe msimu unakata ila hatuoni chochote
€30m zimetoka kwa 18yrsnaanza kupata mashaka SALIBA inaweza kuwa bad deal all the way, tikitaka zimeanza mapema sana
Ila si alicheza games za under 19 yeye na Holding. Kaumia tena?Pablo injury had December
Hajacheza game yoyote ya U19, toka alipoumia mechi na Mancity had sasa anasubilia kurudi kwenye full trainingIla si alicheza games za under 19 yeye na Holding. Kaumia tena?
Basi nimemix code kama hivyo. Anyway hata hivyo probably atatukuta bado tupo katika tournaments zingine so bado ana nafasi yake.Hajacheza game yoyote ya U19, toka alipoumia mechi na Mancity had sasa anasubilia kurudi kwenye full training
ile injury ni GOTI kaka ....aliumia vibaya mpaka december ndo atarudiPablo Mari vipi? Maana na yeye tangu asajiliwe msimu unakata ila hatuoni chochote
Duuh kuna wanakula mpunga wa Bure kabisa. Hizi ni biashara za kitumwa sana(joking though) unauza Bidamu you get moneyArsenal saying no to paying Aouar’s brothers demands shows the market we won’t be bullied
Certain clubs pay up and then they’re repeatedly targeted afterwards
Liverpool spent £74.1m in agent fees alone from summer 2018 to Jan 2020 (figures not out for this summer window)
Huyu ozil fernebache akacheze na samatta tu. Naona ashakua mwanasiasa sio mchezaji tenaAccording to @DuncanCastles ..
Mesut Ozil rejected a huge millions offer from Saudi Arabia due to political relations between Turkey and Saudi Arabia ..View attachment 1595135
Hii kitu haitusaidii sana kwenye mbio za ubingwa, ni takwimu zisizo na faida yoyoteArsenals’s Facebook numbers since the beginning of July:
Most interactions
Highest engagement
Most video views
View attachment 1595298
Huwez kujua faida yake hadi siku utakapoelewa nini maana ya Fan base katika ulimwengu wa soka ...Hii kitu haitusaidii sana kwenye mbio za ubingwa, ni takwimu zisizo na faida yoyote