Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mpira ni noma.

Mimi nilikua nasema ni vizuri tulivyofocus na Houssem kwakua kazi ya Thom itafanywa na Elneny huku mwingine anaona bora tumemsajili Thom kwakua kazi ya Houssem ataifanya Dani.
Ni noma kweli maana Unafananisha Thomas na Elneny ,lazima watu washangae

Kwasasa hata kama Una akili timamu machaguo ya kocha ni hawa Ceballos xhaka Partey then Elneny....

Labda Tumrudishe emery Tushihudie Vituko
 
Arteta alisema atampanga mtu kutokana na anavyojituma mazoezini. Bado nasema Elneny ana nafasi ya kukaa pale katikati na kusiliba zaidi uwepo wake.

Akili timamu sina bro.
 
Arteta alisema atampanga mtu kutokana na anavyojituma mazoezini. Bado nasema Elneny ana nafasi ya kukaa pale katikati na kusiliba zaidi uwepo wake.

Akili timamu sina bro.
Sawa tusubiri tuone kocha atapangaje
 
Ila binafsi nmeridhika na partey kuliko Aouar

Tulisema humu kama kuja mmoja basi partey ndio aje

Ni kweli nafasi ya Aouar wapo wakina willian hata ceballos watacheza ila kwa partey hamna pale

Halafu pia ataongeza ugumu katikati ya kiwanja tutazidi kuwa wagumu kufungika
 
Chini ya Emery Ceballos alishacheza kama AM nafikiri ni game na Liva. Kilichotokea Dani alionekana useless.
Mkuu Emery was a 'special case', almost every player flopped under him.

The players deemed uncouchable under him are now shining like crazy. Luiz, Mustafi, Xhaka, Torreira.... just to mention a few!
 
Hapo kwa Cedric ndio ulipokosea mkuu
Nimemuweka tu kwa sababu sijawahi kumfuatilia kwa hiyo sijui mchango wake kwetu kwa sasa. Naona kama tuna Bellerin na Niles wanaweza kucheza nafasi yake so namuona kama mchezaji wa ziada/starehe wakati tunahitaji ubunifu mbele.
 
Mkuu Emery was a 'special case', almost every player flopped under him.

The players deemed uncouchable under him are now shining like crazy. Luiz, Mustafi, Xhaka, Torreira.... just to mention a few!
Hilo najua ndiyo maana nikakuambia Xhaka kufeli ilikua chini ya Emery kwa jinsi alivyompanga
 
Nafikiri pia Thomas siyo DM aina ya Makele na Gilberto bali box to box aina ya Ramsey au Essien hivi sema kwa sababu anasifika kwa ukabaji tunamfikiria kama DM.
Hili liko wazi, Partey ana combine important features za deep lying play maker, defensive midfelder na attacking midfielder, sifa hizi zinamfanya awe modern box to box midfielder.
 
Arteta alisema atampanga mtu kutokana na anavyojituma mazoezini. Bado nasema Elneny ana nafasi ya kukaa pale katikati na kusiliba zaidi uwepo wake.

Akili timamu sina bro.
Kaka ila eneo lilokuwa sumbufu ni hilo la dmf .....je elneny ikitokea akaumia angecheza nan?
 
Inamaana CASTR huwa hausomi madini yangu hadi unaandika kitu usichokijua???

Unaniangusha sana mdogo wangu, leo hii defence unamkabidhi elneny!! Ukikutana na man city, man u, Chelsea sura yako utaiweka wapi wewe??

Achana na Liverpool ambapo elneny kapiga back pass 18, forward pass 1 tu

Xhaka na cebaloss n natural namba nane,
Hiv kwa akil za kawaida unakubal cebaloss n kiungo mkabaji yule???
 
Kaka mbona nimesema Dani ni cmf? Huyu siyo mkabaji.

Ila kaka Elneny alipiga hizo pasi ila uliona possession ilivyosoma? Halafu wenzake walikua na pasi ngapi?

Na unajua kua Leipzig alimtoa ATM ucl huku kamzidi possession? Mpaka pasi, Thom alikua wapi?

Na pia mi sijasema Thom mbovu nimesema tu kua huyu ni dmf mwingine so ataoffer ulinzi kuliko mashambulizi.
 
Kaka ila eneo lilokuwa sumbufu ni hilo la dmf .....je elneny ikitokea akaumia angecheza nan?
Boss beki yeyote aweza kua DMF. Nilishaandika hiyo ishu icheki.
 
Labda kwa sababu namkubali sana Ozil uwanjani na nje ya uwanja kwa hiyo namuangalia tofauti. Jamaa ni mfano mzuri ya mtu anaetambua uwezo wake na misimamo yake. Of course suala la kisiasa lipo ila halipewi kipaumbele. Kwenye mishahara, ana haki ya kukataa maana alihoji na maelezo aliyopewa hayakutosheleza na hata hivyo hatimaye bado watu waliachishwa kazi. Kiuhalisia mishahara wanayoilipa Arsenal ni mikubwa mno kwa baadhi ya wachezaji wa kawaida tu so wanadakwa hapo. Ozil ana mishe zake pia nje ya mpira. Ni mtoa misaada na ana vishirika vinamtegemea ambavyo bila shaka vilikuwa vinapitia wakati mgumu kwa sababu ya Corona. Jamaa sidhani kama ni mchoyo au mbinafsi kwahiyo naona alifanya poa ili wengine wasiyo na bahati kama yeye wanufaike. Na pia hakukataa peke yake ila alitajwa yeye. Kinachotucost ni amewaonesha Arsenal kwamba yeye hayuko tayari kupelekeshwa nao na yuko kwenye position nzuri. Mimi mwenyewe ningeweza kuwa hivyo nilipoajiriwa ningefurahi sana.

Kuingia uwanjani, ukiacha ukabaji ambalo ni swala linalofundishika na yeye nimemuona akijitahidi kulishughulikia ila naona kuwa tunakosa mengi zaidi kwake. Ni kama kumtoa kwenye kwaya muimbaji mzuri sana kwa sababu ana sauti nzuri tu ya kuimba lakini wanamuziki wengine wote kwenye kwaya wanapiga vyombo pia kwa hiyo acha tu tuikose sauti nzuri.
 
Na ndio hilo tatizo kubwa kwa sasa
Kitendo cha Auba, wilian, laca kushuka chini kusaidia ukabaji ina maana kiungo chetu n soft sana
Ata angekuja Aour tungecheza style hyo

Ila huyu partey atasaidia kiungo liwe compatible and more Solid
Hii itafanya forward line yetu isishuke sana chini,

Kwa namna moja au nyingine hiz game za hiv karibun tumecheza kwa kupak bus
 
Kwakua dirisha la ndani bado nilifikiri tungeweza kuwafuata ama Zaha au Grealish ambao tulikua linked nao. Ila kama tuna kikosi hadi inabidi tupunguze watu naona tuna kasafari kidogo.
 
3 4 3 ni ya kupaki basi kweli. Nafikiri Inter anacheza 3 4 1 2. Ikitokea timu ina mtu kama Ozil 3 4 1 2 ni option nyingine pia, kwakua hatuna mtu wa hivyo ila tuna auba, laca, willian, pepe ndiyo imekua vyema kua na 3 4 3
 
Hili liko wazi, Partey ana combine important features za deep lying play maker, defensive midfelder na attacking midfielder, sifa hizi zinamfanya awe modern box to box midfielder.
Kupitia compilations za YouTube nimeona mashuti yake ya nje ya box. Aisee haya yakimkuta Kepa au Allison sijui De Gea wakifanikiwa kugusa ni miezi sita nje kwa majeraha ya mikono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…