Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Hongera kwa ushindi mkuu.Tumepigwa 2 kwa 1
Kolasinac mizinguoTunamlaumu sana Kolasinac ila ukianalyse leo tulikuwa rojo hasa kwenye final ya wenzetu viungo na striker hawakutoa presha kabisa kwa West ham na akija partey I am sure Arsenal ndo itatulia kati Xhaka na Ceballos ni very very good players ila bado pana tatizo anatakiwa partey aje kati hao wawe wanafanya udambwi wao
Wilfred Zaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]West ham, nitoeni kimaso maso.
Hata sare itafaa.
GGMU
Niaminishe kama gemu ya kesho haitakusumbuaHongera kwa ushindi mkuu.