Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,307
Huyu jamaa ni moto, hatukuwahi kuwa na mchezaji wa aina hii kwa muda mrefu.View attachment 1591648
It's official
Welcome to the Partey.
Thomas anatarajiwa kuondoka London usiku huu kuelekea Ghana kuendelea na mechi za kirafiki.
Twaweza kubaliana nawe. Granit amepachikwa UU DM ambao sio natural kwake. All and all tumepagawa na Partey. C O Y G let's Partey...Xhaka sio DM hata siku moja hayo majukumu yamemkuta Arsenal baada ya injury crisis ya Coquelin na Cazorla but mainly Coquelin! Wenger akaanza mtumia kama mkabaji.
Xhaka ni natural CMF na 90 Altena AMF utaweza kuona akiwa Borussia Mönchengladbach akicheza nusu nusu as CM na AM, kutoka maktaba yangu inaonekana aliwahi wasumbua sana Chelsea akishirikiana na Thorgan Hazard yeye akiwa AM.
Back to Suisse Team utaweza kuona Xhaka akicheza as CM na different occasions as AM nyuma yake akiwepo jini mnyonya damu Behrami anayesimama kama DM, kutoka maktaba Xhaka amewahi wasumbua sana France hasa Pogba kupelekea kuchaniwa jezi mbili na jezi ya tatu kutatuka sehemu ndogo. Same amewasumbua Germany na Brasil waliosheheni wachezaji hakika.
Ujio wa Partey if it's real! Xhaka tutazidi kumuelewa maana atakuwa free kuonesha majaliwa na hapa Arteta aki-compile Partey lower na Xhaka x Paella frontier basi ni msimu mzuri wa Lacazatte na muendelezo wa Aubameyang!.
Xhaka huwa simlaumu maana namfahamu deep katika uchezaji anatumikia jukumu lisilo lake even bit about his family, sio Nketiah striker naturally unapokea open chances 5 hutumii hata moja, watu wanafanya mazoezi wewe unabaki kama mlenda na meno kama chumvi.
unafikiri ni PS hiyo?Usajili wa Partey tumekurupuka.
Maoni yangu;
Tukicheza na timu yenye compact defense hua tunastruggle kupeleka mipira mbele hence tunashindwa kuunda chansi za kupata magoli. Zamani wakati Ozil yupo ilikua haitusumbui sana kwakua alikua anaifanya hii kazi.
Kukosa ubunifu ndiyo sababu akatafutwa Aouar. Partey alitakiwa aje kua CMF mwenye role ya kusupport defense. So kwa struggle yetu ndiyo sababu Houssem akawa ni media buzz kuliko Partey as kazi ya Partey ingeweza kufanywa na Xhaka au Elneny, si kwa 100% ila hata 70%.
So tumeburuzana na Lyon, tukigoma kutoa 50M kwaajili ya mtu mwenye miaka 22 na hakuna wa kuifanya kazi yake kisha tumekuja kutoa 50M kwa mtu wa miaka 27/8 na huku wapo wa kuifanya kazi yake.
Huu ujinga wa chelsea na man u tumeuanza lini?
Huu ni usajili wa kijinga, ingekua na maana kama wangekuja wote wawili ila siyo hivi. Hivi ni zima moto.
Ufala.
Katika siku zote ulizojaribu kuchangia humu, inawezekana uliwahi kukosea ila leo ndio umekosea zaidi!
John Makelele?? Sio Claudio Makelele?? Mimi namhisi ni kama Essien hiviView attachment 1591597
Sawasawa kabisa.
Yaani huyu jamaa anikumbusha watu kama Gilberto Silva, Gennaro Gattuso, John Makelele na Fernandinho.
Ndio maana Mimi nimesema Acha ninyamaze tuunafikiri ni PS hiyo?
Watu wamestruggle kupata 1 kati ya two main target unaita ufala? Unafikiri timu zote zimekamilisha 100% ya sajili walizotaka kufanya?
Watu wanamfatilia mchezaji miezi kibao, leo wanamsajili wewe unasema kukurupuka? Unajua maana ya kukurupuka mzee!
Shukuru kwa kile kıdogo, huwezi jua,
Naona ushampigisha sana ma+R2 tamka BOX ARA TWO
NB: KWASABABU YA UHURU WA MAONI, SAWA...
Brother,computerarsenal kuna shabiki wa Chelsea nilimpa maoni hayo niliyoandika akajibu ulichojibu wewe hiko cha kuwarahisishia Ceballos na Xhaka maisha, stori kadhaa mbele nikagundua anachoniambia kakisoma insta kwa mchambuzi mmoja hivi wa Tanzania.
So nachelea kuamini hata wewe umemsoma huyo mchambuzi.
Xhaka ni DMF, Elneny ni DMF na Partey ni DMF. Da fuq are we doing?
Now mimi nilikua wa kwanza kusema Elneny ni mchezaji mzuri watu wakanipinga humu ila tulipofikia tumejionea. Na hili nalisema juu ya Partey, hatooffer ambacho Arsenal tulikikosa, creativity.
Kuwarahisishia Xhaka na Ceballos be damned this is absurd.
Aaron Arsenal sijalewa. Prove me wrong.
Sijampigisha kitu sijawahi kutumia Atletico. Now this time anaenda Arsenal nitampigisha nione.unafikiri ni PS hiyo?
Watu wamestruggle kupata 1 kati ya two main target unaita ufala? Unafikiri timu zote zimekamilisha 100% ya sajili walizotaka kufanya?
Watu wanamfatilia mchezaji miezi kibao, leo wanamsajili wewe unasema kukurupuka? Unajua maana ya kukurupuka mzee!
Shukuru kwa kile kıdogo, huwezi jua,
Naona ushampigisha sana ma+R2 tamka BOX ARA TWO
NB: KWASABABU YA UHURU WA MAONI, SAWA...
Mkuu hili la squad depth ni more sensible. Lakini hapa tumeacha tunachohitaji na kufuata tunachotaka.Brother,
Mimi nadhani tuko sawa kumsajili Partey. Squad depth mkuu. Suppose xhaka anakwenda injury 3 months. The only DMF atakaebaki ni Elneny, will he manage all the games?? Ceballos atatumika sasa effectively kama ATM na Ozil atakuwa reinstated na lile ambalo angelifanya Aouar basi litafanywa na ozil bila kumsahau tunaemlea kwa mapenzi yote willock.
Mimi nadhani benchi la ufundi limefanya tathmini ya kutosha. Nadhani squad depth especially kwenye midfield itazidi kutubeba. This is our Fernandinho now.
Tayari nime screenshot comment yako mkuu.Mkuu hili la squad depth ni more sensible. Lakini hapa tumeacha tunachohitaji na kufuata tunachotaka.
Tunahitaji AMF ila tunataka DMF pia. Tulichofanya ndiyo hichi.
Ozil kucheza Arsenal tena ni ngumu. Niliwahi andika humu juu ya ishu yake ni ishu ya kisiasa zaidi kuliko uwezo kushuka.
Granit XhakaXhaka sio DM hata siku moja hayo majukumu yamemkuta Arsenal baada ya injury crisis ya Coquelin na Cazorla but mainly Coquelin! Wenger akaanza mtumia kama mkabaji.
Xhaka ni natural CMF na 90 Altena AMF utaweza kuona akiwa Borussia Mönchengladbach akicheza nusu nusu as CM na AM, kutoka maktaba yangu inaonekana aliwahi wasumbua sana Chelsea akishirikiana na Thorgan Hazard yeye akiwa AM.
Back to Suisse Team utaweza kuona Xhaka akicheza as CM na different occasions as AM nyuma yake akiwepo jini mnyonya damu Behrami anayesimama kama DM, kutoka maktaba Xhaka amewahi wasumbua sana France hasa Pogba kupelekea kuchaniwa jezi mbili na jezi ya tatu kutatuka sehemu ndogo. Same amewasumbua Germany na Brasil waliosheheni wachezaji hakika.
Ujio wa Partey if it's real! Xhaka tutazidi kumuelewa maana atakuwa free kuonesha majaliwa na hapa Arteta aki-compile Partey lower na Xhaka x Paella frontier basi ni msimu mzuri wa Lacazatte na muendelezo wa Aubameyang!.
Xhaka huwa simlaumu maana namfahamu deep katika uchezaji anatumikia jukumu lisilo lake even bit about his family, sio Nketiah striker naturally unapokea open chances 5 hutumii hata moja, watu wanafanya mazoezi wewe unabaki kama mlenda na meno kama chumvi.
Unayumba broSijampigisha kitu sijawahi kutumia Atletico. Now this time anaenda Arsenal nitampigisha nione.
Vyovyote iwavyo mimi bado nasimamia ninachosema kwamba ataoffer ulinzi zaidi kuliko creativity.
Amefatiliwa miezi mingi ni kweli Arteta alitaka kucheza 4 3 3. 3 ya kati iwe na Partey, Xhaka na Aouar. Simply hii 3 ingekua na DMF wawili (Xhaka na Partey) na AMF mmoja (Aouar) so ingenyambuliwa hii formation ingekua ni 4 2 1 3.
Ok Partey kaja tumetengeneza 2 tayari, 1 ya AMF anakaa nani kama Ozil anasugua benchi? Arsenal imefanya usajili huu ili mashabiki wasizire.
Na ninarudia tena. Umegoma kutoa 50M kwaajili ya mchezaji ambaye hauna wa kufanya majukumu yake na ana miaka 22, umeenda kutoa 50M kwaajili ya mchezaji mwenye miaka 27/8 na wapo wa kufanya majukumu yake. Hii ni kawaida?
Chini ya Emery Ceballos alishacheza kama AM nafikiri ni game na Liva. Kilichotokea Dani alionekana useless.Unayumba bro
Majukumu ya Aouar yanafanywa na wengi hapo Arsenal kuliko majukumu ya Partey ambaye pia Box to Box MD ,
Majukumu ya Aouar yanafanywa hata na ceballos , Ozil(4-2-3-1) au Willian hawa wote wana uwezo mkubwa wa kuzalisha nafasi za magoli ,
Labda unamchukulia ceballos kama kiungo wa chini
Kabla ya Arteta , Ceballos Alishatumika sana huko alipokuwa kama AM au LW au LCM ( ,4-3-3)
Ceballos anacheza kama DLP lkn bado ana create chances
Imagine Sasa tunaenda na 4-3-3
Na nadhan ndio tunaenda kukiona
Xhaka at Base of Midfield, Ceballos as LCM , Partey as Box to Box MD
Partey ana attributes kibao , shida unamuona kama Mkabaji tu.
Huyu ni kama Vieira Anafanya kaz ya ukabaji pia ana uwezo wakupanda mbele
Ceballos Xhaka Partey
Arteta kuhusu Partey
“We’re very impressed with his attitude and his approach to the game. He’s an intelligent footballer and we’re looking forward to him integrating into our system and contributing to the progress we’re building at the moment at the club.”
With Gabriel Magalhaes running the defense behind Partey and Granit Xhaka, Arsenal’s unit is an increasingly aggressive and athletic unit.
Edu kuhusu Partey
“Thomas has all the right attributes to be a top player for Arsenal,”
Edu said.
“He is a leader on and off the pitch and he is exactly the kind of player and person we want at the club.”
View attachment 1591716
Sasa unamzungumzia emery aliyewavuruga wachezaji karibu wote?Chini ya Emery Ceballos alishacheza kama AM nafikiri ni game na Liva. Kilichotokea Dani alionekana useless.