Hakuna cha utayari Aron. Lini arsenal alikuwa tayari?? Zile ni story tu hahahahaahhaah.Ndio nashangaa wanalalamika
Arsenal walikuwa tayari kufika dau la €40m+add ons
Lakini Aulas anakomaa anataka €60m
Hiyo ni overprice
Ukifikiria msimu uliopita
Tumetumia £100m kwa wachezaji wawili ambao kwa Arteta wana struggle kupata namba
Pepe na Saliba
Mkuu tusiwe wanafiki bhana.Hakuna
Sașa hapo ni kukubali kupigwa au kutafuta mbadala mwingine chap,
Kwa akili tu ya kawaida unafkiri target ya Arsenal ilikuwa kwa hao wawili tu? Lazma kuna list ya wachezjji na hao nďio walikuwa vipaombele.
Sasa kutoa 60m kwa farmer league player si bora nirudi kwa kina Toddy Cańtwel, Bueńdia, Brooks, Joginho, n.k ambao washaonja joto la EPL,
Funzo nililolipata kwa kina Chamakh, Giroud, Lacazette, Bakayoko, Batshuay, Mendy n.k linatosha,hapo sijamuweka Nicolas nimpe muda kidogo
Usajili ni kamari lakini kamari ya wachezaji wa league1 ni ya kiwango haswaa@
Tuamini kuwa wanajitahidi kuboresha pia ingawa tunajua kuwa biashara ya mpira ina siasa na propaganda kibao. Wachezaji watapatikana tu. Ila wasipopatikana kazi itakuwa ngumu.Hakuna cha utayari Aron. Lini arsenal alikuwa tayari?? Zile ni story tu hahahahaahhaah.
Mchezaji wa quality ile 60 unataka upatanepatane??? Hatukuwahi kuwa tayari mkuu tulikuwa tukihadaa tu mashabiki ili muda uishe usajili ufungwe tumlee willock wetu.
Naona Livescore hapa hawana shot on target. Wana shots mbili, zote off target. Huku West Ham ana 5. Hii ligi ya ajabu. Leicester alimuadhibu sana Man City ila leo anakutana na adhabu kutoka kwa hawa bwana wadogo.Leicester anaongoza possession kwa 61% ila anaongozwa mbili bila
Kwa kweli nimemshangaa DullyJrMtu akiwa na kiwango haijalishi yupo ligi gani. Ucl zimeenda timu mbili mojawapo inatoka hiyo unayoiita farmers ligue. Kutoka katika hiyo farmers ligue kuna timu imemtoa City, na hiyo timu ndiyo Aouar alikuwepo.
Leo watu wanaleta mambo ya sizitaki mbichi hizi.
Now am saying so lakini sina stats za Aoua lakini nachukulia yuko vizuri ndiyo maana bodi ilimtaka. Sasa mtu anakuambia tusiuziwe kwa overprice well then weka release clause au buy back option even bigger, Arsenal itakua timu ya kwanza kuuziw mbuzi kwenye gunia?
The only reason hatukukutana na hayo ni kwavile tulikua na sera ya usajili ya kijima. Lakini Man U, Chelsea, Liva, City wote wameuziwa na wanauziwa mbuzi kwenye gunia.
Madrid huyo hapo anamuangalia Hazard alipofikia Barcelona anawashangaa Dembele, Griezmann, Semedo n.k wanachomfanyia.
Na huyo Hazard ametokea ligi ambayo siyo farmers. Si ndiyo? Lakini yuko wapi leo? Tujitahidi kutumia references na reasoning, we needed any skilled CAM and Regista leo unawakosa unasema eti "Kwanza ni farmers ligue"
Kabisa mkuu,Mkuu punguza mihemko sawa,
Arteta kachukua timu ana miez 10 mambo aliyoyafanya ni makubwa
Katibu tatizo sugu la beki,
Kutibu kiungo ni swala la muda sio overnight
#afc As mentioned by @MarkyMBryans yesterday if Arsenal are to do a late midfield deal Partey one not dead.
Still interested and Torreira going there on loan sign of good relations with clubs.
Kuna watu walibeza ushindi wetu dhidi ya wapiga nyundo ila hawa jamaa sio wa mchezo mchezoLeicester anaongoza possession kwa 61% ila anaongozwa mbili bila
HahahahahaHakuna cha utayari Aron. Lini arsenal alikuwa tayari?? Zile ni story tu hahahahaahhaah.
Mchezaji wa quality ile 60 unataka upatanepatane??? Hatukuwahi kuwa tayari mkuu tulikuwa tukihadaa tu mashabiki ili muda uishe usajili ufungwe tumlee willock wetu.
Na hiyo ndio maana yangu kubwa.Hujamuelewa , sio mchezaji mbaya ila sio kwa bei hiyo
Hii timu yetu tia maji tia maji tungoje nasisi miaka yetu 30 kama liva tukiendelea hivi na utopoloTuamini kuwa wanajitahidi kuboresha pia ingawa tunajua kuwa biashara ya mpira ina siasa na propaganda kibao. Wachezaji watapatikana tu. Ila wasipopatikana kazi itakuwa ngumu.
Kapigwa 3Kuna watu walibeza ushindi wetu dhidi ya wapiga nyundo ila hawa jamaa sio wa mchezo mchezo
Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
Hujańielewa naomba rudia tena nilichosema, sijasema kwamba ni mchezaji mbaya, maana yangu ni bei yăke ni kubwa, kumbuka hiyo ni biashara mzee lazma iwe ni winwiň situation,Mtu akiwa na kiwango haijalishi yupo ligi gani. Ucl zimeenda timu mbili mojawapo inatoka hiyo unayoiita farmers ligue. Kutoka katika hiyo farmers ligue kuna timu imemtoa City, na hiyo timu ndiyo Aouar alikuwepo.