Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta confirms Arsenal could add another keeper apart from Rúnarsson but that will depend on the 3rd keeper situation (Macey)
 
Kuna tetes huenda Ozil asisajiriwe kwenye kikos cha EPL cha wachezaji 25

Ofa zimekuwa zikija anazikataa,
Kwahiyo anafanya makusudi yaani. Bale alisema "Mimi kuondoka nataka isipokua klabu ndiyo inafanya mambo yawe magumu" ila kwa Ozil ni "Mi kuondoka sitaki ingawa klabu inatak niondoke"

Anyway, kuna wachezaji huuzwa hata kama hawataki, Bekham kwenda Madrid, Vidal kwenda Barcelona, Reguillon kwenda Tottenham n.k. kwanini kwa Ozil hii haiwezekani?

Yaani Arsenal ikakuballiana na timu inayomtaka Ozil na akaenda hata kama hataki haiwezekani?
 
Arteta on Aouar and Partey:

I cannot talk about players that are not at our football club.
 
Personal terms ni kikwazo

Sidhan kama kuna timu ipo tyr kumlipa £350k

Halafu sidhan kama Ozil yupo tayari kupunguza mshahara wake

Bale mwenyewe imebid real na tot wagawane kumlipa

Huyu Dawa yake ,analetwa Aouar halafu yeye hawamsajiri kwenye FA registration ,
 
Boss,Hapa it seems terms za contract zina 'mfavour' sana ozil kuliko club,Na jamaa anatumia advantage hiyo kutu 'kill',Maana hapa karibuni zimekuja offer kibao na jamaa amezikataa..
 
Anyway watani wetu Tottenham wako serious katika kuwakwamisha Pundamilia. Pundamilia wamemtaka Reguillon na wakakubaliana lakini Tot wameingilia kati.

Wamekubaliana na Bale, Tot kaingilia kati.

Game na wao haitakua rahisi.
 
Maneno muhimu sana haya kutoka kwa Arteta. Ukichimba utamuelewa anamaanisha nini


Kuna sehemu kasema"

if you need to achieve something, you have to sacrifice others"

Arsenal yetu tunajua sahiv inatajwa kwa watu watatu tu; partey, Aouar na Raya.

Hawa ndio hiyo something tunayohitaji kuachieve na Emmi amekuwa sacrificed.

Nitashangaa sana sana kama hatutapata wawili kati ya hao
 
Kinachoiuma team wanatoa 350k per week for nothing..
 
Ichezwe 4 2 4.

4 huko mbele iwe Saka, Aubameyang, Lacazette, Willian na Pepe.

Hii formation inachezwa na PSG.
 
Arteta (if we need to sell to buy new players)


“We are trying all the time to adjust the squad in the most efficient way. It is clear at the moment that it has to go both ways and in order to achieve that we still have some time but we are pretty clear in what we are trying to do
 
inaweza kuwa the other way round, Emi anataka apate regular first number,lakini haiwezekani, ameamua kuondoka kwenye timu kubwa na kuangalia opportunity iliyopo Aston Villa aone kama anaweza kuimarisha kiwango chake na kuwa No.1 wa Argentina
 
Ichezwe 4 2 4.

4 huko mbele iwe Saka, Aubameyang, Lacazette, Willian na Pepe.

Hii formation inachezwa na PSG.
umeona wanavyopoteana sasa hivi? PSG imekuwa kama ngoma ya kijiji, kila mtu anajipigia kwa wakati wake
 
umeona wanavyopoteana sasa hivi? PSG imekuwa kama ngoma ya kijiji, kila mtu anajipigia kwa wakati wake
Hii formation hua inataka kuwatumia superstars wote walio kwenye timu.

Na hua tatizo sana inapotokea timu ina masupastaa wengi.

PSG haijawa ngoma ya kijiji. UCL kafungwa 1 kwa 0 na timu iliyompiga Barca 8. Mechi za kufungulia msimu kapoteza ya kwanza, ya pili zile kadi nyekundu zilizotembea siyo za kitoto. Kivyovyote ni mapema sana kusema PSG imekua ngoma ya kijiji.

Tusubiri tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…