Hiki kipande hata me nilikiona, ila maamuzi yalikuwa kwa referees.Acha maneno mrembo. ,Wenye bahati Ni Liverpool ambao walibebwa hii penalty View attachment 1587811
I ain't drifting nowhere. The amount of cash liva has been spending since initiating transition and the time it took is what Arsenal is trying to go through.Mr, dont drift coz I have won all kinds of cups that you currently have. What about you? Have you done the same? Any European cup?
Currently, For what you are, carabaos and FA cups are only your priorities (what within your reach), neither EPL nor UEFA which you only wish to participate in achilia mbali winning it.
Thats why I said, we differ in ambitions.
Shukrani mkuu, mngetutoa na jana kuna 'bata' wangetupigia sana kelele hasa hawa 'majirani' wenye shobo.
Mkuu unaweza niletea statement ya Lampard wakati anatoa hiyo ahadi?Ona hapa.
Lampard aliahidi kikombe msimu huu. Juzi katolewa carabao, anabaki kwenye FA, ligi na UCL.
Ongea ukweli wako unahisi katika FA, ligi na UCL ni kikombe kipi atachukua?
Klopp kafungwa na Arsenal mara mbili, ya pili akatemeshwa na ngao ya hisani. Akatumia wiki nzima kunung'unika na kuchimba watu mikwara juu ya anfield. Kashinda mechi ya kwanza, ya pili kafurumushwa carabao.
Baada ya mechi kama kawaida kunung'unika.
Kuna Ole. Wakina Keane wamemuambia fungate limeisha alete vikombe. Lakini Ole ndiyo kwanza yupo kwenye majaribio ya formation.
Hizo timu mid zao thamani ni kuanzia 130+M
Kisha kuna Arteta...
Hofu yangu ni tukiwa serious sana na Carabao tunaweza kupata majeraha kwa wachezaji muhimu alafu tupate taabu EPL. Huwa napenda wacheze magogo ila nataka washinde.Nilivyoona vikosi tu jana, nilijua nani anaihitaji mechi ile zaidi.
Hata kufika penati niliona kama ni bonus kwetu.
Naona kaka yenu anawawasha mno hakauki kwenye keyboard zenu.Sio yule wa Chelsea?
Mkuu tuwaombe Man U (Pundamilia Fc) pamoja na Ng'ombe Fc(Chelshit) waanze tu kujiandaa na msimu ujao wa 2021/2022.... Huu wa 2020/2021 umeshawashinda... Hawana chao.... Waandike barua FA waende Pre season Malaysia huko na Japan wajiandae na msimu ujao
Wewe hakuna mchezaji atasajiliwa ndani ya siku zilizobaki. Arsenal tunaijua ni mwendo wa porojo na blah blah nyingi.Aaron usajil vipi mbona kama arsenal na fans wanaridhishwa na uwezo wa timu hawaitaji kusajili?
kuna everton aise wale jamaa watasumbua sana labda Ancellot asepe aise inatisha sana kuliko chelsea
Hofu yangu ni tukiwa serious sana na Carabao tunaweza kupata majeraha kwa wachezaji muhimu alafu tupate taabu EPL. Huwa napenda wacheze magogo ila nataka washinde.
I ain't drifting nowhere. The amount of cash liva has been spending since initiating transition and the time it took is what Arsenal is trying to go through.
Under Wenger we never spent a lot in transfers. Our highest fee is less than the price you paid for a defender who has 3 mistakes that led to goals this season.
Before that his mistakes awarded Arsenal a victory.
I hope you will secure ucl or epl this season too.
Sawa mbona kama unateseka ?Wewe hakuna mchezaji atasajiliwa ndani ya siku zilizobaki. Arsenal tunaijua ni mwendo wa porojo na blah blah nyingi.
Partey na Houssem ni CL player waje Arsenal kufanya nini? Labda usajiri wa Jan wakati mambo yashakua magumu kwenye zao.
Anaongea muda huu kasema hiviArteta fanya juu chini turudi UEFA tutambe mtaani aisee. Ungeona jinsi watu wanakuja kutuchefua humu JF kisa tumewashinda kwa penalties tu na hatuko UEFA, na tulivyo na timu mbovu ungeshawanunua kina Partey siku nyingi sana. Hakuna wenye majungu kama wabongo aisee. Tumia tu translator ingia humu usome mambo yalivyo mabaya 😀 😀 😀
Kevin Friend atakuwa ni LiverpoolAcha maneno mrembo. ,Wenye bahati Ni Liverpool ambao walibebwa hii penalty View attachment 1587811
Kweli lakini. Tukijipanga vizuri hapa tunaweza kibebe hiki. Kawaida kuna FA, Prem na UEFA Cup pia zinajichanganya so huwa hali inakuwa ngumu ingawa mechi ni chache.Mechi za Carabao ni chache, hapo bado game 3 tu kwa atakayeingia final.
Kweli lakini. Tukijipanga vizuri hapa tunaweza kibebe hiki. Kawaida kuna FA, Prem na UEFA Cup pia zinajichanganya so huwa hali inakuwa ngumu ingawa mechi ni chache.