OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Unateseka sana mkuu. Saivi tuna MendyMpaka jana Arsenal tulikua tumeshinda mechi ya sita mfululizo.
Tumepiga Chelsea, Liva, Man City, West Ham...
Kuna mbuzi ametoka kubakwa 2 kavu.
Halafu ana guts za kusema ninateseka.
Kwaiyo mkimchukua Jogihno mtaanza kumsifia hahaha hii timu takataka kweli😂😂😂Jorginho naona ni moja ya backup ya Viungo kama tukiwakosa hasa Aouar
Sky sport news
Wewe hujui mpira kazi kudandia dandia comment za wanaume tuKwaiyo mkimchukua Jogihno mtaanza kumsifia hahaha hii timu takataka kweli
Man u na arsenal ni Chelsea B na C.
Yah ni tetes tu lknWa Chelsea? Si DMF huyu?
Mm naona Dogo amekuwa na njaa ya kufunga magoli hiyo ni nzuriNketiah anabadilika attitude na kua shit?
Move ya goli la kwanza dhidi ya Leicester ilianza kwa Nketiah kumpa pasi Pepe, Pepe akadrible mpaka ndani ya box na kupiga low cross ambayo iliblokiwa.
Palepale Nketiah akaonyesha kuudhika na kumuonyesha Pepe ishara ya 'Ungeuleta hapa' muda huo move bado inaendelea Pepe anapambania ule mpira uliokua blocked. Akaupata akaupeleka tena katikati ambapo ukamgonga Fuchs na kua goli.
Kwa kasi ya ule mpira Nketiah angeugusa lingekua goli pia. So ile ilikua ni pasi.
Lakini hata baada ya kua goli bado Nketiah akaonyesha ishara ya 'Ungeuleta hapa' mimi naona huyu ameanza kua mbinafsi anaamini yeye ni muhimu kuliko timu.
Wiki nyuma ametoka kugombana na Ceballos. Hata bado hilo halijapoa jana ameleta hilo jipya. Guendouz attitude yake ndiyo inamuweka benchi, tuna Folarin Balogun, tuna Gabriel Martinell huu wakati wa kukaza na kuexcel katika nyanja zote mpaka nidhamu yeye ashaanza kuota mapembe.
Balotelli alikua kipaji pia ila tunajua leo alipo na kwanini yupo pale.
Mmmmh ndıo huyuUnateseka sana mkuu. Saivi tuna Mendy
Nikisema kama wewe mjinga kosa langu litakua wapi?Unateseka sana mkuu. Saivi tuna Mendy
😂😂😂Pale London kabla Chelsea kuanzishwa 2003 timu ilikua Arsenal tu.Kwaiyo mkimchukua Jogihno mtaanza kumsifia hahaha hii timu takataka kweli😂😂😂
Man u na arsenal ni Chelsea B na C.
Huyu Nketiah ana ubinafsi sana pia anajiona ameshakua star kwenye timu japo uwezo wake ni mdogo hakui kiuchezaji.Watu wawili humu ndani wanasema ile mentality ya Nketiah ni nzuri kwa striker mwenye hamu ya kuscore.
Niambieni kama hata baada ya goli kuingia alishangilia.
Anataka mambo ya Barcelona watu wakipata mpira wakimbilie kumpa Messi?
Pia hata Pepe alichokua anastrago na kumpelekea yeye mpira huku kuna mabeki 5 wa Leicester. Ile siyo winning mentality ni ubinafsi.
Sioni Kosa la NketiahHuyu Nketiah ana ubinafsi sana pia anajiona ameshakua star kwenye timu japo uwezo wake ni mdogo hakui kiuchezaji.
Natumaini Martinelli akirejea atachukua nafasi hiyo permanent. Pia ni afadhali Balogun apewe nafasi ana potential kubwa kuliko huyu Nketiah.
Binafsi sioni kosa la nketia. Pepe ana mambo mengi mara apige step overs na vyenga vingi anachelewesha mpira. Sasa unakuta mpira ku cross mara ya kwanza yeye ka cut ndan kumzungusha beki.Huyu Nketiah ana ubinafsi sana pia anajiona ameshakua star kwenye timu japo uwezo wake ni mdogo hakui kiuchezaji.
Natumaini Martinelli akirejea atachukua nafasi hiyo permanent. Pia ni afadhali Balogun apewe nafasi ana potential kubwa kuliko huyu Nketiah.
Pepe ngoja tumletee Attacking midfielder amchezeshe vizuri upande wake ili tumuonee, ila so far anakatisha tamaa.Binafsi sioni kosa la nketia. Pepe ana mambo mengi mara apige step overs na vyenga vingi anachelewesha mpira. Sasa unakuta mpira ku cross mara ya kwanza yeye ka cut ndan kumzungusha beki.
Tofauti na Tierney yeye anacross waswahili wanasema kumwaga maji.
Sasa mpaka pepe akupe pass nketia huku ashazibwa. Hio inakera ukizingatia bado mnatafuta matokeo.
Nketia yupo vizur sema tu bado ajakomaa vi uri.