Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndio maana kuna kundi kubwa litaondoka lkn Tunahitaji Quality mbili tu Partey na Aouar ambao wanacheza sehemu kibao

Ndio maana Arteta kazuia usajiri wa kuuzwa Niles ,

Pia anasema Willian anacheza position karibu 4 ,

Unaweza kumuweka kwa Ozil, kwa Pepe,kwa Auba.

Pia anaweza kucheza kama LCM kwenye 4-3-3

Squad depth ni kuwa na Quality Angalau kila nafasi ,

Sio kujaza Average players,

Mfano Kolasinac nafas yake ,Saka ,Niles ,Kieran wanazicheza

Na huyu kolasinac anapokea mshahara karibu 100k+ per week
 
EMI ANAONDOKA KWELI , THE ATHLETIC NAO WAMETHIBITISHA ,ATAACHWA KWENYE KIKOS CHA LEO ILI KUSHUGHULIKIA UHAMISHO WAKE

The Athletic understands the decision for Emi Martinez not to be in the squad for today's game has been taken jointly by #Arsenal & Martinez as he is at the centre of an intensifying transfer saga & is now very close to leaving the club, with a move to Aston Villa most likely.

Over the past week Aston Villa had a second bid of £15m, plus £4m in add-ons rejected. A third bid will be higher & should be enough to seal the deal & Martinez’s reps have spent the past 3 days in London thrashing out terms with #Arsenal & Villa.

Emiliano Martinez not in Arsenal squad with transfer imminent
 
Hili naomba nisilijibu kwa kuwa ni yanayozungumzwa siwezi kuyatolea evidence.

Timu ambayo ilipindisha taarifa ya gharama za usajili ni wazi pia itapindisha taarifa ya kiasi cha faida, hata namna yake ya kukwepa ban ilikua ni kwa rushwa (kama vyanzo vingi vinavyosema)


Ni sahihi, unawezaje kulifanya hili bila kuondokana kwanza na wale wanao lipwa mishahara mirefu? Ndio maana club inapambana kuwatoa kwanza ili uondoe mzigo wa mishahara.

Madrid anasajili kwa pesa kubwa ila mishahara yake ni midogo na hii ni namna yake ya kukwepa ffp. Arsenal haiwezi kwemda same route?

Club ilikuwa inapush kurudi kwenye Uefa hivyo walipambana kubakisha key players kwa wakati ule ambapo tulikuwa bado tupo kwenye good financial position

At one point Arsenal ilitaka kumbakisha sanchez na Ozil na ikataka kuwapa kila mmoja mshahara wa 350K. Arsenal wanted to spend that much money leo nini kinazuia...?

According to FFP rules, fedha unayotumia ni ile iliyopatikana kwenye respective financial year ndio maana nikasema kwa Chelsea wana mzigo bado kutokana na kwamba hawakununua wachezaji na pia wage bills zao hazikuongezeka kwa mwaka huu wa fedha. Huwezi tumia faida ya 2010 kujenga kikosi leo, ingekuwa hivyo FFP ingekuwa haihusu baadhi ya vilabu.

 
Martinez siyo kipa wa kawaida kwa kiwango unachisema.

Tulifika fainali Europa na mechi zote alikua anadaka yeye, fainali akadaka Leno tukafa nne.
 
Kaka.

This is family.
 
Martinez siyo kipa wa kawaida kwa kiwango unachisema.

Tulifika fainali Europa na mechi zote alikua anadaka yeye, fainali akadaka Leno tukafa nne.
Martinez hakuwahi daka Europa before last season,kipindi kile alikuwa Agent petr Cech
 
Hii pesa ya Aston Villa imejilengesha yenyewe!

Kipa wa kuuza £5m, zimekuja £20m kwanini asiuzwe?

Hii deal ikiwezekana ikamilike haraka sana!
Yaan fasta kabisa kabla hawajastuka

Back up kipa ,academy graduate kwa £20m wakati miez mitano nyuma hata £5m hakuna ambaye angetoa
 
Line up ya kikosi cha leo ndio inatoka saa moja kabla kama kawaida au?
 
Martinez siyo kipa wa kawaida kwa kiwango unachisema.

Tulifika fainali Europa na mechi zote alikua anadaka yeye, fainali akadaka Leno tukafa nne.
Final aliwekwa Cech ambaye tayari alikuwa ameshakubaliana na Chelsea

Hatua zote toka mwanzo alidaka Cech had final. ,watu waliomba Final adake Leno,

Unai chakubanga Emery akampanga cech muajiriwa wa Chelsea dhid ya chelsea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…