Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Mkuu hilo ni kiss la shavuni acheni kukuza mambo. Halafu wazungu mambo hayo ya wanaume kupigana kiss, kushikana makalio hasa kwenye mpira ni jambo la kawaida sana.Muongo. Mihemko ndiyo hadi analiwa mate? Huyu kocha yupo sawa kweli?
Naona hata kikombe hiki msimu huu tukipiganie tu maana kuna watu humu wanachuki na sisi sana. Tukikosa kikombe watajazana humu wao kuliko sisi. 😀
Wewe ni ambangile?Hapa full backs huwa wana advance kama wingers wakati team inashambulia kwa kuwa huu mfumo ( maarufu kama Christmas tree formation) huwa una retain two strikers wakati wote.
Hata hivyo mara nyingi wakati wa kushambulia huwa 4-3-1-2 ina switch kwenye diamond 4-4-2, hiyo 3 ni complete central midfielders ambao mmoja wao huwa anatoa cover kwa defenders na hiyo 1 anakuwa ni attacking midfielder mostly anacheza kwenye 3/4 ya opponent.
Unadharau Community shield ? Kwelikama nyie mlivyojazana kwetu baada ya kushinda shilingi
Hapana mkuu, ni nani huyo?Wewe ni ambangile?
Nadhani lengo kuu la Arteta ni kuwadevelop hawa watoto katika namna anayohitaji yeye.Arteta kila mchezaji anataka kumretain, ana jambo gani msimu huu?
Ni kweli , Ila Napenda Anavyowalea na kuwaingiza taratibu kuzoea mazingira bila presha ,Nadhani lengo kuu la Arteta ni kuwadevelop hawa watoto katika namna anayohitaji yeye.
Mara nyingi hawa watoto wanaenda timu ndogo kupata game time ya kutosha lakini ni ukweli kwamba wanaenda tu kuzisaidia hizo team ila wao kama players hawafaidiki kwa maana ya viwango na ubora wao.
Utakumbuka hata Raheem Sterling alikuwa mchezaji nyota pale Liverpool lakini hakuwa hata na nusu ya kiwango alicho nacho leo baada ya kwenda City na Arteta ndio alikuwa responsible kumbadilisha chini ya Pep.
Ni makocha wengi wenye uwezo wa kuwatumia wachezaji kwa kile walicho nacho lakini si kuwaboresha, nadhani hapo ndipo Arteta anataka kulea 'watoto' wake kuliko kuwagawa kwa mikopo kisha wanadumaa viwango.
Umechambua fresh..Hapa full backs huwa wana advance kama wingers wakati team inashambulia kwa kuwa huu mfumo ( maarufu kama Christmas tree formation) huwa una retain two strikers wakati wote.
Hata hivyo mara nyingi wakati wa kushambulia huwa 4-3-1-2 ina switch kwenye diamond 4-4-2, hiyo 3 ni complete central midfielders ambao mmoja wao huwa anatoa cover kwa defenders na hiyo 1 anakuwa ni attacking midfielder mostly anacheza kwenye 3/4 ya opponent.
Siyo kiss la shavu. Ameliwa mate.Mkuu hilo ni kiss la shavuni acheni kukuza mambo. Halafu wazungu mambo hayo ya wanaume kupigana kiss, kushikana makalio hasa kwenye mpira ni jambo la kawaida sana.
Nakumbuka ulinisema nilipotoa draw na BHA ile mechi ya kirafiki. Sijakusikia ukiongelea game yako na Aston Villa. Usalama upo mkuu?
Sawa kabisa, Arteta ana uwezo wa kupika wachezaji ndio maana unaona pamoja na kuwa hatupo Uefa wachezaji (hasa under 25) wanakubali kuja Arsenal na wengine kuacha team zao ama zinazo wamiliki ambazo ziko Uefa.Ni kweli , Ila Napenda Anavyowalea na kuwaingiza taratibu kuzoea mazingira bila presha ,
Ni katika kipindi hiki hata ofa zimekuwa zikija kwa vijana wengi wanaotoka academy
Ofa zimeshakuja kwa Niles,Martinez ,hadi sasa na hawa ndio wale aliowapa nafasi sana
Msimu huu kijana kama Nelson ata develop zaidi
Amemwambia Martinel yeye ni CF na sio LW , hivo akipona atatumika kama CF
Ceballos amekataa ofa mbili za timu nyingine , ili arudi mikononi mwa Arteta
Kwakweli kabla hajaleta watu Wake taratibu, kwanza hawa waliopo amewaongezea vitu Vingi
Ceballos anasema
"Kocha alikuwa wazi kuhusu mimi na akasema kwamba ikiwa ningejiweka sawa na kuendelea kufanya mazoezi kwa bidii, ningepata nafasi ya kurudi kwenye timu."
(wakati Arteta akichukua timu kwa mara ya kwanza)
"Nadhani amenifanya kuwa mchezaji bora zaidi katika miezi sita iliyopita."
Umechambua fresh..
Halafu kwenye huo mfumo nilikuwa namuona babu Pirlo akichezeshwa sana chini (deep)..
Sababu ndio uliyozungumzia hapo: ku assist mabeki kwa kuunganisha timu kutoka nyuma na pia kupandisha timu. Hapo kazi ya ukabaji sio yake. Itokee tu!
Wakabaji wanakuwa ni hao wakina Pogba na Marchisio huku Arturo Vidal akiwa anasaidia kukaba kuanzia juu.
Unai Emery alitaka Xhaka acheze hivyo ArsenalSahihi mkuu, kwenye role ya deep lying midfield huyu Andrea Pirlo ndio the most genius player.
Utaona Allegri alimtumia akiwa na Ac Milan na baadaye alipoenda Juve pia alimvuta Pirlo pale akaendelee kuchafua kwenye hiyo role.
Pia Carlo Ancelotti aliutumia huo mfumo katika msimu wake wa kwanza pale Chelsea akimpa Lampard role ya deep lying midfielder.
Unai Emery alitaka Xhaka acheze hivyo Arsenal
bila kuzingatia kabisa kuwa Xhaka sio Pirlo au Thiago motta wa PSG ndo maana Xhaka akawa Takataka wakachukiwa sana wa Fans
hapo huyo Emery akampandisha Torreira awe namba 8-10 eti ni Box to Box midfielder
Yani Unaona kbs Unai emery alivyokuwa MJINGA
Unai emery kwangu ni moja ya makocha wa ovyo kuwahi kuwashuhudia ulimwenguniUnai Emery alitaka Xhaka acheze hivyo Arsenal
bila kuzingatia kabisa kuwa Xhaka sio Pirlo au Thiago motta wa PSG ndo maana Xhaka akawa Takataka wakachukiwa sana wa Fans
hapo huyo Emery akampandisha Torreira awe namba 8-10 eti ni Box to Box midfielder
Yani Unaona kbs Unai emery alivyokuwa MJINGA
Alienda Anfield na huu mfumo ,Diamond style , halafu hakuwahi kuwafundisha wachezaji kwenye preseason ,Yah katika makocha ambao wamehangaika na huu mfumo ukawashinda ni Unai aisee.
Kuna baadhi ya mifumo kama huu 4-3-1-2 lazima uwe na aina ya viungo kama Pirlo, Motta, Busquet, Vidal, Lampard, Gerrard nk ambao wana both attributes za offensive na defensive midfielders (box to box).