Acha kujitoa ufahamu, huyo ni Sancho au hujui kusoma?Thomas partey mapema hii Leo akifanyiwa vipimo pale arsenalView attachment 1589713
Arsenal ni timu ya ajabu sana ikifika kwenye mambo ya usajili,Arsenal haina kiungo mzuiaji wala mshambuliaji that's why tukikutana na timu bora ulimi unatoka nje sasa kipi bora?kwenye soka kuna kupigwa na kupata hata kama wanapandisha price ipambane kibishi mfano tumemuuza Torreira tayari mbadala wake ni nani?Elneny?Xhaka?pia kumbuka kuna injuries zinatokeaga kama Atletico kutakuwa na partey Torreira sisi tutabaki na viungo ambao performance zao hazieleweki then kulikuwa na reasons zipi za kumuuza Torreira? (Muda utaongea)(ukicheza na timu kubwa unabana Pumb*** mechi iishe fasta fastaNdio nashangaa wanalalamika
Arsenal walikuwa tayari kufika dau la €40m+add ons
Lakini Aulas anakomaa anataka €60m
Hiyo ni overprice
Ukifikiria msimu uliopita
Tumetumia £100m kwa wachezaji wawili ambao kwa Arteta wana struggle kupata namba
Pepe na Saliba
Mi siku hz badala ya kubana Pumbu nabana MatumiziArsenal ni timu ya ajabu sana ikifika kwenye mambo ya usajili,Arsenal haina kiungo mzuiaji wala mshambuliaji that's why tukikutana na timu bora ulimi unatoka nje sasa kipi bora?kwenye soka kuna kupigwa na kupata hata kama wanapandisha price ipambane kibishi mfano tumemuuza Torreira tayari mbadala wake ni nani?Elneny?Xhaka?pia kumbuka kuna injuries zinatokeaga kama Atletico kutakuwa na partey Torreira sisi tutabaki na viungo ambao performance zao hazieleweki then kulikuwa na reasons zipi za kumuuza Torreira? (Muda utaongea)(ukicheza na timu kubwa unabana Pumb*** mechi iishe fasta fastamambo gani haya
Yote hiyo midfield haizuii wala haishambulii)
Dully nimekupata vzr sanaHakuna
Sașa hapo ni kukubali kupigwa au kutafuta mbadala mwingine chap,
Kwa akili tu ya kawaida unafkiri target ya Arsenal ilikuwa kwa hao wawili tu? Lazma kuna list ya wachezjji na hao nďio walikuwa vipaombele.
Sasa kutoa 60m kwa farmer league player si bora nirudi kwa kina Toddy Cańtwel, Bueńdia, Brooks, Joginho, n.k ambao washaonja joto la EPL,
Funzo nililolipata kwa kina Chamakh, Giroud, Lacazette, Bakayoko, Batshuay, Mendy n.k linatosha,hapo sijamuweka Nicolas nimpe muda kidogo
Usajili ni kamari lakini kamari ya wachezaji wa league1 ni ya kiwango haswaa@
Mkuu punguza mihemko sawa,bora Arteta ajiuzulu tuu.
Arteta bila wachezaji wa maana tutakuja kumpa lawama bila sababu hapo Arsenal hata aje Klopp kwa viungo wa Arsenal (ambao big games hawazuii wala kushambulia)ataishia kunywa panadol kwa maumivuDully nimekupata vzr sana
Kunywa soda nakuja kukulipia
Kwasasa Mimi iman yangu ni 100% kwa Arteta
End ni ligi ngumu sana tena sana, huwezi fananisha na ligi ya ufaransa, mchezaji anatakiwa kuwa vizuri kisaikolojia na kiwango cha Uwanjani na hili ndilo linalomsumbua pepe, ana kiwango ila amekuja kwenye timu yenye presha ya mashabiki ambao wanaexpect vitu vikubwa kutoka kwake kiasi akiingia uwanjani anajikuta hayupo free kutoka na na deni alilonalo kwa fans wakeUfaransa tumepata watu wazuri pia. Kwa sisi kina Nasri, kwa wengine kina Drogba, Hazard, Kante, Mahrez. Watu wakiona ni sisi tunamtaka mchezaji bei yake inapanda sana kuliko uhalisia.
KweliEnd ni ligi ngumu sana tena sana, huwezi fananisha na ligi ya ufaransa, mchezaji anatakiwa kuwa vizuri kisaikolojia na kiwango cha Uwanjani na hili ndilo linalomsumbua pepe, ana kiwango ila amekuja kwenye timu yenye presha ya mashabiki ambao wanaexpect vitu vikubwa kutoka kwake kiasi akiingia uwanjani anajikuta hayupo free kutoka na na deni alilonalo kwa fans wake
Mahrez, kante walikuja katika timu isiyo na presha walirelax wakaintroduce na kukuza viwango vyao na mpaka waliponunuliwa na timu zenye mashabiki walikiwa washakwiva,
Huyu pepe wanayemlalamikia angeanzia Everton kisha akaja Arsenal angekuwa moto,
Fact ni kama Sammata ilivyomtokea but all in all lazima aonyeshe kiwango next season atajikuta yupo kwa Mkopo BurnleyEnd ni ligi ngumu sana tena sana, huwezi fananisha na ligi ya ufaransa, mchezaji anatakiwa kuwa vizuri kisaikolojia na kiwango cha Uwanjani na hili ndilo linalomsumbua pepe, ana kiwango ila amekuja kwenye timu yenye presha ya mashabiki ambao wanaexpect vitu vikubwa kutoka kwake kiasi akiingia uwanjani anajikuta hayupo free kutoka na na deni alilonalo kwa fans wake
Mahrez, kante walikuja katika timu isiyo na presha walirelax wakaintroduce na kukuza viwango vyao na mpaka waliponunuliwa na timu zenye mashabiki walikiwa washakwiva,
Huyu pepe wanayemlalamikia angeanzia Everton kisha akaja Arsenal angekuwa moto,
nasema ajiuzulu sababu naona kama anaonewa hapewi support inayotakiwa.Mkuu punguza mihemko sawa,
Arteta kachukua timu ana miez 10 mambo aliyoyafanya ni makubwa
Katibu tatizo sugu la beki,
Kutibu kiungo ni swala la muda sio overnight
Ndio kama dirisha lake la kwanzanasema ajiuzulu sababu naona kama anaonewa hapewi support inayotakiwa.
Eti farmer league player dah wakat juzi tulikua tunamsfia.Hakuna
Sașa hapo ni kukubali kupigwa au kutafuta mbadala mwingine chap,
Kwa akili tu ya kawaida unafkiri target ya Arsenal ilikuwa kwa hao wawili tu? Lazma kuna list ya wachezjji na hao nďio walikuwa vipaombele.
Sasa kutoa 60m kwa farmer league player si bora nirudi kwa kina Toddy Cańtwel, Bueńdia, Brooks, Joginho, n.k ambao washaonja joto la EPL,
Funzo nililolipata kwa kina Chamakh, Giroud, Lacazette, Bakayoko, Batshuay, Mendy n.k linatosha,hapo sijamuweka Nicolas nimpe muda kidogo
Usajili ni kamari lakini kamari ya wachezaji wa league1 ni ya kiwango haswaa@
Hujamuelewa , sio mchezaji mbaya ila sio kwa bei hiyoEti farmer league player dah wakat juzi tulikua tunamsfia.
Ni muda sasa wa kumuchezesha ozil hizo zingine zibaki story tu.Hujamuelewa , sio mchezaji mbaya ila sio kwa bei hiyo