Usajili Updates: Raisi wa Lyon atangaza Ijumaa kuwa siku ya mwisho kwa wachezaji wa timu hiyo kusajiliwa.
Raisi wa Lyon Jean Michel Aulas leo jioni ameviambia vituo vya Runinga vya Telefoot na Canal kwamba ikifika siku ya Ijumaa wachezaji ambao hawatakuwa wameondoka basi hawatasajiliwa tena.