Unavyosema msimu huu utafikiri tupo mechi ya ngapi sijui kumbe ya pili tu kwahiyo hapo tunarefer msimu uliopita ambapo hiyo timu nzima imekua first eleven.Sasa ndo nn.....hapo huoni tumefanya squad rotation ukiachana na mount, havertz, kovacic ambao wamekuwa regular starters mpk sasa....azpi katoka kwenye injury kapewa game ajinyooshe ..vilevile kwa thiago Silva, hao wengine hawajawa regular starters sana huu msimu ambao hatujaona 1st eleven yetu tunayoitegemea kutokana n injuries n.k.
Leicester hyo unayoisemea utafikiri ile ya golini yupo schmeichel wakina soyuncu na ndidi, kina james justin ...wakati mmecheza na Leicester iliyorotate kikosi chao chote kilichocheza jpili..... Arseanal mnateseka kweli aisee poleni sanaHicho nilichoandika ndiyo ukweli wenyewe.
Hiyo timu yenu ingecheza na timu ya level ya Leicester sasa hivi mngekua mmejifungia kama mlivyoususa uzi wenu.
Sasa si ndo kikosi chetu unataka utupangie kikosi au tupeleke U23....hcho ndo km kikosi chetu cha pili acha wivu mtoto wa kiumeUnavyosema msimu huu utafikiri tupo mechi ya ngapi sijui kumbe ya pili tu kwahiyo hapo tunarefer msimu uliopita ambapo hiyo timu nzima imekua first eleven.
Halafu ndiyo mkawapangia Barnsley hichi kikosi???
Arsenal tumecheza hii game na Leicester huku Aubameyang, Gabriel, Ozil, Guendouz, Tierney hawapo hata kwenye sub.
Na tumeshinda
Hahaha huku unabana pua eti "acha wivu mtoto wa kiume" aliyesema Arsenal tumepanga first eleven ndiye kayataka haya.Sasa si ndo kikosi chetu unataka utupangie kikosi au tupeleke U23....hcho ndo km kikosi chetu cha pili acha wivu mtoto wa kiume
Mpaka jana Arsenal tulikua tumeshinda mechi ya sita mfululizo.Leicester hyo unayoisemea utafikiri ile ya golini yupo schmeichel wakina soyuncu na ndidi, kina james justin ...wakati mmecheza na Leicester iliyorotate kikosi chao chote kilichocheza jpili..... Arseanal mnateseka kweli aisee poleni sana
game ya j3 na liverpool ndio itakayo rate ukomav wa team...[emoji736]Natamani sana arsenal niwaone weekend hii.
[emoji736] Nasubiria nione mtanange wenu, maana nimeanza kuamini kuwa hamshikiki wala hamkamatiki.
[emoji817] Na hata ubingwa mnaweza mkachukua kama miaka ya nyuma mlivyokuwa mnabeba.
Hatuna mpango wa ubingwa msimu huu wala ujao.[emoji736]Natamani sana arsenal niwaone weekend hii.
[emoji736] Nasubiria nione mtanange wenu, maana nimeanza kuamini kuwa hamshikiki wala hamkamatiki.
[emoji817] Na hata ubingwa mnaweza mkachukua kama miaka ya nyuma mlivyokuwa mnabeba.
Haaahaaaa Hata msimu wa unai mlikuwa mnashinda game mfululizo & the rest is history...saahv tumepata kuwaona sasa mi na ngoja mwez wa 10 pmj n sajili zenu za JFMpaka jana Arsenal tulikua tumeshinda mechi ya sita mfululizo.
Tumepiga Chelsea, Liva, Man City, West Ham...
Kuna mbuzi ametoka kubakwa 2 kavu.
Halafu ana guts za kusema ninateseka.
😂😂😂 Unaweza kulia ukitaka.Haaahaaaa Hata msimu wa unai mlikuwa mnashinda game mfululizo & the rest is history...saahv tumepata kuwaona sasa mi na ngoja mwez wa 10 pmj n sajili zenu za JF
Yeah mlivyoshinda mfululizo naona mlishinda uefa, Europa na EPL[emoji23][emoji23][emoji23] Unaweza kulia ukitaka.
Tulivyoshinda mfululizo tulichukua makombe mangapi?
Sasa hivi tumeshinda mfululizo tumechukua makombe mangapi?
Mbona unaandika vitu havipo 😁😁😁😁 sindano zinauma?Yeah mlivyoshinda mfululizo naona mlishinda uefa, Europa na EPL
Achana na hivyo vitotoHahaha hiki hapa kikosi cha Chelsea kilichocheza na Barnsley inayoshiriki Championship huku ikiwa na tatizo la financial instability.
1: Caballero
2: Azpilicueta
3: Tomori
4: Thiago Silva
5: Emerson
6: Kovacic
7: Barkley
8: Mount
9: Havertz
10: Hudson Odoi
11: Tammy
Subs;
Baxter, Zouma, Chillwell, James, Jorginho, Giroud.
Taja wachezaji wanne katika hiki kikosi ambao hawachezi kwenye ligi
Wivu wa kikeYeah mlivyoshinda mfululizo naona mlishinda uefa, Europa na EPL
hawa jamaa sio wanunuzi ni wapuuzi, wao partey wanataka mtoe hela mfuate term zao, kwa Torreira wanataka wafanye wanavyotaka, simply kwa kuwa arsenal lazima wamuachie TorreiraFrom [emoji633] || Atletico have told Arsenal they’d like Torreira on a dry loan but Arsenal want an obligation included into the deal & rate the Midfielder at €24m (£22m) [via - @DiarioAS].
Luis Suárez avala a Torreira
Wahuni hawa , ila Arsenal kawaweza ,hawa jamaa sio wanunuzi ni wapuuzi, wao partey wanataka mtoe hela mfuate term zao, kwa Torreira wanataka wafanye wanavyotaka, simply kwa kuwa arsenal lazima wamuachie Torreira
arsenal waseme na wakala wake amtafutie timu ingine ATM ni wapuuzi