Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,179
Mwanangu usajili wa Chelsea unajuumiza sana kichwa kuliko kutafuta hela kulisha familia.Hatimaye.
Saka ana goli la ligi, Werner hana Havertz hana
Aliyeanza huo ujinga ndiyo atakimbia.Mwanangu usajili wa Chelsea unajuumiza sana kichwa kuliko kutafuta hela kulisha familia.
Time will tell. Mtakaa kimya na kukimbia jukwaa kwa lazima
Enhe. Na inakuaje kuhusu creative mid?Partey kafuzu vipimo
Kwa timu gani hasa uliyo nayo ,hii beki ya Zuma na Babu Thiago?Mwanangu usajili wa Chelsea unajuumiza sana kichwa kuliko kutafuta hela kulisha familia.
Time will tell. Mtakaa kimya na kukimbia jukwaa kwa lazima
Partey anakuja.Hivi vitu utavikuta humu tu mnajazana ujinga.
Nyinyi si timu kubwa mtumie pesa sasa kufanya usajili.
Sijajua bado but kwenye 4-3-3Enhe. Na inakuaje kuhusu creative mid?
Zouma na Thiago wana clean sheet tayari.Kwa timu gani hasa uliyo nayo ,hii beki ya Zuma na Babu Thiago?
Ok tusubiri
Nyinyi mmetumia bunduki kusajili?Partey anakuja.
Chelsea inatumia pesa kusajili, tatizo kocha hana plans
Wewe utakua na wenge tayari. Hata sijakuelewa ulichonijibu kina uhusiano gani na nilicho andika.Aliyeanza huo ujinga ndiyo atakimbia.
Hizo ni facts.
Ukienda uzi wa man u utakuta kaniquote ananiambia same comedy.
Yakupewa mapenalty?Zouma na Thiago wana clean sheet tayari.
Leo una tembea kila jukwaa la timu Mkuu hongera sana.Wewe utakua na wenge tayari. Hata sijakuelewa ulichonijibu kina uhusiano gani na nilicho andika.
Partey en route to London as we speak... According to James Benge.Thomas Partey successfully passed the initial medical checks in Madrid! The player and his agent will travel to London tonight to complete the second part of the medical examinations, sign the contract, and finish the formalities such as photos, interviews, etc.
[TheAFCBeII]
#DeadlineDay
Madrid to London ni kama Ubungo Maji na Ubungo TerminalKashatua London View attachment 1591471
HahaaaMadrid to London ni kama Ubungo Maji na Ubungo Terminal