Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Auba at the Emirates:

55 games
40 goals
14 assists

There's no place like home.
 
Arteta kuhusu Nelson:

"Anahitaji kuwa tayari kwa sababu katika mpira wa miguu, kwa bahati mbaya, au kwa bahati nzuri, mambo hayachukui miezi mitatu kubadilika, inaweza kuchukua dakika tatu na lazima uwe tayari wakati fursa hiyo itakapokuja"
 
Arteta ikiwa tunahitaji kuuza ili kusajili wachezaji zaidi:

"Tunajaribu kila wakati kurekebisha kikosi kwa njia bora zaidi. Ni wazi kwa sasa kwamba inapaswa kwenda pande zote mbili(kuuza na kununua)na kufanikisha hilo bado tunao muda Fulani, lakini tuko wazi katika kile tunachojaribu kufanya "
 
Wishing Arsenal goalkeeping coach Iñaki Caña a very happy birthday! Doing a fantastic job and it hasn't gone unnoticed amongst the fans.
 
Arteta


“Kazi yangu ni kujaribu kumpandisha kila mchezaji kiwango cha juu na kufanya kazi yake.

Tuna mfano wa El Neny, na Rob, na Ainsley Maitland Niles pia.

Wachezaji hawa wanafanya vizuri kwa sasa na inafanya iwe ngumu kwa wachezaji wengine kuingia kwenye timu "
 
Arteta

“El Neny amecheza michezo yote miwili msimu huu.

Namkubali sana Mo kwa kile anacholeta kikosini, na utu wake pia Katika kiwango cha mpira wa miguu, nadhani anahitaji imani kidogo. Anataka kujifunza na anafanya vizuri sana ”
 
Hapana mkuu. Nasoma sana mada hususan ndani ya uzi huu pendwa. Majukwaa mengine ni kweli lakini naamini unajua kwamba hii ni hatua kama zilivyo hatua nyengine tu.

Nimeamua kuwa msomaji zaidi ndugu yangu
Pamoja ,sana Leo tupo na wabeba nyundo

Tupo home

Naiman tutashinda tuzidi kujiimarisha zaidi
 
Kabisa
 
Willian:

"He (Arteta) was No.1 (reason for signing with Arsenal). He was incredible, I was very, very excited and impressed. The way he talked to me, the way he said he wants the team to play, structures, everything. He's amazing and I think he's a top manager." [@SkySportsNews]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…