Aisee Aaron Arsenal issue ya Aouar naona inataka kuingia 'mchanga', PSG kajitosa lately.Niliona Aulas kuongeza muda had jtatu tena ,
Dili la Partey limekuwa kimya , halieleweki tena kama lipo ON au OFF maana lenyewe ni kutrigger tu release clause hata zikibaki dk 2 usajiri ufungwe
Tofauti la Aouar ambalo lipo kwenye negotiation ya fee
Hii ni kama Michael Jordan na ile 'Air Nike', Jordan alitembea hatua tatu hewani na kuscore bonge ya 'kikapu'.Hapa Emirates Airlines wanatakiwa watuongezee hela maana wataitumia hii picha sana tu kwenye promo zao.
😀 😀 na jinsi nembo inavyosomeka vizuri kifuani hata photoshop haihitajiki.Hapa tukicheza karata zetu vizuri yunawasajili tu kina Aouar na Thomas tukijua kuna fungu la ziada kutoka Emirates litaingia soon 😀😀😀Hii ni kama Michael Jordan na ile 'Air Nike', Jordan alitembea hatua tatu hewani na kuscore bonge ya 'kikapu'.
Leno really defines 'Emirates, Fly better'
Naona watu hawajamstukia Leno kuwa yuko vizuri sana ku 'dive' upande wake wa kushoto kuliko kulia. Wanatakiwa wampelekee mipira kulia kwake zaidi.
Aulas anatuchezea mchezo, Ili tupande dau tu,Aisee Aaron Arsenal issue ya Aouar naona inataka kuingia 'mchanga', PSG kajitosa lately.
PSG rival Arsenal for Aouar
2h ago 01:00
Paris Saint-Germain are rivalling Arsenal for Lyon star Houssem Aouar, according to l'Equipe.
Club president Nasser Al-Khelaifi is said to have been in contact with Lyon's Jean-Michel Aulas twice this week.
“Things haven’t enormously advanced," Aulas said on Wednesday. "We know that three major clubs are interested in Houssem. Two in the short term. One in the medium term.”
Vikombe vya ulaya sijui kwanini waga vinatushinda ila safari hii hiki cha Europa ni jasho na damuFor now on tuanze kuwaza Europa league kubeba kombe itakuwa ni big achievement kwa Arteta na champions league unaingia direct bila kusumbuliwa
Kwani limewaka moto? Halafu hufananii kuwa Chelsea hata kidogo ujuwe...Hiyo Kesho alhamisi litawakuta jambo nyie.
Vikombe vya ulaya sijui kwanini waga vinatushinda ila safari hii hiki cha Europa ni jasho na damu
Kwani limewaka moto? Halafu hufananii kuwa Chelsea hata kidogo ujuwe...
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa sasa ni bora tubebe Europa league na Arteta anatakiwa alifanyie kazi suala hiliVikombe vya ulaya sijui kwanini waga vinatushinda ila safari hii hiki cha Europa ni jasho na damu
Paliwaka moto jana pale Anfield, nafanania wapi sasa?Kwani limewaka moto? Halafu hufananii kuwa Chelsea hata kidogo ujuwe...
Halafu washika bunduki wakamchapa loserfool, au hukuona. Karibu basi London ya Red.Paliwaka moto jana pale Anfield, nafanania wapi sasa?
Kichapo cha kuotea...Halafu washika bunduki wakamchapa loserfool, au hukuona. Karibu basi London ya Red.
Hivi unajua katika soka bahati ina asilimia zake? Lakini pia Leno ni kipa bora sana, angekuwa Kepa tungeshazungumza mengine. Pamoja na 90mins, kipa bora na technic nzuri za kocha, Liver katoka. Karibu kwetu basi mrembo!Kichapo cha kuotea...
Mpira ni zile dk 90 tu, penalties bahati nasibu sema Liverpool bahati haikuwa upande wao ni kama ilivyokuwa kwa Chelsea na Tottenham. Bahati alikuwa nayo Totten
Acha maneno mrembo. ,Wenye bahati Ni Liverpool ambao walibebwa hii penaltyKichapo cha kuotea...
Mpira ni zile dk 90 tu, penalties bahati nasibu sema Liverpool bahati haikuwa upande wao ni kama ilivyokuwa kwa Chelsea na Tottenham. Bahati alikuwa nayo Totten