Naombeni msaada wenu tafadhari hapo chini kuna Member 11 na Guest 6 lakini nikihesabu naona ni member tisa je kuna member wengine hawaonekani majina yao?
There are currently 17 users browsing this thread. (11 members and 6 guests)
Nakumbuka kuna miakaaleeds walitisha wakawa wanazichapa timu kwenye champions league.kina VIduka, Ian smith, Harry kewel na yule center half wao alikuwa msouth africa LUcas Radebe.Tuombe wasisawazishe
Umeona eeeehhh.....................Wanaweza rudisha hawa ikawa Tabu tena.....xtra time mara penalt ............ohooooooo,,,,,,,,,,,,,,,,NJE....Sijui itakuaje????
Refa amalize mpira hawa jamaa wanasawazisha muda si mrefu! Naona Gaudence Mwaikimba (Arshavin) nje anaingia Robin van Persie na anatpka (Juma Jabu) Chamakhi na anaingia Cesc