Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Wewe ni mtu wa mpira... Ahsante kwa kuwa mkweli! Tumepokea pongezi zakoUsisahau kua, kila mwanzo wa msimu huwa munaongozaga ligi.
Mwisho wa ligi munajikuta nafasi ya 7.
Ila nikiacha unafki, mume cheza vizuri.
Yule Gabriel sio mtu mzuri,namtabiria kufanya vizuri EPL.
Kuhusu William, Ollachuga huko aliko naamini roho inamuuma, sema ndio hana neno, uongozi umeshaamua.
Kiufupi Arsenal mwaka huu nawapa nafasi ya kumaliza ndani ya top four.
GGMU
Wameyamaliza kitambo ,baada ya mpira tu wakapost hiiNketiah na Dan kabla ya Mechi walizinguana...
Sio kitu kizuri Kama Team ...Hoping kocha atawaweka sawa.View attachment 1567872
Aje apambanie namba na AubaKatika hii game ya Crystal na Southampton naona Zaha anacheza kama vile akitaka kutuonyesha Arsenal kua tumekosea kumuacha. Hata baada ya kukiri kua anatamani kuja Arsenal kupitia ile video yake.
Aende wapi?Huyu anabaki hata kwa kumshikia bastolaArteta said he told Holding to change his mind (move to Newcastle) because he isn’t going anywhere
HahaAende wapi?Huyu anabaki hata kwa kumshikia bastola
Toreira abaki ni fundi ila Matteo hana namba na hataipataToreira na gunduz sion wakibaki
Nketiah anatakiwa awe na adabu kwa DanNketiah na Dan kabla ya Mechi walizinguana...
Sio kitu kizuri Kama Team ...Hoping kocha atawaweka sawa.View attachment 1567872
Samahani nakuuliza swali personal. We 14Henry mbona status yako haipandi kila siku wewe ni member tu? Na unakoment mara kwa mara
Acha kukariri kocha wa Arsenal wa sasa ni ArtetaMnaanzaga vizuri ila kumalizia ni utopolo
Huyu Dani mhuni mhuni Nketiah atalambishwa sakafu ajute.Wameyamaliza kitambo ,baada ya mpira tu wakapost hiiView attachment 1567892
Ndiyo, naona wewe unaongoza majungu.Utopolo naona mnaongoza Ligi...
Hivi anavyoscore Auba ndivyo inabidi Pepe awe na uwezo huu akiwa anatokea huko kulia.