Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa wote wa humu.

Tafadhali tusiende kwenye kua jobless. A lot of us tupo naye kwenye hilo boti. Na hakuna mtu anayetamani kua jobless.

Please, tusameheni kwenye hilo.

Ollachuga Oc I feel u on this one. Usikunje roho
 
Chelsea mnapata wapi nguvu ya kuja humu kupiga mboyoyo wakati tumewanyoa bila wembe juzi tu hapa
 
Hawa watoto mchelemchele wanafata nini humu....kwani kipigo cha FA hakiwatoshi.kama wanataka tuwaongeze waseme tu Arteta yupo kwa ajili ya kazi hiyo..
 
Happy Birthday to our very own @bukayosaka87 who turns 19 years old today!

Have a great day, Bukayo!
#AFC
 
Fabrizio Romano on Houssem Aouar to Arsenal:


“They are absolutely interested. Monitoring the situation. Nothing advanced. He's a top player. They have spoken with his agent. Again - they need to sell. Nothing less than €60M. He'd be one of the best signings this window."
[Via @aftvmedia]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…