Huyu Ceballos akiwa Madrid alicheza kama CMF. Kaja Arsenal akwa CMF pia.Sasa unamzungumzia emery aliyewavuruga wachezaji karibu wote?
Unampima ceballos kwa Emery kama AM ?
Umesahau emery alitumia kila mechi mfumo wake , hadi Toreira amechez no.10 ,kwa Emery
Ceballos namzungumzia wa Betis kwa Setien na Spain , anacheza AM ,LCM na LW , ana create chances , anapiga mashuti , hebu kamfatilie vzr Ceballos as AM/LCM au LW
Yaani unataka kumuhukumu ceballos kwasababu ya Kocha wa Ovyo emery?
Nafikiri pia Thomas siyo DM aina ya Makele na Gilberto bali box to box aina ya Ramsey au Essien hivi sema kwa sababu anasifika kwa ukabaji tunamfikiria kama DM.John Makelele?? Sio Claudio Makelele?? Mimi namhisi ni kama Essien hivi
Huko Real Madrid, alicheza sana kama kiungo wa kushoto(LCM) katika 4-3-3.Huyu Ceballos akiwa Madrid alicheza kama CMF. Kaja Arsenal akwa CMF pia.
Now tusibase sana kwenye kumuangalia Emery na failures zake na Ceballos na passes zake.
Kuna post hapo juu nimeiandika.
Kwa sasa mi naishia hapa.
Tunatakiwa kupunguza wachezaji wawili, wapo 19 wanatakiwa 17 hapa ,tuwatoe kwa timu za EPL ,maana dirisha la ndani linafungwa tarehe 16
Ninachokiona kwa maoni yangu ,Ozil hatasajiriwa. ,na Mmoja katika mabeki atauzwa au mkopoView attachment 1591803
Boss unajaribu kuhalalisha Aouar kutonunuliwa kwaajili ya Dani? LCM or RCM in a long run ni CM tu. Nilifikiri unataka kusema Madrid alicheza AM kumbe hivyo? Its possible kwake kutembea kutoufuata mpira as Marcelo ni attacking fullback mzuri.Huko Real Madrid, alicheza sana kama kiungo wa kushoto(LCM) katika 4-3-3.
Kutoka hapo, ilikuwa kawaida kumuona akiendesha timu mbele na akiunganisha mashambulizi na beki wa pembeni - Marcelo na winga wa kushoto.
Ceballos sio nzuri wakati wa kuchukua mpira( take-ons.) Yeye ni mzuri zaidi kwa kupiga chenga ili kuhifadhi na kuuumiliki mpira na uwezo wake zaidi umejikita zaidi kuelekea kushambulia sideways ili atengeneze nafasi.
Ceballos linking play on the left flank with the striker, winger and the full-back
View attachment 1591793
Unamuona hapa yupo kama LCM kwa zidane kwenye 4-3-3
Ceballos in Zidane’s 4-3-3
View attachment 1591794
Relief Mirzska kama hii ni kweli means screenshot hauna kazi nayo tena.Bye bye Ozil and Sokratis
Ndio maana Mimi nimesema Acha ninyamaze tu
Watu wamepambana Na alikuwa ni Main target , jamaa anasema Tumekurupuka
Kwani Ceballos hawez kucheza kama AM mbona akiwa betis Amecheza hata timu ya Taifa kacheza
[emoji1110] Partey
[emoji1054] Gabriel
[emoji633] Ceballos
[emoji1054] Willian
[emoji404] Aubameyang
[emoji404] Saka
[emoji404] Martinell
Considering the major financial issues that have impacted Arsenal this year - and will continue to impact Arsenal going forward - that is a big summer in terms of investment.
Mimi ningewatoa Cedric, Mari na Sokratis nimwache Ozil ili wachina wakilegeza tumchezesheTunatakiwa kupunguza wachezaji wawili, wapo 19 wanatakiwa 17 hapa ,tuwatoe kwa timu za EPL ,maana dirisha la ndani linafungwa tarehe 16
Ninachokiona kwa maoni yangu ,Ozil hatasajiriwa. ,na Mmoja katika mabeki atauzwa au mkopoView attachment 1591803
unafikiri ni PS hiyo?[emoji23]
Watu wamestruggle kupata 1 kati ya two main target unaita ufala? Unafikiri timu zote zimekamilisha 100% ya sajili walizotaka kufanya?
Watu wanamfatilia mchezaji miezi kibao, leo wanamsajili wewe unasema kukurupuka? Unajua maana ya kukurupuka mzee!
Shukuru kwa kile kıdogo, huwezi jua,
Naona ushampigisha sana ma [emoji825]+R2 tamka BOX ARA TWO[emoji23][emoji23]
NB: KWASABABU YA UHURU WA MAONI, SAWA... [emoji41]
Sasa Hapo mwenye jukumu la AM ni nani unavyoona wewe?Boss unajaribu kuhalalisha Aouar kutonunuliwa kwaajili ya Dani? LCM or RCM in a long run ni CM tu. Nilifikiri unataka kusema Madrid alicheza AM kumbe hivyo? Its possible kwake kutembea kutoufuata mpira as Marcelo ni attacking fullback mzuri.
Soma hapaSasa Hapo mwenye jukumu la AM ni nani unavyoona wewe?
Sometimes Ni majukumu tu ,mpira upo hivo siku hizi,
Bado Willian ni AM mzuri kama.tukitaka kumtumia
Nitaandika mara ya mwisho baada ya hapa next two weeks zitakua za kumprove wrong mmoja wetu.
Beki yeyote ukiamua anaweza kucheza kama kiungo mkabaji. DMF anatakiwa awe na interception kubwa, kimo (not necessary), power, strength, winning ball kubwa, control, pace... Yaani ni kwamba DMF wote wakiumia Mustafi anaweza akawekwa kati au Tierney. Bayern wanamtumia Kimmich kama DMF lakini alienda pale akiwa beki wa kulia
Kwa hoja niliyotoa hapo inamaanisha pia kwamba kiungo mkabaji (DMF) anaweza kucheza beki pia. Fabinho amecheza kama beki katika game na sisi na hata akacheza beki katika game nyingine pia. David Alaba alienda Bayern kama DMF akakuta kuna mtu anamzidi uwezo akarudishwa kua beki wa kushoto, alipokuja Davis amerudishwa kua beki wa Kati.
So Partey kucheza left back na kua amazing siyo big deal.
Sijui kama mnanielewa. Sijasema Partey mbaya nimesema hatooffer ambacho Arsenal inakikosa. Kuna hoja ya Ceballos kutumika kama AM kama ikitokea siyo tatizo as binafsi naona ana uwezo huo lakini kama ingekua inaruhusiwa kubadili mimi ningemfanya Pepe au Willian kua AM kuliko Ceballos.
Kuna member kasema Xhaka anaweza kutumika kama AM kwa huyu siwezi kutupa karata yangu. Xhaka ana quality zote za DMF down to the long ball accuracy huyu ni Pjanic zaidi kuliko Ozil.
Now tuishie hapa kwa hii deal tusubiri wiki mbili zijazo. Kama Arsenal itakubali kutosikiliza matakwa ya China na kumchezeha Ozil throughout then itakua bonge la deal.
Pia watu tunatofautiana katika kuangalia. Mimi nimeangalia nimeona tunahitaji kiungo mshambuliaji, wenzangu wooote mmeona tunahitaji kiungo mkabaji hii ndiyo kawaida ya binadamu, kutofautiana, kwahiyo usitukane kua mpole.
Xhaka naturally sio defensive midfielder, tangu katua Arsenal alikuwa akicheza na hawa, Wilshere, Coquelin, Elneny na Torreira ambao wote hawa walikuwa wakicheza kama defensive midfielders.computerarsenal kuna shabiki wa Chelsea nilimpa maoni hayo niliyoandika akajibu ulichojibu wewe hiko cha kuwarahisishia Ceballos na Xhaka maisha, stori kadhaa mbele nikagundua anachoniambia kakisoma insta kwa mchambuzi mmoja hivi wa Tanzania.
So nachelea kuamini hata wewe umemsoma huyo mchambuzi.
Xhaka ni DMF, Elneny ni DMF na Partey ni DMF. Da fuq are we doing?
Now mimi nilikua wa kwanza kusema Elneny ni mchezaji mzuri watu wakanipinga humu ila tulipofikia tumejionea. Na hili nalisema juu ya Partey, hatooffer ambacho Arsenal tulikikosa, creativity.
Kuwarahisishia Xhaka na Ceballos be damned this is absurd.
Aaron Arsenal sijalewa. Prove me wrong.
Nimebahatika kwa muda mrefu sana kumuangalia Thomas.. Kiukweli huu ndio usajili niliokuwa nikiutaka kwa kipindi kirefu sana.Unayumba bro
Majukumu ya Aouar yanafanywa na wengi hapo Arsenal kuliko majukumu ya Partey ambaye pia Box to Box MD ,
Majukumu ya Aouar yanafanywa hata na ceballos , Ozil(4-2-3-1) au Willian hawa wote wana uwezo mkubwa wa kuzalisha nafasi za magoli ,
Labda unamchukulia ceballos kama kiungo wa chini
Kabla ya Arteta , Ceballos Alishatumika sana huko alipokuwa kama AM au LW au LCM ( ,4-3-3)
Ceballos anacheza kama DLP lkn bado ana create chances
Imagine Sasa tunaenda na 4-3-3
Na nadhan ndio tunaenda kukiona
Xhaka at Base of Midfield, Ceballos as LCM , Partey as Box to Box MD
Partey ana attributes kibao , shida unamuona kama Mkabaji tu.
Huyu ni kama Vieira Anafanya kaz ya ukabaji pia ana uwezo wakupanda mbele
Ceballos Xhaka Partey
Arteta kuhusu Partey
“We’re very impressed with his attitude and his approach to the game. He’s an intelligent footballer and we’re looking forward to him integrating into our system and contributing to the progress we’re building at the moment at the club.”
With Gabriel Magalhaes running the defense behind Partey and Granit Xhaka, Arsenal’s unit is an increasingly aggressive and athletic unit.
Edu kuhusu Partey
“Thomas has all the right attributes to be a top player for Arsenal,”
Edu said.
“He is a leader on and off the pitch and he is exactly the kind of player and person we want at the club.”
View attachment 1591716
Haihusihan na wachina kwanini watu wanatengeneza hizi Story ?Mimi ningewatoa Cedric, Mari na Sokratis nimwache Ozil ili wachina wakilegeza tumchezeshe
Emery alimlostisha Xhaka kwakua alikua anamuacha asimame kama single. Wakati anafanya vyema pembeni yake akiwepo mtu mwingine.Xhaka naturally sio defensive midfielder, tangu katua Arsenal alikuwa akicheza na hawa, Wilshere, Coquelin, Elneny na Torreira ambao wote hawa walikuwa wakicheza kama defensive midfielders.
Xhaka, Carzola, Ramsey na Ozil at times walikuwa ni AMF wetu na walicheza na hao DMF hapo juu.
Ni huyu Emery tu ndio alimconsider Xhaka kama DMF na tuliona wote alivokuwa flop. Ukicheki stats za Xhaka kwenye kufanya tackling na interceptions utaona naturally sio DMF.
Tazama hapa tangu msimu wa 2017/2018 alipokuwa deployed kama DMF baada ya injury za Coquelin na Wilshere kwa vipindi vichache vya msimu utaona alichezea yellow cards za kutosha.
[emoji116][emoji116]View attachment 1591839