Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bukayo Saka named in the England squad
Bukayo Saka listed as a defender in the England squad
 
After #Torreira’s sale #Arsenal will make a new official bid to #OlympiqueLyon for Houssem #Aouar, who is always the first choice of coach #Arteta. #Gunners are confident to reach an agreement with Aulas. #transfers #AFC #OL
Kwa hiyo mkuu kiungo ni Mwarabu,Xhaka,Ceballos na Houssem, No partey this season?
 
Ila mkuu Xhaka naye anatuua kwenye game kama hizi,anahitajika kuwa flexible kila game, naona kama timu inamzunguka yeye sasa anapofeli mara nyingi basi ujue tumefeli wote.
Hata kipindi cha Unai alivyoenda hapo alichanganyikiwa hivyohivyo kama juzi.

Nilitamani kama ningekuwa EDU nitume ofa kwa Partey usiku huo huo
 
game leo bora tufungwe aise, arsenal bado wapo taratibu sana kwenye kufanikisha usajili mpaka wanaboa, wanang'ang'ania mapesa hayo sijui ili iweje.....

hapo tumepata bahati kweny hizo aour na thomas hakuna ushindani kutoka timu nyingine lakin bado tatizo ni kubwa sana, ma deal yanachelew sana kukamilika mpaka muda unaisha jamani aise
 
Pangen kikos mkimaliza mseme ila mjue leo hakutakuwa na hurumahuruma kama j3 .......leo hii tunapanga watu wanaotafuta namba kwa hiyo wakipata chance ya kuwaweka wanaweka ....mnaweza jikuta mmelowana kama 8 hv na bado tunawatafuta
Maana huku unamkuta minamino hujakaa vizur curtis jones huyu hapa, shaqir naye anakuja amejaa nyembe kama kuna mtu kamuulia mwanaye,mara paap unamwona origi ,hapo jota yule aliyeingia dk ya 80 juz akawaharibia siku nawataarif leo ataanza mna bahat thiago anasumbuliwa na corona ila leo hii mech mngeikataa,hapo sijamtaja barobaro anayekuja kwa kasi Harvey elliot

Last but not least LIVERPOOL HAIFUNGWI ANFIELD
 

Tuna usongo wa kuivunja hii rekodi maana inawapa kiburi sana mpaka timu pinzani zimeanza kuamini kwamba kweli hamfungiki nyumbani. Hakuna lolote πŸ˜€ πŸ˜€
 
Tuna usongo wa kuivunja hii rekodi maana inawapa kiburi sana mpaka timu pinzani zimeanza kuamini kwamba kweli hamfungiki nyumbani. Hakuna lolote πŸ˜€ πŸ˜€
Sisi kiufupi ni kwamba tumeshindikana kama pep guardiola ndo huyu anakula viganja sasa nan wa kutusumbua???? Zebra huko hali mbaya lampard tumetoka kumfanyia mamnyanyaso ya hali ya juu nyie ndo hata hamna hamu na sisi

Tuliteseka sana acha tuwatese
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ haya bwana. Mnaamini miaka yenu mwituni imeshapita sasa mmefika rasmi katika ardhi ya maziwa na asali. Sisi pia ndiyo tunaanza kufungasha virago vyetu Misri tunaelekea jangwani. Punde tu tutafika Kanana kama nyie πŸ˜€πŸ˜€
 
Line-ups
Liverpool: Adrian, N. Williams, R. Williams, Van Dijk, Milner, Grujic, Jones, Wilson, Salah, Jota, Minamino
Arsenal: Leno, Cedric, Holding, Gabriel, Kolasinac; Ceballos, Willock, Xhaka, Pepe, Nketiah, Saka
Odds
Liverpool - 16/13
Draw - 56/19
Arsenal - 13/5
Prediction
Somewhat less utter dominance from the home side compared to the league match, and potentially more defensive lapses from both teams. There are usually goals when Reds and Gunners clash and last year in the cup they drew 5-5. Perhaps not quite as dramatic, but still an eventful game which Liverpool just edge. Liverpool 3-2 Arsenal

Team news and official line-ups ahead of Liverpool vs Arsenal tonight
 
Team to play Liverpool: Leno, Cedric, Holding, Gabriel, Kolasinac, Ceballos, Willock, Xhaka, Pepe, Nketiah, Saka.

Subs: Runarsson, Luiz, Tierney, Elneny, Maitland-Niles, Nelson, Lacazette.
 
Laca alitumaliza juzi kaka. Uhalisia ni kwamba draw ingekuwa ushindi kwetu juzi na uki-aim matokeo yale basi nafasi zinazopatikana unatakiwa uwe makini sana.

Lishapita lile tugange la leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…