Sio kwamba hajui, anajua vema sana utakumbuka niliongelea hii 5-4-1 na 4-5-1 formation siku ile tuliwafunga Westham. Nikasema hizi formation ukikutana na timu yenye viungo wakali kama Wolves anakuua na ndicho Klopp amekirudia hapaThe way klopp is talking, it's like he has finally learnt our style and fully prepared for us. I think he has a plan for us[emoji1787]
Nakuja kutoa maoni yangu nionavyo kuhusu hii mechiSio kwamba hajui, anajua vema sana utakumbuka niliongelea hii 5-4-1 na 4-5-1 formation siku ile tuliwafunga Westham. Nikasema hizi formation ukikutana na timu yenye viungo wakali kama Wolves anakuua na ndicho Klopp amekirudia hapa
Klopp on Arsenal, "It is the defensive structure, 100%. They defend properly. All the players are involved, they defend probably in a 5-4-1 which when you have quality players is a pretty tricky situation for the other team."
Shida kubwa huu mfumo unailetea timu pinzani ni kuwa, wewe unatembea na draw mkononi akikosea kafa yeye.
Ili ushinde against this formation unatakiwa kuwa perfect kwenye formation yako almost 100%. Kibaya zaidi huu mfumo unatoa multiple chances za correction defensively na kuacha high risk za errors kwa mpinzani wako. Ndio maana utaona kama Arsenal anapaki basi vile ila yuko very confortable wakati opponent ana mpira, yaani mnajilinda bila stress.
Je Liverpool wanaweza kuwa na 100% perfection against Auba, Willian, Lacca/Pepe pale mbele? For me, simply no!! I still see some holes in their defence.
Wew jamaaSio kwamba hajui, anajua vema sana utakumbuka niliongelea hii 5-4-1 na 4-5-1 formation siku ile tuliwafunga Westham. Nikasema hizi formation ukikutana na timu yenye viungo wakali kama Wolves anakuua na ndicho Klopp amekirudia hapa
Klopp on Arsenal, "It is the defensive structure, 100%. They defend properly. All the players are involved, they defend probably in a 5-4-1 which when you have quality players is a pretty tricky situation for the other team."
Shida kubwa huu mfumo unailetea timu pinzani ni kuwa, wewe unatembea na draw mkononi akikosea kafa yeye.
Ili ushinde against this formation unatakiwa kuwa perfect kwenye formation yako almost 100%. Kibaya zaidi huu mfumo unatoa multiple chances za correction defensively na kuacha high risk za errors kwa mpinzani wako. Ndio maana utaona kama Arsenal anapaki basi vile ila yuko very confortable wakati opponent ana mpira, yaani mnajilinda bila stress.
Je Liverpool wanaweza kuwa na 100% perfection against Auba, Willian, Lacca/Pepe pale mbele? For me, simply no!! I still see some holes in their defence.
Tunakusubili maana kuna mashabiki wa liverpool wananitambia sanaNakuja kutoa maoni yangu nionavyo kuhusu hii mechi
Vipi mkuu?Wew jamaa
Napenda sna uchambuz wakoVipi mkuu?
[emoji120][emoji120][emoji120]Napenda sna uchambuz wako
With aggressiveness comes recklessness na kujisahau. Akimpanga Milner na Keita katika mid itakua vyema zaidi kiukweli hawa hua wanakua frustrated mpira usipokua upande wao.
Tustick na formation yetu. Bayern waliscore magoli zaidi ya 40 lakini Thiago hakutoa hata assisst moja so anakabika. Na hapo ndiyo pa kumuweka Elneny na Xhaka pale kati. Pembeni Niles na Bellerin mbele kabisa Aubameyang, Lacazette na Willian.
Thomas Partey getting dropped ni greenlight kwa Elneny.Thomas Partey would be a game changer [emoji2962]
[via @WhoScored] https://t.co/VcEcjFGswyView attachment 1580782
Hii game na Liva ni ya 3 katika ligi. Yeyote atakayepoteza kati yetu haitampa tathmini ya maisha yake yaliyobaki katika ligi. Arsenal hatuna plan na kombe msimu huu wala ujao tutakua tumerelax Liva watakua aggressive kutuzidi.
With aggressiveness comes recklessness na kujisahau. Akimpanga Milner na Keita katika mid itakua vyema zaidi kiukweli hawa hua wanakua frustrated mpira usipokua upande wao.
Arsenal tutaingia tukiwa na confidence kidogo, ushindi wetu kwa West Ham na Leicester haujawa wa kibabe. Liva ataingia akiwa na confidence pia. Kwavile kaifunga Chelsea let's hope watakua overconfidence na kucheza kihasira.
Cha kuangalia ni VAR. Arsenal siyo favourite when it comes to VAR na Mane ana tabia ya kudive.
Tustick na formation yetu. Bayern waliscore magoli zaidi ya 40 lakini Thiago hakutoa hata assisst moja so anakabika. Na hapo ndiyo pa kumuweka Elneny na Xhaka pale kati. Pembeni Niles na Bellerin mbele kabisa Aubameyang, Lacazette na Willian.
Either way a win will have a great advantage in Arsenal's dressing room na hili naamini Arteta analipigania as ameshaona timu ikiwa na morali ya chini inavyokua.
Kwani mwanzo aliyekua anakataa ni yeye au klabu?Hatimaye Aouar amekubali Kwenda Arsenal
Telefoot ni most reliable 100%
Houssem Aouar agrees to join Arsenal. Discussions over a fee taking place. [@telefoot_chaine]
View attachment 1580817
Mwanzo ilipnekana kama anaweza kwenda Juve,City au BarcelonaKwani mwanzo aliyekua anakataa ni yeye au klabu?
Kuna mbadala unaitwa Pereira endapo Partey hatokuja. Lakini tuna Elneny na Ceballos