PSG walikuwa wanacheza Hivyo wakati flani na Unai EmeryHujui mpira
Kuna wakati Juventus walifanikiwa sana na kuanza mashambulizi nyuma kutumia Andrea Pirlo akiwa kama Deep play makerHii formation hua inataka kuwatumia superstars wote walio kwenye timu.
Na hua tatizo sana inapotokea timu ina masupastaa wengi.
PSG haijawa ngoma ya kijiji. UCL kafungwa 1 kwa 0 na timu iliyompiga Barca 8. Mechi za kufungulia msimu kapoteza ya kwanza, ya pili zile kadi nyekundu zilizotembea siyo za kitoto. Kivyovyote ni mapema sana kusema PSG imekua ngoma ya kijiji.
Tusubiri tuone.
Kwa huu mfumo EPL utakula za uso hadi uchakaeIchezwe 4 2 4.
4 huko mbele iwe Saka, Aubameyang, Lacazette, Willian na Pepe.
Hii formation inachezwa na PSG.
Naona umeamua ku-prove kama uko vizuri!PSG walikuwa wanacheza Hivyo wakati flani na Unai Emery
Mainly Thiago Motta akiwa Deep playing maker
yani mambo yote yanaanza Mbele ya Defence ila Wachezaji hawakuwa wakimwelewa kbs kocha ilileta sana Shida kwake
ni mfumo Complicated maana unalazimika Kucheza "Long Balls" kwa sana, na Mara Nyingi
Arteta targets zake ni Aouar na Parteyhivi jamani kwanini arteta hakumwona thiago alcantara?
yani roho inauma kutokumchukua maana dah, jamaa anakila kitu, tofauti umri na vi-injury vya kuchukiza.....maoni yenu je!
Sijui kwanini ilifeli chini yake.PSG walikuwa wanacheza Hivyo wakati flani na Unai Emery
Mainly Thiago Motta akiwa Deep playing maker
yani mambo yote yanaanza Mbele ya Defence ila Wachezaji hawakuwa wakimwelewa kbs kocha ilileta sana Shida kwake
ni mfumo Complicated maana unalazimika Kucheza "Long Balls" kwa sana, na Mara Nyingi
Ni mtu ndiyo lakini hatutaishi naye muda mkubwa. Tayari tuna pensioners na pensioners watarajiwa pale.hivi jamani kwanini arteta hakumwona thiago alcantara?
yani roho inauma kutokumchukua maana dah, jamaa anakila kitu, tofauti umri na vi-injury vya kuchukiza.....maoni yenu je!
Nketiah anahitaji kujifunza. Ana potential.Kwa huu mfumo EPL utakula za uso hadi uchakaehuo mfumo ni kwenye farmers league sio EPL tuacheni masihara Pepe au laca mmojawapo lazima akubali kukaa benchi ila sio kwa kutumia mfumo huo maana ni kwamba kama Pepe atacheza Laca lazima akae benchi the same kama Laca akicheza Pepe atakaa benchi that's the fact and bitter truth
Arteta bado anawalea sana vitoto vya kiingereza A.K.A virojorojo up to now sioni cha Nketiah Smith Willock Nelson either kuhitajika na timu tofauti hasa za EPL or hata kupelekwa kwa Mkopo wanatajwa Torreira Sokratis Kolasinac Ozil na wengineo ambao hawa angalau wachache wao wangebaki wangeweza kusaidia timu I don't know what is the problem ila kwa upeo wangu hivi virojorojo havina viwango hapo Arsenal ndo wameona ni pa kufia
computerarsenal ujumbe wako huuKuna wakati Juventus walifanikiwa sana na kuanza mashambulizi nyuma kutumia Andrea Pirlo akiwa kama Deep play maker
Kuna wakati pia Arsenal tulipata kucheza ila na "watu wawili" mbele ya WALL ya DEFENCE yani Francis Coquelin na Santi
santi yeye kusambaza, Coquelin kurecover balls na Kufanya Dirty Works
Thiago "Mazinho" Alcantara ni maestro fundi wa mpira, hakuna mwenye kuubeza uwezo wake..hivi jamani kwanini arteta hakumwona thiago alcantara?
yani roho inauma kutokumchukua maana dah, jamaa anakila kitu, tofauti umri na vi-injury vya kuchukiza.....maoni yenu je!
Unai alivyo CHIZI alikuja Arsenal akamnunua Torreira, msimu Huo uliofuata aka mdump akataka XHAKA awe Andrea Pirlo au Thiago MottaSijui kwanini ilifeli chini yake.
Lakini kwangu 4 2 4 nachukulia ni 4 2 2 2 ambayo LMF na RMF wanakua wamebadilishiwa roles so nilitarajia timu iwe inapossess sana mpira na kuscore at will.
Ambacho ndicho PSG chini ya Tuchel inakifanya.
So pengine ni matatizo ya Emery zaidi kuliko formation.
Hakuna kitu nasubili kwa hamu kama deal la Partey au AouarA source ‘very close’ to Lucas Torreira has confirmed Atletico Madrid’s interest in signing him. Torreira is open to moving there. [@iemadAFC] #afc
Yatakamilika yote au moja wapo , klabu inapambana kwanza Ku free spaceHakuna kitu nasubili kwa hamu kama deal la Partey au Aouar
Hawa Watoto wala Arteta hana mpango nao.Kwa huu mfumo EPL utakula za uso hadi uchakaehuo mfumo ni kwenye farmers league sio EPL tuacheni masihara Pepe au laca mmojawapo lazima akubali kukaa benchi ila sio kwa kutumia mfumo huo maana ni kwamba kama Pepe atacheza Laca lazima akae benchi the same kama Laca akicheza Pepe atakaa benchi that's the fact and bitter truth
Arteta bado anawalea sana vitoto vya kiingereza A.K.A virojorojo up to now sioni cha Nketiah Smith Willock Nelson either kuhitajika na timu tofauti hasa za EPL or hata kupelekwa kwa Mkopo wanatajwa Torreira Sokratis Kolasinac Ozil na wengineo ambao hawa angalau wachache wao wangebaki wangeweza kusaidia timu I don't know what is the problem ila kwa upeo wangu hivi virojorojo havina viwango hapo Arsenal ndo wameona ni pa kufia
Unai ni kocha wa ovyo kuwahi kumshuhudia duniani,Unai alivyo CHIZI alikuja Arsenal akamnunua Torreira, msimu Huo uliofuata aka mdump akataka XHAKA awe Andrea Pirlo au Thiago Motta
Xhaka akawa Exposed maana Hana Udambwi udambwi, timu ikakosa Muunganiko
Chunguza Huo mfumo EPL hata Aston Villa Uta struggle kuwafunga, wachezaji wako muda mwingi wanakuwa off the mark, Mpira Haipiti,
Deep play maker akibanwa Tu MMEISHA