Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mmmmh ndıo huyuView attachment 1579570
una maana Gani? LILLE alikuwa anacheza Right wing ana Cut inside kama Arjen RobbenPepe ngoja tumletee Attacking midfielder amchezeshe vizuri upande wake ili tumuonee, ila so far anakatisha tamaa.
Hii deal ya Torreira haitokei natoa sababu zifuatazo maana wanataka kui bully Arsenal.@skysports_sheth
: "Edu, Arteta, the rest of the Arsenal recruitment team are working very, very hard to make it 'Partey time' at the Emirates."
Hayuko serious for sureuna maana Gani? LILLE alikuwa anacheza Right wing ana Cut inside kama Arjen Robben
ana Tatizo "hayuko serious"
baba ake Pepe kamwambia "Achukulie mpira kama kazi sio kama kucheza For Fun"
maana Mpaka tunaongea Willian hawezi wekwa Bench na Nicholas Pepe
Umeongea vema sna, ila namba 3 hiyo sio sawa, maana arseňal haiuzi ili kukusanya fedha za kununua wengine ila inauza ilì kupunguza namba ya idadi ya wachezaji wa kigeni ili waweze kupata nafasi ya wengine kuingia katika kikosi,Hii deal ya Torreira haitokei natoa sababu zifuatazo maana wanataka kui bully Arsenal
1.ATM wanamtumia Torreira kama Chambo wanajua yuko Desperate kucheza kwao so wamesababisha amekataa Offa za Italia so wanafosi Dry Loan Deals
2. wanajua Arsenal ina 8 senior payers lazima iwauze ndani ya wiki mbili hivyo arsenal pia wako Desperate to Sell, so wanaringa maana wao hawana Presha
3.ATM wanaweza kuwa wameivuruga Arsenal kwa Torreira kukataa Deal la Torino kwa maana akomae Kwenda ATM huku muda ukiisha na tumkose Partey maana Hatutopata Cash ya kumpata
4.ATM hawataki compromise yeyote kwa Thomas Partey whatsover ila wanafosi Arsenal wa bend kuwapa Mkopo bila obligation ya kimnunua Torreira, kitendo hiki ni Cha Kihuni
Naona na misemo forex pia ndaniArsenal wanatakiwa kupull out Deal la Torreira na ATLETICO na kumwambia Aende Italia
ila hawapaswi kukubali Bullying ya ATM ni Upuuzi
Namba 3 ni sawa....Arsenal wanahitaji Pesa kweli kweli na Hali ya Kifedha baada ya Covid-19 Vilabu viko TaabaniUmeongea vema sna, ila namba 3 hiyo sio sawa, maana arseňal haiuzi ili kukusanya fedha za kununua wengine ila inauza ilì kupunguza namba ya idadi ya wachezaji wa kigeni ili waweze kupata nafasi ya wengine kuingia katika kikosi,
Hicho ndiö kipengêle kinachowabana sana maana waliöko sasa ni 18 na hawatakiwi kuongeza wengine bila kuondoa, lakini hilo haliwafanyi kuwaondoa waliopo kwa hasara, kwasababu klabu iliwekeza fedha kuwapata, itabidi kukomaa japo iingize chochote, ndio maana wamepunguza bei za wachezaji ili waweze kununulika kwa urahisi
Na hiyo ndîo sababu vilabu vingine vinaitumia kutubananisha maana wanaona hąpo ni kwa kuweza kuchota wachezaji kujipangia bei au loan.
Upi huo?Naona na misemo forex pia ndani
Huyu Pepe anazidi kua miyeyusho yaani hajifunzi. Akileta masikhara atakua ni mchezaji anayeingia ili kuhold mpira kusogeza dakika mbele.
Una skills kama zile lakini kucut in na kuscore kwako ni shida. Zamani nilikua nasema amuangalie Robben au Mahrez. Siku hizi amuangalie Aubameyang akiwa anatokea kulia anachofanya.
Ukiwa unatokea pembeni unakua na options mbili, utoe assisst au uscore mwenyewe.
He does neither.
Bado yuko involved kwenye goli 18 kwa msimu uliopita. Msimu huu kashahusika kwenye goli 2.Hapo tulishawaambieni kuwa kwa comred kipepe mmepigwa...
Kwa mujibu wa Auba , anasema Arteta anatumia muda mwingi sana kumrekebisha ,Huyu Pepe anazidi kua miyeyusho yaani hajifunzi. Akileta masikhara atakua ni mchezaji anayeingia ili kuhold mpira kusogeza dakika mbele.
Una skills kama zile lakini kucut in na kuscore kwako ni shida. Zamani nilikua nasema amuangalie Robben au Mahrez. Siku hizi amuangalie Aubameyang akiwa anatokea kulia anachofanya.
Ukiwa unatokea pembeni unakua na options mbili, utoe assisst au uscore mwenyewe.
He does neither.
Kwa Arsenal ya sasa sioni wa kumzidi skills ila shida ndiyo hajui wakati sahihi wa kuacha skill moves na kutoa pasi au kuscoreKwa mujibu wa Auba , anasema Arteta anatumia muda mwingi sana kumrekebisha ,
Auba anasema hakuna mchezaji mwenye skills na mgumu kumkaba hapo Arsenal kama Pepe
Mm bado nampa muda hasa huu huu msimu wa pili
G/A 18 sio ndogo , tena akiwabonda Pundamilia 1 goal 1 assist ,Hapo tulishawaambieni kuwa kwa comred kipepe mmepigwa...
Kanunuliwa Gabriel kauzwa nani ili kupata fedha ya usajiri wake? Kibiashara hata kama fedha unayo huwezi kufuja, so lazma tuuze ili nafasi ipatikane ya kuleta wengine,.Namba 3 ni sawa....Arsenal wanahitaji Pesa kweli kweli na Hali ya Kifedha baada ya Covid-19 Vilabu viko Taabani
Hatuwezi kununua Bila kuuza