Msimu huu mimi nataka kupoteza mechi 3 maximum kwenye Premier League. Liverpool kashatufunga moja, zimebaki 2 😀 😀Yani wanatafuta visingizio tu ..unajua msimu huu hawataki kabisa kufungwa😂😂😂
Yani fanyeni hivi hata hiyo Alhamisi bamizeni tena hakuna namna.
Hiyo Kesho alhamisi litawakuta jambo nyie.
In Arteta's mind, Aouar is the missing piece to his current jigsaw puzzle. Arteta wants Aouar to be part of the journey because he will be the one to lead it. Arteta is enamoured with the Frenchman's profile. [@LaurensJulien]
Tatizo liko wapi kwani ndo tutakuwa tunakutana nao kwa mara ya kwanza.Husisahau kuwa alhamisi mnakutana na Liver tena
Anakuja ,partey naona kuna ukimyaHuyu tutampata au ndiyo hivyo tena ndege amepeperuka? Thomas naye? Kuna chochote kipya?
Manchester Evening wamekanusha sikweliManchester United are close to completing a €22m deal for Arsenal's Ainsley Maitland-Niles, according to Sport1
Anha!! Kumbe!!,kwahyo hawa sport1 ni wapumbavu tuManchester Evening wamekanusha sikweli
Ni wahuni tu wa Germany ndio wameanzisha hiyo habariAnha!! Kumbe!!,kwahyo hawa sport1 ni wapumbavu tu.
Tuchukue tu hizo pesa tuachane na mambo ya mikopo.Callum chambers offer from Fulham. Loan offer arsenal refused. Want £15m
Marseille wanamtaka mkopoGuendouzi tutampa nani kaka? Huyu nahisi atabaki tu naona hauziki.