MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Chambalain mbwa ile staki hata kuisikia.Mm nilishamsamehe
Alikuwa moja ya wachezaji niliowapenda sana
Sanchez
Ox Chamberlain
Theo walcoth
Santiago Carzola
25,000 kakaAaron Arsenal huo uzi ni bei gani?
Uzi wa juu au zote? Ni genuine?25,000 kaka
Walishamalizana , na hakuna mazungumzo tena, sijajua kwanini wanalivuta sana kulitangaza,Aaron wakati nakyaminia kwa taarifa mujarabu kuhusu Arsenal lakini deal la Auba limekuwa stale au overdue.. .
Wa juu , Yah material ni genuine , achana na zile za 5000Uzi wa juu au zote? Ni genuine?
Wamefocus sana kwa Aouar, Partey ni kama wamemblacklist, anaweza kuongeza mkataba na Atletico ikawa kasheshe
Kwakua hapo wapo viungo watatu chini ya vidal hao full back ndio watakua wings kwenye kushambulia huku hao viungo wakiongeza nguvu kwenye ukabajiWakuu naomba kuuliza hapa samahanini sana
Hiv kwenye huu mfumo hapo winga wa pembeni ni nani na nani??View attachment 1562083
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulikuwa na ubishi kidogo mahali kwenye huo mfumo Pogba anacheza position gani hapo???Kwakua hapo wapo viungo watatu chini ya vidal hao full back ndio watakua wings kwenye kushambulia huku hao viungo wakiongeza nguvu kwenye ukabaji
Mfumo mzuri sana kama utacheza soka la kushambulia kwa kushtukiza ila unahitaji uwe na wings wenye kasi kama Evra, Alba, Reguilon, Trent, Carvajal au Hakim.
Nitakucheki mkuu, I need uzi wa "ze ganaz"Wa juu , Yah material ni genuine , achana na zile za 5000
Pogba anacheza kama Central Midfield pia anacheza kama CAM position zote anacheza vizuri tambua ni box to box midfield. Ila hapo kwakua yupo mzee Pirlo ambaye anacheza kama CM so Pogba atacheza juu yake kama CAM.Tulikuwa na ubishi kidogo mahali kwenye huo mfumo Pogba anacheza position gani hapo???
Sent using Jamii Forums mobile app