Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bado yuko involved kwenye goli 18 kwa msimu uliopita. Msimu huu kashahusika kwenye goli 2.

Sisi tunataka zaidi.

Man u, Chelsea, Madrid, Liverpool, Barcelona hao ndiyo wanapigwa.
Tukiwapiga msije sema tuliwaonea.
#CFC 💙💙💙
 
Lyon wanataka €50m wamepunguza kutoka €60m

Arsenal hayupo mbali sana na ofa yake ya €40m ataongeza €5m na kuwa €45m + 5 adds ons

Betting nyingi odd zimeshuka sana , za Aouar kwenda Arsenal
 
According to sources close to Arsenal Central, the Gunners have submitted a £44.4m offer to Lyon for midfielder Houssem Aouar, with the 22-year-old having already agreed personal terms at the North London club.
The offer was made to Lyon this morning and, while the payment structure of the bid has not been confirmed to us, we understand that the Frenchman will earn £100,000 per week on a 5-year-deal at Arsenal, including an automatic 1-year extension if the final 12 months of the contract are entered.
Aouar will earn £15,000 for every goal or assist he gets and, while there are bonuses for winning silverware, the biggest is £125,000 for getting into the top four this season. There are also further bonuses for making 50, 100, 200 and 300 appearances for the Gunners.
Arsenal Central reported on Wednesday that Mikel Arteta’s side is ready to step up and pay the cash required for Houssem Aouar and Thomas Partey, provided they generated enough money from player sales, and it seems the Gunners have taken their first big step to secure their major money signings.

N. B. Haya mabonus ndo yanamfanya Ozil akalie bench maana ukimchezesha tu kapu linapukutika sana yani
 
Houssem Aouar anajua, acha atue
#Coyg
 
From
||

Initially Lyon’s asking price for Houssem Aouar would have been around the €60m (£54m) mark, but due to Covid and the need for funds, they’ve reportedly lowered their asking price to around €40-45m.
 
From
||

Initially Lyon’s asking price for Houssem Aouar would have been around the €60m (£54m) mark, but due to Covid and the need for funds, they’ve reportedly lowered their asking price to around €40-45m.
Hapa naona deal kuwezekana kufanyika tunapenda kumkaribisha fundi wa mpira na tukimpata na partey huu msimu watatukoma
 
LÊQUIPE, Telefoot ,RMCsport Hawa ni Tier 1 kwa habari za Ufaransa ,wote wameripoti habari ya Aouar kwenda Arsenal na kilichobaki ni mambo machache kuhusu ulipaji wa ada kati ya Lyon na Arsenal
habar ya asubui chief?
kwaiyo arsenal amekubali kutoa €60m au imekuwaje, maana yule mkurugenzi wa lyon alikuwa analeta changamoto sana na kutoa maneno ya kukatisha tamaa.
 
Hivi ndio jumatatu panapo majaliwa tunaenda kukipiga kwao eenh....!
 
Lyon are demanding between €55m to €60m for Aouar and the clubs are in negotiations. Houssem Aouar is very keen to join Arsenal. [@DiMarzio] #afc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…