Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Tukubaliane Ozil wa sasa si unayemsema wewe huyu keshajichokea mbona kuna players wazuri kwa sasa EPL kuliko Ozil??Ozil wa 2008 up to 2016 sio wa 2019 na kuendelea ameshashindikana anatakiwa aende China au USA akamalizie football na kuchukua hela za ziada kama tunataka competitive team Ozil hatakiwi kuwa sehemu ya 11 eleven Never
dah kwahiyo pale nyuma atakosekana mzee wa kazi katika kuongoza vijana ...maana waliobaki wote vijana Saliba,Rob,Gabriel,Hector,Tierney....shughuli bila wazee haiendi,Chelsea wamegundua makosa yao ya kumuuza Luiz na ndio maana wameamua kumchukua kikongwe ThiagoIrrespective of David Luiz injury Mikel Arteta has made clear he wants Rob Holding as a centre-back option this season & the 24yo is now expected to stay at Arsenal rather than join Newcastle on loan. He’s also in line to start at Fulham on Saturday @TheAthleticUK #AFC #NUFC #FFC
Problem ndo hyo anapokea mshahara mkubwa na hataki kuondoka Arsenal lets wait and see this season atafanya nini ila kwa timu ya sasa ya Arteta na uchezaji wa Ozil mhhhh naona ngumu sana kwake labda apambaneIssue ya Ozil iko very complicated, amegoma kuondoka hadi mkataba wake utakapoisha na analipwa mshahara mkubwa sana £350,000/= kwa wiki.
Sasa club inapata ugumu kusajili mtu mwingine wakati una 'mzigo' wa Ozil, kwa hiyo the best way ni kufanya liwezekanalo kumrudisha kwenye mood ya kuperform kitu ambacho binafsi naamini kinawezekana kama atakuwa willing.
Naamini pia kuwa huu ni msimu wake wa mwisho pale baada ya hapo atahitaji kwenda sehemu nyingine ambapo itategemea na kiwango chake msimu huu.
Hatanunuliwa kwa kuwa tu ni Ozil hivyo naye anahitaji kujituma, ndipo hapo ninapo amini kuwa bado anaweza kuleta manufaa akitumiwa.
Ozil bado hajachoka kwa maana ya viwango vya uchezaji, anahitaji tu kujengwa mentality yake aweze kudeliver. Mambo mengine tuyape muda tutakutana hapa tena kumjadili jinsi msimu unavyo endelea.
This is the best jersey in EPL sio zile za wenzetu za zebraThird kit leaked
Anayehitaji anione PMView attachment 1563987View attachment 1563988View attachment 1563989View attachment 1563990
Huyu Ozil kiwango chake kinapanda na kushuka kama homa za vipindi! Ni mchezaji mzuri lakini hana consistency kwa sababu ya umri.. Inatakiwa tusajili halafu huyu awe back up.. Lakini kitendi cha kumtegemea huyu, tutajikuta tunafight sana kurudi top fourIssue ya Ozil iko very complicated, amegoma kuondoka hadi mkataba wake utakapoisha na analipwa mshahara mkubwa sana £350,000/= kwa wiki.
Sasa club inapata ugumu kusajili mtu mwingine wakati una 'mzigo' wa Ozil, kwa hiyo the best way ni kufanya liwezekanalo kumrudisha kwenye mood ya kuperform kitu ambacho binafsi naamini kinawezekana kama atakuwa willing.
Naamini pia kuwa huu ni msimu wake wa mwisho pale baada ya hapo atahitaji kwenda sehemu nyingine ambapo itategemea na kiwango chake msimu huu.
Hatanunuliwa kwa kuwa tu ni Ozil hivyo naye anahitaji kujituma, ndipo hapo ninapo amini kuwa bado anaweza kuleta manufaa akitumiwa.
Ozil bado hajachoka kwa maana ya viwango vya uchezaji, anahitaji tu kujengwa mentality yake aweze kudeliver. Mambo mengine tuyape muda tutakutana hapa tena kumjadili jinsi msimu unavyo endelea.
Ni kweli tungepata mchezaji mwingine ambaye na umri ni mdogo ingekuwa poa sana, nadhani bajeti ndio changamoto kubwa tunashindwa kuongeza mtu na Ozil akiwepo ndio maana inabidi tupambane naye hivyo hivyo tu.Huyu Ozil kiwango chake kinapanda na kushuka kama homa za vipindi! Ni mchezaji mzuri lakini hana consistency kwa sababu ya umri.. Inatakiwa tusajili halafu huyu awe back up.. Lakini kitendi cha kumtegemea huyu, tutajikuta tunafight sana kurudi top four
Kwa sasa kama Arsenal wanategemea kuuza some players ili kupata pesa na nafasi ya huyu jamaa pale kwa sasa ni ngumu sana!Arsenal will go back in for Aouar & are still in talks with his agent
Sales may make the deal possible
If no offers come to Lyon in the coming weeks they may allow price negotiations with Arsenal who are keen
Currently the price stands firmly at €60m/£54.5M
[@FabrizioRomano]
Wakuu naomba kuuliza hapa samahanini sana
Hiv kwenye huu mfumo hapo winga wa pembeni ni nani na nani??View attachment 1562083
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mwenyewe.P. Evra ni yule Evra wa Sir Alex?
Jezi kali sanaThird kit leaked
Anayehitaji anione PMView attachment 1563987View attachment 1563988View attachment 1563989View attachment 1563990
Ni kweli bajeti ni finyu sana!.. Tukikosa mtu mwingine basi itabidi twende na OzilNi kweli tungepata mchezaji mwingine ambaye na umri ni mdogo ingekuwa poa sana, nadhani bajeti ndio changamoto kubwa tunashindwa kuongeza mtu na Ozil akiwepo ndio maana inabidi tupambane naye hivyo hivyo tu.
Kujumuika haimaanishi hawauzwiKwa sasa kama Arsenal wanategemea kuuza some players ili kupata pesa na nafasi ya huyu jamaa pale kwa sasa ni ngumu sana!
Maana mpaka sasa sajili zote zimegoma! hajatoka yeyote, nimemuona na Torreira akijumuika na wenzake kuonyesha hakuna progress juu ya uwezekano wa kuondoka..
So hapa tutegemee rumors kila siku.
Ninachojaribu kusema ni kwamba sio vibaya kuhusishwa kama hivyo, ila hata isipotokea transfer yeyote mpaka dirisha kufungwa basi sina wasiwasi kuwa timu yangu itafanya vyema msimu huu.
I believe the process!
#COYG
Aaron wakati nakyaminia kwa taarifa mujarabu kuhusu Arsenal lakini deal la Auba limekuwa stale au overdue.. .Pierre-Emerick Aubameyang has agreed a new three-year contract worth £250k-a-week with the club expected to make a long-awaited confirmation announcement in the next few days & could even be before their opening Premier League fixture against Fulham on Saturday. [@JamesOlley] https://t.co/7QKzC6Tb8Q