Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kwani mi nilikimbia? Labda useme humu ndani ila jukwaa langu nipo sanaNaona unateseka , baada ya kupiga Bomu maiti Jana , mmefufuka
Kwa hizi line ups bado unaleta excuses?!Haaahaaaaa duh Mnacheza na Leicester iliyofanya changes ya wachezaji wote 11 mpk kipa ndo unaanza kujitapa hapa....James maddison mwenyewe kapewa game time ili akae sawa coz katoka kwenye injury....wewe umepanga Leno, luiz ,holding cjui vikina saka unaanza kujitetea ushubwada
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nimeona comment yake ,nikaona niipite tu,Kwa hizi line ups bado unaleta excuses?!
By the way bench la timu kama Man City lina wachezaji bora kuliko first eleven za vilabu vingi tu vikubwa.
Kwa hiyo kama unaona hiyo ni strong selection sio kosa letu pia 'maisha' hayafanani.View attachment 1578937View attachment 1578938
Mm nimeona comment yake ,nikaona niipite tu,
Uko sahihi, tactically discipline yetu imepanda sana. Mbali na redcards tulikuwa tunatoa penati nyingi sana, kona na fouls kibao huku tukiwa wabovu sana kwenye kudefend set pieces.Kitu kingine ambacho kinatupa matokeo ni level ya discipline imepanda, redcards zimepungua. Naamini kabisa huko nyuma redcards zilichangia kutukosesha matokeo mazuri.
Castr naona Odds zako kwa Elneny so far ziko right, jamaa ana onesha potentials kwenye kila mechi aliyopewa nafasi. We need him in the squad.Mohamed Elneny in the first-half vs. Leicester:
43 touches
36 passes
92.3% passing accuracy
6 total duels
2 times possession gained
1 key pass
Tukianza kuleta takwimu hapa Arsenal haikuwa na sababu yakumundosha Maroune Chamack (1st Goal scorer), Yaya Sanogo (Under 21 World & France League 2 Top Scorer), Olivier Giroud (1st Goal scorer). Wait! takwimu za Pepe zina take effects Farmers League.Overrated kivip, lete takwim zake akiwa Lille
Nmeandika hvyo kutokana na wivu wa ndugu yenu akizungumzia ushindi wa arsenal dhidi ya Leicester na kuukosoa ushindi wa Chelsea dhidi ya Barnsley kwamba wamepata opponent mwepesi sasa cjui mnateseka nn hata comment zenu kwenye Uzi wa blues ni za( wivu na kuteseka) mi nikamwambia asiongee ushubwada hata hao opponent mliocheza wamerotate kikosi chao chote tofauti na kilichocheza jpili vs Burnley ...so sio kipimo tosha hatua hizi za awali za carabao timu zinarotate vikosi vyao sanaKwa hizi line ups bado unaleta excuses?!
By the way bench la timu kama Man City lina wachezaji bora kuliko first eleven za vilabu vingi tu vikubwa.
Kwa hiyo kama unaona hiyo ni strong selection sio kosa letu pia 'maisha' hayafanani.View attachment 1578937View attachment 1578938
Huyo jamaa ni mzuri. Wenger angeachana na Partey kama bado angekua kocha.Castr naona Odds zako kwa Elneny so far ziko right, jamaa ana onesha potentials kwenye kila mechi aliyopewa nafasi. We need him in the squad.
Luiz katoka majeruhi.Haaahaaaaa duh Mnacheza na Leicester iliyofanya changes ya wachezaji wote 11 mpk kipa ndo unaanza kujitapa hapa....James maddison mwenyewe kapewa game time ili akae sawa coz katoka kwenye injury....wewe umepanga Leno, luiz ,holding cjui vikina saka unaanza kujitetea ushubwada
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho nilichoandika ndiyo ukweli wenyewe.Nmeandika hvyo kutokana na wivu wa ndugu yenu akizungumzia ushindi wa arsenal dhidi ya Leicester na kuukosoa ushindi wa Chelsea dhidi ya Barnsley kwamba wamepata opponent mwepesi sasa cjui mnateseka nn hata comment zenu kwenye Uzi wa blues ni za( wivu na kuteseka) mi nikamwambia asiongee ushubwada hata hao opponent mliocheza wamerotate kikosi chao chote tofauti na kilichocheza jpili vs Burnley ...so sio kipimo tosha hatua hizi za awali za carabao timu zinarotate vikosi vyao sana
Hahaha hiki hapa kikosi cha Chelsea kilichocheza na Barnsley inayoshiriki Championship huku ikiwa na tatizo la financial instability.Haaahaaaaa duh Mnacheza na Leicester iliyofanya changes ya wachezaji wote 11 mpk kipa ndo unaanza kujitapa hapa....James maddison mwenyewe kapewa game time ili akae sawa coz katoka kwenye injury....wewe umepanga Leno, luiz ,holding cjui vikina saka unaanza kujitetea ushubwada
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndo nn.....hapo huoni tumefanya squad rotation ukiachana na mount, havertz, kovacic ambao wamekuwa regular starters mpk sasa....azpi katoka kwenye injury kapewa game ajinyooshe ..vilevile kwa thiago Silva, hao wengine hawajawa regular starters sana huu msimu ambao hatujaona 1st eleven yetu tunayoitegemea kutokana n injuries n.k.Hahaha hiki hapa kikosi cha Chelsea kilichocheza na Barnsley inayoshiriki Championship huku ikiwa na tatizo la financial instability.
1: Caballero
2: Azpilicueta
3: Tomori
4: Thiago Silva
5: Emerson
6: Kovacic
7: Barkley
8: Mount
9: Havertz
10: Hudson Odoi
11: Tammy
Subs;
Baxter, Zouma, Chillwell, James, Jorginho, Giroud.
Taja wachezaji wanne katika hiki kikosi ambao hawachezi kwenye ligi