Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Edmilson kitokwaki, kutoka Nanhupo, anawatakia Fulham ushindi mwanana wa goli 2-1.
 
Fulham XI: Rodak, Hector, Odoi, Kebano, Cairney, Ream, Cavaleiro, Reed, Bryan, Onomah, Kamara.

Subs: Areola, Christie, Le Marchand, Anguissa, Knockaert, De Cordova-Reid, Mitrovic

Arsenal XI: Leno; Holding, Gabriel, Tierney; Bellerin, Elneny, Xhaka, Maitland-Niles; Willian, Lacazette, Aubameyang

Subs: Macey, Kolasinac, Ceballos, Willock, Saka, Pepe, Nketiah.
 
Ila maisha yako speed. Huyu Areola kacheza PSG, kaenda Madrid, leo yupo Fulham.
 
Samahani nakuuliza swali personal. We 14Henry mbona status yako haipandi kila siku wewe ni member tu? Na unakoment mara kwa mara
 
Mesut Özil is absent from the squad for the opening Premier League fixture against Fulham today. [BBC]
Juzi niliongea Ozil kwa sasa hawezi kuwa katika team inayotaka trophies USA will be good place for him ila anakomaa hana nafasi zaidi ya kucheza Carabao na hata FA nafasi ni finyu kwake
 
Elneny amekua presented with a chance ya kuwabadilisha mawazo wakina Arteta juu ya Partey, I hope hatodisappoint. Mchezaji mzuri anaonekana na ndivyo ninavyomuona.

Solid performance game iliyopita. Auwashe zaidi kwenye hii tuone nini kitakua.
 
Fulham Vs Arsenal

Mechi inarushwa live Azam TV ,channel number 108 utv ambayo ni channel ya bure..uchambuzi unaendelea muda huu....karibuni tujuike kushabikia chama.


Viva Gunners.
 
Wakuu kiaje?

Tupo uwanja wa Craven Cottage ulipo pembezoni kabisa mwa mto Thames mto mkubwa unopita katikati ya jiji la London kwenda baharini.
 
Juzi niliongea Ozil kwa sasa hawezi kuwa katika team inayotaka trophies USA will be good place for him ila anakomaa hana nafasi zaidi ya kucheza Carabao na hata FA nafasi ni finyu kwake
Pauni laki tatu na nusu kwa wiki tunalipa bila kupata service yake, hii hele tungekuwa na uwezo kulipa wachezaji walau watatu
 
Tunaomba link ya kutazama game jamani. Tupo mbali na screen.
 
Wakuu kiaje?

Tupo uwanja wa Craven Cottage ulipo pembezoni kabisa mwa mto Thames mto mkubwa unopita katikati ya jiji la London kwenda baharini.
Shwari, mi nipo Kigogo Sambusa nasubiri channel ya Canal + ianze yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…