Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu Niles ana 'dharau' sana, ile penalty utafikiri tunaongoza 5-0 afu ndio kapewa atupie la sita, very relaxed!!
sio dharau, that is a calculated way of taking penalty, you move slowly towards the ball while studying keeper's movements
 
Game itakuwa tight sana ila tukifanikiwa kuangusha na huu mwamba, sioni mwingine wa kutuzuia.

Kwa sasa tukiwa kwenye mashindano yoyote pale England, ni Liver na City tu ndio pasua kichwa hawa wengine wachaguane wamtume yoyote yule 'atachakaa'.
Mnakutana na City, yeye huwa anaweka wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza.

Na ukumbuke, mara ya mwisho mmemfunga FA, lazima awakomalie.
 
Mna haki ya kutamba, you have earned that right.

Hiyo game itakuwa kali nina uhakika. City atataka kumjibu msaidizi wake wa zamani.
 
Kama walevi wa gongo vile,
 
Mkuu hebu nendă kule katuwekee vyuma
vya kutuliza akili wikiendi hii,

Hii Arsenal ya Arteta ni kisanga, itaendelea kukuumiza siku hadi siku kama hutoielewa, ina uwezo wa kumfunga yoyote,
 
Mkuu hebu nendă kule katuwekee vyuma
vya kutuliza akili wikiendi hii,

Hii Arsenal ya Arteta ni kisanga, itaendelea kukuumiza siku hadi siku kama hutoielewa, ina uwezo wa kumfunga yoyote,
haya bana.
 
Mnakutana na City, yeye huwa anaweka wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza.

Na ukumbuke, mara ya mwisho mmemfunga FA, lazima awakomalie.
Kwenye FA ni bahati haikuwa kwake la sivyo angeshinda. Sasa atatukuta na confidence na atakuwa na hofu flani maana ametushuhudia tukishinda mechi ngumu kadhaa sasa.
 
Wakuu, mbalala za liva zisiwape shida ni za kupuuza tu, ni maneno ya mkosaji tu

Mtu anakuja na hoja ya regular starter

As if walıocheza ilikuwa ni wachezaji wa Malindi ya Zanzibar,
 
Wewe hakuna mchezaji atasajiliwa ndani ya siku zilizobaki. Arsenal tunaijua ni mwendo wa porojo na blah blah nyingi.

Partey na Houssem ni CL player waje Arsenal kufanya nini? Labda usajiri wa Jan wakati mambo yashakua magumu kwenye zao.
Usipindishe maneno sijui "oooh labda january", ongea kama mwanaume kwamba hatutampata yoyote kati yao.
 
Naona klopp katuletea shida mjini hapa,haya ulikuwa huna misuli ya kuyazungumza kipindi klopp yupo BVB
 
| #AFC

Lucas Torreira has said his goodbyes to his teammates & staff at London Colney today. It’s been said that the Uruguayan is due to travel to Madrid in the next 24 hours, to complete his medical and finalise his loan move to Atletico Madrid. [@charles_watts]
https://t.co/g12LKKSHm6
 
From
|| Torreira to Atletico Madrid is done, signature within hours [Via - @ESPNUruguay].
 
Kwa hiyo wewe umetunisha misuli ya shingo kwa nusu ushindi wa jana?
Wakuu, mbalala za liva zisiwape shida ni za kupuuza tu, ni maneno ya mkosaji tu

Mtu anakuja na hoja ya regular starter

As if walıocheza ilikuwa ni wachezaji wa Malindi ya Zanzibar,
 
Kazi yetu ni kuwakeraaaaa
 
.
 
Attachments

  • Screenshot_20201002-192737.png
    174.9 KB · Views: 7
Kwa performance ya jana nahisi 4 2 3 1 ni formation mbadala ya Arsenal kipindi hichi. So anaweza anza na 3 4 3 kisha baada ya break akiona hajatoboa anaswitch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…