Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Washenzi wakubwa hao
 
#Arsenal under Arteta either kept a clean sheet or conceded one goal in 25/31 games.


Games: 32
20 wins
6 draws
6 lost
2 trophies

Win percentage for context:

Mikel Arteta: 62.5%

Ndio maana Huu mfumo wa 3-4-3 nauelewa sana, kwa Short term umetusaidia sana kwenye eneo la Beki ,
 
Uko sahihi, tactically discipline yetu imepanda sana. Mbali na redcards tulikuwa tunatoa penati nyingi sana, kona na fouls kibao huku tukiwa wabovu sana kwenye kudefend set pieces.
hasa kipindi cha emery.
Hivi umewahi kuona Arsenal mbovu kama ile?
 
hasa kipindi cha emery.
Hivi umewahi kuona Arsenal mbovu kama ile?
Dah Emery sijui hata tulimchukuaje, ukichanganya na pesa aliyo tumia kusajili angepewa mtu kama Arteta tungekuwa mbali sana.
 
#AFC | Sky Sports News reporting that Chelsea's Jorginho is one of a number of midfield options Arsenal are looking at.
 
Jorginho naona ni moja ya backup ya Viungo kama tukiwakosa hasa Aouar


Sky sport news
 
Arsenal manager Mikel Arteta was assistant to Pep Guardiola when Manchester City came close to signing Jorginho from Napoli in July 2018. [Sky]
 
Yaani hizi fedha hata Wenger aliyekuwa analaumiwa sana hapa mwishoni, hakuwahi kupewa nusu yake kwenye dirisha moja la usajili zaidi ya kuhangaika na academy graduates Mzee wa watu.

Kazi aliyofanya huyu jamaa kwa miezi 18 ni kutushikia club wakati tunamsubiri Arteta 'akipikwa' na Pep.
Kweli aisee ndan ya Miez 18 katumia £200m

Yule jamaa sitamsamehe kwakweli
 
Sky sport washaona kwenye dili la Aouar wanaobet wanaenda kuwafumua wanaanza kutusingizia Kwa Jorginho

Arsenal are interested in Chelsea's Jorginho joining the club!

He is one of a number of options which include Partey & Aouar

 
Jorginho naona ni moja ya backup ya Viungo kama tukiwakosa hasa Aouar


Sky sport news
Si kiungo mbaya ila sishawishiki kama ni mtu ambaye ataongeza pale tunapo pungukiwa, my humble opinion is that, we need him not.
 
Si kiungo mbaya ila sishawishiki kama ni mtu ambaye ataongeza pale tunapo pungukiwa, my humble opinion is that, we need him not.
Nadhan ni Strategy za usajiri hasa dirisha likiwa ukingoni

Either Arsenal wame vujisha habari kuwapa presha Atletico na Lyon

Au Chelsea ,maana Chelsea wanamihitaji Declan rice
 
Nketiah anabadilika attitude na kua shit?

Move ya goli la kwanza dhidi ya Leicester ilianza kwa Nketiah kumpa pasi Pepe, Pepe akadrible mpaka ndani ya box na kupiga low cross ambayo iliblokiwa.

Palepale Nketiah akaonyesha kuudhika na kumuonyesha Pepe ishara ya 'Ungeuleta hapa' muda huo move bado inaendelea Pepe anapambania ule mpira uliokua blocked. Akaupata akaupeleka tena katikati ambapo ukamgonga Fuchs na kua goli.

Kwa kasi ya ule mpira Nketiah angeugusa lingekua goli pia. So ile ilikua ni pasi.

Lakini hata baada ya kua goli bado Nketiah akaonyesha ishara ya 'Ungeuleta hapa' mimi naona huyu ameanza kua mbinafsi anaamini yeye ni muhimu kuliko timu.

Wiki nyuma ametoka kugombana na Ceballos. Hata bado hilo halijapoa jana ameleta hilo jipya. Guendouz attitude yake ndiyo inamuweka benchi, tuna Folarin Balogun, tuna Gabriel Martinell huu wakati wa kukaza na kuexcel katika nyanja zote mpaka nidhamu yeye ashaanza kuota mapembe.

Balotelli alikua kipaji pia ila tunajua leo alipo na kwanini yupo pale.
 
Caballos alianzisha ule utoto

Nketiah hana Bad attitude, baadhi ya watu wanasema kumaind kunyimwa pasi na kureact vile wachezaji wakubwa wote hu mind vile

Wanasema baadhi ya Fans kuwa ile reaction ni Elite strikers mentality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…