AMN amecheza ovyo sana leo, yeye na Tierney wamekuwa njia ya kuingia kupitia upande wao, magoli yote yametoka upande wao(anatoa Paso Salah).
Midfielder area bado ni kikwazo kwetu, japo Elneny ni mzuri lakini sio kwa tough matches kama hii, Ceballos yupo vizuri kutengeneza pasi za mwisho(Lacca amekosa clear-cut toka kwa Ceballos.
Laccazate angekuwa makini tungesawazisha, Auba amekuwa kimya and so was Willian.
Backline ipo just OK. Kuna mazuri ya kubeba, we were the underdog in this game na tumeonyesha kweli we were rated the underdog.