Arsenal (The Gunners) | Special Thread

*Uefa champions league*

*Group K*
Arsenal
Mbeya City
Gwambina fc
Toroli kombaini.
 
Vikombe vya ulaya sijui kwanini waga vinatushinda ila safari hii hiki cha Europa ni jasho na damu
We boya europa hiyo ni ipi labda uliibe kombe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shukuruni sana FA viazi nyie huko Europa naona mmepita bila kupingwa [emoji23][emoji23]
 
Wazee wakupita bila kupingwa [emoji23][emoji23]
 
Hii haikupaswa icheze hata europa sijawahi kuona team mbovu yenye wachezaji wabovu ulaya kama hili jiteam [emoji23][emoji23]
 
Hii team mashabiki zake wengi walikufa na kisukari na presha enzi za Wenger sasa hivi wengi wao ni vijitoto vya juzi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tofauti kati ya asenane na Burnley asenane wanavikombe vingi vya FA [emoji23][emoji23]
 
Ukishabikia team kama arsenal unahatari ya kupunguza nguvu zako za kiume
 
Nyie vipulizo FC nasikia Hiyo Europa ligi ya alhamic mmepitishwa bila kupingwa [emoji23][emoji23]
 
Wewe jamaa bana... [emoji23][emoji23] muda ni mwalimu mzuri sana. Ngoja tuone mwishoni itakuaje.

Kombe lililopo ndani ya uwezo wako ni FA na Carabao. Hapo pambaneni sana
 
Yule Pepe jamani ni mweupe peeee hamna kitu kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…