Wewe mwenyewe hapo unao mzigo kama huyo demu..Angalau Chelsea tuna mademu wakali wenye mzigo..ninyi sasa mnafanya usodoma na ugomora[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1559216
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hahaha hichi kiburi mlichonacho ni kwa sababu ligi haijaanza na munaongoza. Ngoja ligi iyanze sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikutoe wasiwasi tu.
Ligi naanza kuiongoza mimi kuanzia gameweek 1 maana siwezi kumuacha Fulham, timu iliyopita kwa bahati kwa Play-off. Na game yetu ndio ya kwanza, namnyonga mtu mapema 14:30.
Kitendo cha kumuacha Arteta aongoze pale juu basi ni msiba kwenu[emoji1]
Nyie chupi za buluu nitakuwa nawaangalia kwenye nafasi ya 6 mkiwa mnapambana na Sheffield.[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wachezaji hao hao wa mafungu tunachukua ndoo 2 na wewe ukabaki hauna kitu na kombe moja nikachukua mbele yako.Sisi tulitumia watoto wa Academy msimu uliopita na tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Ninyi mkasajili tena kwa pesa za mafungu mafungu mkaishia nafasi ya nane huko hamko siriyazi mazee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hahahahaha dah hizi dharau sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mwenyewe hapo unao mzigo kama huyo demu..
Kataa kama nakusingizia!
Mnaongoza kubeba Mickey Mouse Cup[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wachezaji hao hao wa mafungu tunachukua ndoo 2 na wewe ukabaki hauna kitu na kombe moja nikachukua mbele yako.View attachment 1559218View attachment 1559219
Huo ni mchezo wako. Ni mchezo wa kimama kila tukikuambia uache hutaki.Hahaha natarajia desemba mutabaki watano au wanne hivi umu jukwaani, wengi watakuwa wamejibipiga ban..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2] mwishowe umekubali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha dah hizi dharau sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enewei ..Hii timu ni ile ile hakuna kipya msitegemee yeyote mapya kutokea msimu uu mpya.
Kushinda fainal ya FA na CS hata Wigan au QPR wanaweza kushinda.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mh kwa hiyo unasema jinsi mlivyo wabovu hata QPR wangewatoboa. Mbona mmeoza kiasi hiki?Hahahahaha dah hizi dharau sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enewei ..Hii timu ni ile ile hakuna kipya msitegemee yeyote mapya kutokea msimu uu mpya.
Kushinda fainal ya FA na CS hata Wigan au QPR wanaweza kushinda.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hivi makombe ya ligi mnayo mangapi vile?Mnaongoza kubeba Mickey Mouse Cup[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
.Hahaha natarajia desemba mutabaki watano au wanne hivi umu jukwaani, wengi watakuwa wamejibipiga ban..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Unai sio kocha ,Unai aliwaletea uyu mchezaji leo mna mdharau..
Mmefukuza kocha bora mmepata bora kocha..
Huu msimu utakuwa mchungu sana kwa hii timu.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kijana tulikuonya ,tukiwawashia moto mnalalamikaAngalau Chelsea tuna mademu wakali wenye mzigo..ninyi sasa mnafanya usodoma na ugomora[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1559216
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Wewe unaongoza kubeba nini ?Mnaongoza kubeba Mickey Mouse Cup[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
We dawa yako ni MODERATORS tu maana HusikiiAngalau Chelsea tuna mademu wakali wenye mzigo..ninyi sasa mnafanya usodoma na ugomora[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1559216
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
mnatakiwa Kula BAN wacha tuwaamshe Mods
Huyu muacheni tu, atatoka mwenyewe!We dawa yako ni MODERATORS tu maana Husikii
Wengine hatuwezi Vumilia Mambo ya KIJINGAHuyu muacheni tu, atatoka mwenyewe!
Huyu kijana hasikii ,sasa tutamfundisha tabiamnatakiwa Kula BAN wacha tuwaamshe Mods
Nendeni PM hapa ni platform ya wastaarabu watu Rika Tofauti, sasa mnaleta mambo ya ajabu sana ndugu zanguHuyu kijana hasikii ,sasa tutamfundisha tabia
Sawa sawaNendeni PM hapa ni platform ya wastaarabu watu Rika Tofauti, sasa mnaleta mambo ya ajabu sana ndugu zangu
Mambo yasiyo husiana kbs na MPIRA
kama sio mstaarabu mripotini kwa MODS sio kujibizana nae kwa Ujinga kama yeye