Mkuu kwamba hakuna kabisa kwa sababu ya covid-19? Sijaelewa vizuri, ufafanuzi please Aaron ArsenalCastr
Hatukwepi FFP ila huwez kusajiri unajaza tu wachezaji bila wengine kuwaondoa , mwaka huu hakuna FFP ila hutakiwi kuzid Net Spend £30m
Kiufupi bado tupo sokoni ,katafute Interview ya juz ya Edu, na Vinai
Kasikilize press ya Jana ya Arteta
Yah imekuwa relaxed ,lkn ukisajiri ovyo, itakukost mbeleni ,Mkuu kwamba hakuna kabisa kwa sababu ya covid-19? Sijaelewa vizuri, ufafanuzi please Aaron Arsenal
Sijajua kwenye Mech ya preseason kama aliutumia ,maana zile mech alizuia zisioneshweGood line up prediction, ukiitazama inavutia lakini napata mashaka kama Arteta ataanza na 4-3-3 right from Epl first week, lets see!
Hii Arsenal ina wachezaji gani unwanted ambao wanakula mishahara mikubwa? Tunawazidi Man U? City?Unakosea kusema hivo ,
Huwez kusajiri bila strategies , lazima uondoe unwanted players ,ili waache Gape la mshahara
Thanks Aaron Arsenal nimepitia pia nimeona imekuwa suspended for 12 months since 18 June 2020.Yah imekuwa relaxed ,lkn ukisajiri ovyo, itakukost mbeleni ,
Ndio maana unaona bado hata vilabu vikubwa vina struggle
Pamoja na kuwa relaxed , Arsenal hawawez kusajiri tu ,bila kubalance vitabu na hasa ni kwenye Wage bills
Operation Cost zina Cost sana kuliko transfer
Hadi October 5 tutakuwa tumeongeza watu ,
Arteta amesema kikos bado ni Imbalance
Arteta on transfers:
'We are still active in the market. We are looking at different options, with players in and out. At the moment the squad balance is not ideal.'
Edu: “The market right now is challenging. What is important internally is that we have a clear plan on the players we want to keep, the players we want to loan and the players we want to sell. After that we have to be patient.” [@TeleFootball]
Vinai says Arsenal do not necessarily need to sell players in order to bring in any more new faces this summer. Arsenal have so far been unable to cash in any of their squad players who have been put up for sale. [@TeleFootball]
Kuhusu Uefa kulegeza FFP soma hapa
UEFA relaxes financial fair play rules amid COVID-19 pandemic
Dah Castr hebu Fanya utafitiHii Arsenal ina wachezaji gani unwanted ambao wanakula mishahara mikubwa? Tunawazidi Man U? City?
Hatuna squad, hatuna wala mishahara mikubwa, wachezaji viazi ambao ukisema uwauze hela haiwezi kua kubwa ni hao wakina Willock & co. ambao mishahara yao ni hizo £3000.
Mkuu Castr jaribu kuangalia wage bills za vilabu ambavyo haviko Uefa across europe utaona Arsenal ina wage bills kubwa sana ukilinganisha na wengine nadhani wote.Hii Arsenal ina wachezaji gani unwanted ambao wanakula mishahara mikubwa? Tunawazidi Man U? City?
Hatuna squad, hatuna wala mishahara mikubwa, wachezaji viazi ambao ukisema uwauze hela haiwezi kua kubwa ni hao wakina Willock & co. ambao mishahara yao ni hizo £3000.
Kuna vitu una miss , Tena kwasasa Raul alijitahid sana mwaka Jana kupunguza wage bills ,alikuwa anatuzid Man u na city ,tuHii Arsenal ina wachezaji gani unwanted ambao wanakula mishahara mikubwa? Tunawazidi Man U? City?
Hatuna squad, hatuna wala mishahara mikubwa, wachezaji viazi ambao ukisema uwauze hela haiwezi kua kubwa ni hao wakina Willock & co. ambao mishahara yao ni hizo £3000.
Jamaa anachukulia poa sana, ni man u na city tu ndio walikuwa wanatuzid wage bills ,Mkuu Castr jaribu kuangalia wage bills za vilabu ambavyo haviko Uefa across europe utaona Arsenal ina wage bills kubwa sana ukilinganisha na wengine nadhani wote.
Ukiangalia hata wachezaji wetu wengi tunashindwa kuwauza sababu ya salary zao kubwa, Kolasinac, Sokartis, Ozil.
View attachment 1567004View attachment 1567005
Timu ambayo ilipindisha taarifa ya gharama za usajili ni wazi pia itapindisha taarifa ya kiasi cha faida, hata namna yake ya kukwepa ban ilikua ni kwa rushwa (kama vyanzo vingi vinavyosema)Sorry nilishalala nimechelewa kuiona.
Yes, ukitazama finacial revenue reports za City na United wanatuacha mbali sana.
Kwa United sidhani kama nahitaji kueleza sana, hawa wamekuwa wakituzidi kifedha kwa muda mrefu sana.
Kwa City pia recently amekuwa akifanya biashara nzuri sana kutuzidi, ukiangalia endorsement anayopata kwa sponsors kama Quatar airways ni pesa ndefu na amekuwa na fan base kubwa sana kwenye mataifa ya Kiarabu kwa hivi karibuni.
Pia City amekuwa regular team kwenye Uefa kitu kinacho muongezea mapato sana tofauti na sisi ambao kwa sasa tunacheza Europa yenye fedha kiduchu.
Kwenye wage bills, hizo hazihusiani na FFP rules. Wage bills zinaingia kwenye expense account ambapo hata ukipata loss mishahara ni lazima ulipe tu.
Kwa upande mwingine, kununua wachezaji ni investment kwenye club na hasa ndipo concern ya FFP ilipo kwamba usitumie fedha nje ya faida uliyotengeneza kwenye soka kuinvest kwenye kikosi.
Huyu Martinez kwakua yeye mwenyewe kuondoka hataki ni tungebembeleza abaki tuJUZI C.EO Vinai alisema hatutauza wachezaji bila mnunuzi kufika bei
Brighton na Astonvilla wanaumana , Arsenal wanasubiri ofa nzuri waipokee
Full story on Emi Martinez, who is out of tomorrow's squad to play Fulham.
Brighton now in the running, another Villa bid expected imminently. No offers accepted so far.
Martinez out of Arsenal squad for Fulham clash as Brighton rival Aston Villa with new bid | Goal.com
Jamaa anachukulia poa sana, ni man u na city tu ndio walikuwa wanatuzid wage bills ,
Raul akapunguza sana Wage bills ,now nadhan tupo kwenye 5 bora na sio 3 bora
Josh Kroenke alisema Tunaendesha klabu kwa Gharama na mishahara ki Champion league , huku tunacheza Europa
Sasa hivi Manager Arteta na Edu hawawez kununua bila kuondoa watu,
Utakuwa ujinga unanunua unajaza watu, huku wage bills kubwa na hatupo UCL ,
Terms zake anataka abaki ila awe no.1Huyu Martinez kwakua yeye mwenyewe kuondoka hataki ni tungebembeleza abaki tu