Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahaha sisi kabla ya iyo 2003 tulishabeba European Cups sasa jiulize ninyi mulikuwa wapi wakati huo kama ni timu kubwa.

Angalia hawa ..kama wangebaki apo arsenal vikombe kama hivi wangesikia kwetu tu


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Haka kawimbo ka~Ndani ya Miaka 10 mtakiacha lini? Hivi hamuoni aibu kwa timu iliyoanzishwa kabla ya vita ya dunia kuongea huo utopolo daily
Siyo utopolo ninyi mnalilia uking wakati makings tupo tumetulia na dunia inajua kabisa London is Blue


There is no London without Chelsea..

We're Pride of London. #CFC


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha dah eti Kepa kapazia, Kepa akija apo arsenalakosi namba uo uhakika nakupa ..ubahili wenu ndo umefanya adi sasa munaishia nafasi za nane uko ..angalia vyuma tulivyonunua vilileta impact gani apo London ..ninyi na watoto wenu wa academy mmeishia kuwa daraja la kutengeneza vipaji halafu wanaume wenye pesa zetu tunavuta na kubeba makombe. Ndo maana tunasema ninyi ni timu ndogo. Yani unapita mbele ya watu unatamba kuwa mchezaji ghali uliyenunua ni Pepe


Sasa wewe na AstonVilla mna tofauti gani.

Sisi ndo tunafanya mvimbe apo London, maana mkitufunga(kama juzi) basi ni khabar ya dunia. Maana mmefunga timu kubwa.

#CFC


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wewe pambana uwakute Kimafanikio Arsenal Ledies kwanza

Unapoambiwa London Is Red uwe unaelewa ,sawa
 
Kepa hata Nottingham forest hapati namba. Kwani si yeye mwenyewe kaomba kujiuzulu kwa kiwango chake kibovu?

Jamani msiite mods. Naswitch
 
Unapoambiwa Chelsea ni klabu iliyoanzishwa 2005 usiwe mbishi kijana


Na sasa hivi mmesajiri kina Morata waliochangamka , mtaiona shughuli


London is Red

Nikiongezea na CS ni 46
 
Yaani tuvimbe kuwafunga nyie ?

Kafatilie head to head hapo EPL anayetuzid ni Man u na Liverpool tu,

Wengine wote kuanzia London yote ni wake zetu
 
Yah

WAKE ZETU CHELTAKO
unaanza kuwa kama wao.....zamani kwenye Hii Thread kulikuwa na ustaarabu sana

kabla miaka ya kufulia kwa wenger tulikuwa tunataniana bila shida hapa mambo ya matak*""* mnayatoa wapi?

by the way Wacha1 yupo?
 
Alexis Sanchez

“After the first training session I had (at Man United) I realized many things and when I got back home I told him to my agent if I could cancel the contract and go back to Arsenal.”
 
Alexis Sanchez has just said on his live video that after signing for United,

"kwamba baada ya kusaini United, baada ya wiki ya kwanza alikwenda nyumbani na kuiambia familia yake, "Je! Ninaweza kuvunja mkataba huu na kurudi @Arsenal?"


Anakiri kwamba hakuwa akijua uamuzi wake wakati huo na anajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…